hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hii ramani rahisi sana vyumba viwili...hadi kuhamia inagharimu TZS Million 22

    2 Bedroom master ensuite hidden roof modern design ๐Ÿก Kwa mahitaji ya Ujenzi na ramani na mafundi wa aina zote karibuni kwenye group zetu.....Hapa utatoshelezwa na utatoka mtu mpya! ๐Ÿ’ฌ Chat nasi moja kwa moja (WhatsApp): wa.me//255789005562 Jiunge nasi kwenye channel yetu ya WhatsApp...
  2. Hii haikushindi kuanza nayo - Vyumba vitatu. Tunahusika na design hadi Ujenzi

    CHECK OUT THIS SIMPLE AND COMPACT SEBULE KUBWA NZURI ,DINNING ,OPEN KITCHEN ,1SELF BEDROOM,1SINGLE BEDROOM ,AND MASTER BEDROOM WITH CLOSET ,PUBLIC TOILET CALL US +255624004650
  3. S

    KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

    Wakuu Ni dosari gani zinazoonekana kwenye video hii? Mimi nimeona kadhaa mathalani watu wanavyojongea kama vile si halisi.
  4. Je Hii Ndiyo Kazi Waliyopewa Wanachama wa Chaumma (G55) Baada ya Kuukosa Ubunge?

    Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi Chadema CCM ACT Wazalendo Chaumma Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
  5. Mbona hii ni habari njema! !

    Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana! Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33: Nitamuita nimuulize hizi habari ni kweli au si kweli? Swali ni rahisi sihitaji maelezo. Akisema ni kweli, namuambia haya nenda...
  6. HOJA Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi. Katiba Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  7. Artificial intelligence (AI), Shetani, nyeto, na betting vinatumiwa sana kama visingizio miaka hii

    Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi. "Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha. "Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI", Samuya. "Nilibeti nikashinda TSH 1,000,000 (kumbe kaiba pesa)", by kijana niliyemwajiri kwenye duka...
  8. O

    AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  9. M

    Orodha hii ya matokeo ya Form 4 kwa mikoa imenistua. mikoa tunayoichukulia poa inaongoza kitaifa na mingine imebaki historia haina tena uwezo

    Nikiwa naperuzi mtandaoni nimeikuta hii orodha ya mikoa SAT ni idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani Nimeshangaa sana kuona kuna mikoa ambayo hatuizungumzii sana imefanya vizuri na kuna mikoa ambayo ilikuwa navuma hapo zamani lakini kwa sasa hali ni mbaya, Dar es salaam shule za day zina...
  10. Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

    Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,. Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU, SAMAHAN KWA usumbufu WOWOTE, KUHUSU kimuweka hapa sioni SHIDA kwani HIZI picha SIO za Siri ZIPO...
  11. Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  12. WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: ๐Ÿšฌ Uvutaji Sigara / Nikotini 2. ๐Ÿบ Pombe 3. ๐Ÿ’‰ Heroin 4. โ„๏ธ Kokeini 5. ๐Ÿ’Š Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. ๐Ÿงช Methamphetamine 7. ๐ŸŽฐ Kamari 8. ๐Ÿ“ฑ Uraibu wa Smartphone 9. ๐ŸŒ Mitandao ya kijamii 10. ๐ŸŽฎ Gemu (ps4, x-box, etc) 11. ๐Ÿ” Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  13. WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: ๐Ÿšฌ Uvutaji Sigara / Nikotini 2. ๐Ÿบ Pombe 3. ๐Ÿ’‰ Heroin 4. โ„๏ธ Kokeini 5. ๐Ÿ’Š Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. ๐Ÿงช Methamphetamine 7. ๐ŸŽฐ Kamari 8. ๐Ÿ“ฑ Uraibu wa Smartphone 9. ๐ŸŒ Mitandao ya kijamii 10. ๐ŸŽฎ Gemu (ps4, x-box, etc) 11. ๐Ÿ” Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  14. R

    Hii ndiyo video ya siku ya leo

    Bunge mfu marehemu?
  15. Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

    Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna.. Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
  16. R

    Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

    Kama siyo akili matope ni nini? Afadhali matope hii ni akili mavi ya mkorogo na mkojo
  17. M

    Hakuna Shortcut: Hii ndiyo nguzo ya maendeleo inayofanya Rwanda kuendelea kwa kasi kubwa na muda sio mrefu kuiacha Tanzania

    Mods please msihamishe wala kujoin Hakuna Shortcut, Maendeleo yanahitaji nidhamu.
  18. BASATA: Yapo wapi maadili kwenye hii nyimbo "Darasa la saba ya Mbosso" inayohamasisha mapenzi kwa watoto wa shule?

    Habari wana JF, Niende moia iwa moja kwenye hoja yangu ambayo pia naileta kama swali kwa baraza la sanaa ambalo huwa linasimamia pia maadili kwenye kazi za sanaa pamoja na mamlaka zetu zote zinazohusiana na kumlinda mtoto zikiongozwa na wizara husika. Kuna huu wimbo mpya ya msanii Mbosso...
  19. DOKEZO Hii RUSHWA iliyopelekea ENEO la Namanga Makangira Msasani kuruhusiwa kujengwa Maghorofa ni sh. ngapi?

    Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa? Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ