hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hii kusema Chama kitaanza kutekeleza Mchakato Wa Katiba Mpya wakiingia Madarakani 2025-2030 ni uongo, kila muhula wanakuja na Uongo huu.. shituka wewe

    Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
  2. Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

    Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu 1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua 2. Saa nne unakula matunda sahani nzima 3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga 4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
  3. Hii ni kwa watanzania wote wanaopenda Adventures, hii si yakukosa, siku sita na gharama ni mteremko ✌🏽

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  4. K

    Kuna usalama na Polisi wasiopenda hali hii tunaelekea pazuri

    Ndani ya usalama na Polisi kuna mgawanyiko. Kazi kubwa kwa wazalendo wa ndani ni kuwasomesha wasimamie haki na kuzuia wizi wa kura na waache uchawa. Wakina Gwajima, Lissu na Lema tayari wana watu wao. Kuna wanao weka ukabila hasa wa Gwajima lakini wakiungana wanaweza kuleta jeshi lenye haki.
  5. Hii ni kwaajili ya Watanzania wote waliopo, hii ni fursa ya kipekee, maelezo yote yapo kwenye Tangazo

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
  6. Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?

    Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?
  7. Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  8. Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  9. "HUJUI? Mansion si lazima iwe ghorofa! Angalia hii 5-bedroom masterpiece yenye: 2-car garage Swimming pool unayoifikia moja kwa moja kutok

    SISI TUNAHUSIKA NA : DESIGN ,UJENZI NA UKARABATI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP US +255624004650
  10. Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

    Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa. Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni...
  11. Kwa jeuri hii bodi ya ligi na TFF hawako huru, hawako peke yao

    Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile. Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
  12. Wenye uelewa mpana kuhusu ubora na changamoto za bike hii...

    SINORAY 250CC
  13. Hii kolablo ya Mpina na Gwajima ni kitisho kwa CCM maslahi

    Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari kubwa sana... Kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi na ccm iko kwenye shaka kubwa kutokana na mambo...
  14. B

    Alini block ila now naona kwenye whatsapp yake " Hi there am using WhatsApp " Hii ina maanisha nii wataalamu? Kwamba ame ni unblock? Au?

    Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe. This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp". But kwenye profile still bado hakuna picha yake...
  15. Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

    Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu Mda ukifika itasema
  16. K

    Sababu ya CHADEMA kuendelea na Tone tone

    Angalia watu wa kawaida wanavyo changia. Hii ndiyo sababu ya hiki chama kuwepo leo hii sio ruzuku ni watu
  17. Hii ni mfano wa prototype ya kiwanja cha KiA kitakavyokuwa kama nikiwa Rais wa Tanzania

    Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri Lazima ufahamu hata sisi mambo mazuri tunaweza yafanya #no mediocre# Na KIA ni mfano tu viwanja vyote vitakuwa vizuri
  18. Hii ndio sababu halisi kwanini mtu akijitoa kwenye uchawi anauliwa.

    Kutoka Pm: " Mkuu Likud mbona siku hizi uandiki mada kuhusu uchawi? Anyways mtaani kwetu kuna mdada kafariki ghafla, mama ake anasemekana ni mchawi. Tetesi ni kwamba binti aliingizwa Kwenye uchawi then akaukataa. So nauliza kwanini MTU akijitoa Kwenye chama cha uchawi wana muua...
  19. Video: Jerry Muro aropoka na kusema Rais ni wa ovyo

    Baada ya Gwaji boy kutupa jiwe gizani kupitia mkutano wake na waandishi wa habari , ambapo hoja zake zilienda moja kwa moja katika kuhoji uwajibikaji wa taasisi ya Raisi kufuatia kuongezeka kwa matukio ya utekaji , uteswaji na hata unyanyasaji wa kijinsia wa raia wa Tanzania na hata wale...
  20. PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…