hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. CCM imechoka, upinzani umetepeta! Hii ni turufu kwa chama nitachoasisi ili kushika dola 2035!

    Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
  2. M

    Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

    "Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari? Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
  3. Hii picha sio AI. Kuna video kamili ya tukio hili. Mama na mwanae walirushwa kwenye shimo and shortly after wakauliwa.

    mcTobby mwafrika atafanya haya kwa mwafrika nwenzake alafu kesho atakaa katika vyombo vya habari aseme "wazungu ndio mashetani"
  4. Hii kasumba ya mods kuwa na umiliki wa nyuzi sijawahi kuielewa kabisa.

    Uzi uandike wewe.. Wao wajifanye wanajua kusudi la uzi wako mpaka wabadili title. Wao waone nyuzi yako zinafanana na nyuzi fulani then waunge. Hao hao mods wapite na nyuzi yako bila taarrifa. Hao hao wa edit uzi wako u fit vile wao wanaona ina sound vyema. Sasa, uhuru wa sisi wanajukwaa uko...
  5. Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  6. J

    Kwa Hotuba hii ya CJ, wazi kwamba hawa wanaolishwa mafundisho ya Yesu watamuumiza Kichwa Mh. Rais

    Mafundisho ya Yesu ni yenye Nguvu mno tofauti na tunavyofikiri. Vitabu vyote vinamtambua kama Neno la Mungu (John 1:1; Quran 4:171) na Mtume pekee yake ambaye hakuwa na dhambi na maisha yake yote hakufanya dhambi (Luka 1:35; Quran 19:19) Mtume pekee aliyefanya miujiza hata kufufua watu (Quran...
  7. Hii ajali ya New Force Dereva kaumbuka Chalinze. Atajiteteaje?

    Wakuu, Dereva ajiteteeje? Napingana na wanaosema alikuwa kalewa
  8. Harusi imebaki siku 3, send-off ikageuka msiba! hii story ya afrah ina maswali mazito

    Kuna matukio mengine ukisikia unajiuliza, ila unakosa majawabu. Nimekutana na story ya binti anayeitwa Afrah ambaye inadaiwa amefariki dunia zikiwa zimebaki siku tatu tu kabla ya harusi yake. Kwa mujibu wa taarifa , siku ya send-off akiwa ukumbini alianza kucheka cheka bila sababu...
  9. Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Nawaonea sana huruma watu wanaofanya kazi kitengo cha customer care. Hawa watu wanabeba lawama za Mataasisi na Maofisi. Mteja anapiga simu anaporomosha matusi, kejeli na lawama kibao. Alafu unakuta huyo mteja ndio mwenye kosa. Mimi nimewai kuona Boyfriend wa mteja alikopa pesa kwenye App...
  10. M

    JWTZ Kama taarifa hii mmeikana, msahau kushinda vita au kuilinda Nchi, Siasa za CCM zimeua Taifa.

    Katika mitandao kuna huu ujumbe unasambaa na Jeshi linasema si taarifa sahihi. Sio kila fake news ni ya kupinga, zingine ziko kimkakati sana, JWTZ kukana hii taarifa kwa kutokukaa kimya ni kuruhusu rasmi vijana wajilinde wenyewe hata kwa kutafuta Silaha. Hii habari jeshi limekanusha kwa nguvu...
  11. Wale wazee wa kuondoa post. Ondoeni na hii

    Au tunaonewa?
  12. Lawama zote hazimkwepi Mwalimu Nyerere kwa yanayoendelea nchi hii!

    Kataa au ukubali lawama kwa yanayoendelea nchi hii Nyerere hazimkwepi hata kidogo yeye anahusika kwa yanayoendelea wala tusifichane uungu mtu wake na kujifanya Godfather ndiyo imeifanya nchi hii iwe hapa Umasikini,udini,unyonge,ujinga na katiba mbovu yeye ndiyo muhusika kwasababu hakutaka...
  13. System haikutengenezwa kutukomboa, bali kutufanya watumwa

    Since a kid, used to feel like an outsider. Baada ya kujaribu ku fit in, naona imegoma kabisa. Unafanya kazi, mifumo inakufanya soul yako ijihisi kama iko kifungoni. Unajaribu kukaza, una burn out, ila utafanya je sasa, na hauja zaliwa na kuna MO, bakhresa? Kweli, the system wasn't...
  14. Hii picha inachekesha sana

    😁
  15. Naomba radhi kwa hii video Kama unaroho nyepesi usiangalie

    Naombeni mnisamehe 🤣🤣🤣
  16. Hii ndio nchi inayojali zaidi wananchi wake

    Unapozungumzia nchi zinazowajali raia wao kuliko zote duniani, jibu linategemea kabisa swali moja la msingi: Je, unatafuta utajiri wa mali za kifahari kwa wachache, au unatafuta mfumo wa haki na usalama kwa kila mwanadamu? Kabla ya kukimbilia nchi za Ulaya Kaskazini, hebu tuangalie mfano wa...
  17. Hivi CCM hii bajeti mnayotumia kukesha kujisafisha kuanzia mitandaoni,sanaa ,utekaji,nguvu ya dola na kujikosha

    Kwa jinsi pesa zinavyotoka na zinachotwa serikalini ili kujisafisha na kulazimisha kuwa yajatokea mnapata ujasiri gani. Mfano leo mnachoma mafuta ,mnajaza askari na wanajeshi kila mkisikia wasi wasi. Jambo lengine kulazimisha wasanii wawasifu,kujaza watu mitandao ya kijamii kujisafisha. Yetu...
  18. Wallpaper zangu za wiki hii ya maombolezo

  19. In love memories for MO29 na kwa maisha yetu ya kila siku ya mapenzi nakuletea ngoma hii - USINIZOEE.

    Dont take the love you are given for granted. Ukipata muda na kama bundle yako inakuruhusu, basi pita hapa youtube kisha subscribe, like and hit the notification button kwa burudani zaidi. https://youtu.be/vCIqVwP57yI?si=GGpZYsLeQJjRumpt R.i.e.p wapendwa wetu waliotutoka october 29 2025
  20. Subscribe hii Post: Kwa Makundi ya CAF yalivyo, ukweli mchyngy ni kwamba hakuna Timu hata Moja ya Tanzania itaingia robo fainali.

    Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana. My Take Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…