Je, unaweza kuthibitisha gharama halisi za uendeshaji wa shamba lako?
Unaweza kuonesha historia ya uzalishaji, mapato, matumizi, matibabu na ukuaji wa mifugo yako kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita?
Kutunza kumbukumbu za shamba (Farm Records) ni sehemu muhimu ya biashara ya...