hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Karia ni familia, Pongezi kwake, Zifanyike kila jitihada Yanga asiingie kwenye vyumba vya kubadilishia nguo akatwe hadi points 20

    Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄 Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani Si...
  2. R

    Njia rahisi ya kuwajua mamluki wanaotumwa kumchafua Heche ni hii

    Ukiona mtu anafanya kazi ya kumlaumu Heche, lakini hajawahi kuyakemea/ kuyasemea haya listed below, ujue katumwa na mbogamboga kumchafua Heche. Mfukuze kama ana kadi ya chama 1. Akiambiwa kuna tone tone haongei chochote 2. Akiambiwa free Tundu Lissu haongei chochote 3. Akiambiwa viongozi wa...
  3. A

    DOKEZO Mbona hii V8 ya Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho inatumika kwa shughuli binafsi ikiwemo kubeba mkaa na cement

    Kwa zaidi ya mwaka mzima sasa gari ambayo inatakiwa kutumiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kwa ajili ya shughuli za kiofisi badala yake imekuwa ikitumika kwa shughuli binafsi nyingi ikiwemo za masuala ya shamba. Gari hilo lenye namba za usajili SU 42509...
  4. K

    Tujadili hii kwangua kwangua ya barabara kila mwaka ina tija gani?

    Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu Hapa tusaidiane...
  5. L

    KERO HII BADO IPO, Bomba la Maji Linavuja tangu May Oleiron Mwanama Arusha.Taarifa zimetokewa Kwa wahusika tangu May.Hakuna hatua

    Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi. AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA nao kimya.Uwajibikaji uko wapi siku hizi. Waziri wa Maji na Tamisemi ingilieni kati.
  6. Je, iran akimshambulia ukraine, umoja wa ulaya utaingia katika hii vita?

    Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
  7. R

    Wanaosingiziwa na kushitakiwa kwa ugaidi. Mawakili kuweni macho na forced confessions. Soma hii case imetoka juzi

    Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
  8. 2030 Kuna watu watakimbia hii nchi. Hifadhini maneno haya

    Wezi na wabadhirifu wa Mali ya umma, mafisadi na familia zao, matajiri wa dili ambao kwa awamu hii wanatamba wajiandae. Mapema 2030 watahama na Mali zao kutaifishwa. Huyu Samia kitakachomlinda ni katiba hii mbovu ila akijichanganya tukapata katiba yenye meno na yeye atavuna alichopanda.
  9. Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  10. Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  11. R

    Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  12. PostGE2025 Bunge la Marekani laikosoa ripoti ya Chade, lataka Samia afikishwe ICC

    https://vt.tiktok.com/ZS4J6KuBH/ Soon veri soon....
  13. Huu sasa ndo uwajibikaji! Hii ni India

    Siku chache zilizopita huko nchini India kulikuwepo na maandamano makubwa ya wanafunzi kupinga uvujaji wa mitihani ya wanafunzi wanaosomea udaktari. Yalikuwa ni maandamano makubwa sana yaliyofanywa na Cockroach Janta Party au kwa kifupi CJP. Kwa taarifa zaidi kuhusu hiyo CJP unaweza kuingia...
  14. Andaa tiba hii ya vidonda vya tumbo (ulcers) na ulete mrejesho

    mtomoko mjaafari kokwa la parachichi Chukua mimea ifuatayo:1.Unga wa matunda ya mtomoko (Annona Cherimola) 500 gm2.Unga wa kokwa la parachichi (Persea Americana) 500 gm3.Unga wa mizizi ya mjaafari...
  15. Hivi duniani kuna starehe kama hii?

    Upo zako mahali, unakunywa pombe Kali na vichanganyo vya baridi, wakati huo nnje huko Kuna jua Kali sana linawaka 🔥🔥 Wakati unakula vimiminika wanapita walimbwende wewe kazi Yako ni kuwapiga makofi ya 🍑 Oyaaa ndio maana CCM wanakuwa wabishi kutoka mana kama Mimi naenjoy hivi hao wakina sigwa...
  16. Hii Kitu haiwezi Kutokea KAMWE.

    Nawaza tu. 2030 kamati kuu wamfanyie Figisu Imma, asiorodheshwe kwenye 5 bora ya watia nia nafasi ya Uraisi. Alaf Imma akaamua kwenda Chadema. Mind you Lissu pia yuko Huru. Huo Mtanange wake utakuwa sio wa kitoto.💥💥💥💥 Yale ya 2015 yatajirudia. Anyway . Haiwez kutokea hili. NB: Tumeona...
  17. Bila Rais Samia hii nchi ingejifia kitambo sana,Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili

    Rais samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea kwenye Taifa hili na nina uhakika bila yeye hii nchi ingejifia kitambo sana Rais samia kipenzi cha wanyonge na kiboko ya wapizani na nina uhakika wapinzani wanampenda na kumkubali sana Muda mfupi Rais samia amejenga miundombinu mingi sana...
  18. Wamarekani wataweza kuifanya hii operesheni??

    Wanajiandaa kutuma wanajeshi plus special force zao zote kwenda Iran kubeba vifaa vya nyuklia plus rasilimali zote zinazohusika na urutubishaji !!!Wataweza?? Pentagon eyeing megaraid to steal Iran’s nuclear stockpile – media The Pentagon is contemplating what could become “the most...
  19. Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  20. Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…