hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atazungumza na watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, juu ya maazimio ya Kamati Kuu ya Chama iliyoketi Julai 08, 2023 kuanzia saa 8:00 mchana huu. Yote yanayojiri utayapata hapa. === MKUTANO...
  2. Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  3. D

    Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

    Wajumbe, Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji. Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
  4. Ulishawahi kutoka usingizini na kudhani umechelewa kwenda shule au kazini?

    Hello, Ushawai kulala mchana ukaamka ukaona kama umechelewa kwenda shule au kazini? Mimi imeshawahi nitokea nikiwa nimelala mchana nikaamka nikaona mbona kama nimechelewa shule, nikaamka chap, nikakimbilia bafuni kuoga na kuvaa sale za shule. Sasa nikiwa navaa viatu kaka akaingia chumbani...
  5. F

    Chanjo ya kwanza kabisa ya malaria inasambazwa Afrika. Nchi 12 za kwanza kupatiwa

    Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili. 18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF World Health...
  6. Nauliza tena wapi fundi mwenye uwezo wa kubadili mlango wa sienta huu wa abiria uwe kama hii ya kawaida ya kufungua na sio wa kuburuza?

    Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango mingine usiwe wa kuburuza kama ulivyo sasa inawezekana?
  7. Kwa wapenda muvi na series, hii ndio mbinu rahisi ya kuzidownload

    Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
  8. S

    Wanasheria, kama mkataba una mapunfufu ya aina hii, wakitupeleke mahakamani , wanaweza vipi kushinda kesi dhidi yetu?

    Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili. Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...
  9. Nairobi mida hii, walinda legacy Kayole

    Watasema mmiliki wa hii chuma ni Humphrey Polepole kumbe wapi ni bwana Njoroge. Chuma imesimama kabisa na hapa ni Nairobi.
  10. Imefikia muda hii nchi pale ambapo Mtu Tajiri anafanya matumizi yake ya kila siku,Masikini wanadhani anafanya anasa. Tafuteni pesai!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hii nchi inavituko sana kila uchwao,naomba nirudie tena hii kauli, ya kwamba "Unapotaka kuolewa au kuoa hakikisha unaoa au kuolewa na mtu mwenye akili timamu, usipofanya hivyo matokeo yake mnaibebesha nchi watu wapumbavu ingawaje shule wamekwenda"...
  11. D

    Namna pekee ya kujinasua kwenye aibu ya mkataba wa DP World ni hii hapa

    Wajumbe, Mkataba huu wa kijambazi wa DP World na wajanja wachache ndani ya CCM na Serikali yake imekiacha CCM uchi mchana wa jua Kali. Kinachoendelea kwa sasa ni kujifaragua tu na the so called "tuendelee kutoa elimu" kwa wananchi. Serikali ikisema unafutwa tuanze upya itakuwa ni aibu na...
  12. Kwanini DPW Wameamua Kuchua Bandari za Tanzania, Kenya na Msumbiji kwa Wakati moja. Hii ndiyo sababu.....!!

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  13. R

    Kama IGA inayozungumzwa ni hii basi Mwabukusi na wenzake watashindwa kesi na tutaona wameonewa

    Habari jf , Kwanza kabisa ifahamike IGA hii ni MKATABA sio makubaliano ya kawaida kama yanavyosemwa ,sababu ni makubaliano ya kimaandishi na yana ulinzi wa kisheria . Pili huu Mkataba Una Ukomo lakini huo ukomo unategemea HGA -ukisoma vizuri utagundua umefichwa kwenye HGA ,ambayo ndio mikataba...
  14. B

    Awamu ya tano kulikuwa na Tundu Lissu Mmoja, awamu hii kuna akina Tundu Lissu 1000

    It is trending now. Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi. Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe. Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki. Mdogo...
  15. Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  16. G

    Hii nayo muite SCAM

    Watanzania wenzangu tuacheni kuita kila kitu scam, pesa ipo huko kwenye Forex na Igaming, sio kila pesa mpaka ukalime jamani. Bila kusahau kuna VAULT ya MIL 200 pale sokabet bandugu wewe ita kila kitu scam watu wanakula kuku kwa mrija na slots za shilingi 100.
  17. Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  18. Tusifiche 99% ya wana Yanga SC walijua atakayetambulishwa Saa 12 hii ni Mayele kumbe ni Mchovu Gift Fred

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka? Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
  19. Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

    Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake. Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
  20. Hii nchi sio viongozi pekee ndio waovu, bali ni wananchi wengi ni waovu pia

    Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba... Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…