hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

    Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
  2. PS5: Hii ndio final fight katika game ya God of War Ragnarok

    Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu). Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana na pia graphics ziko poa, na fight zake ziko amazing sana.
  3. R

    Tufikirie science kidogo The theory of relativity says that the faster the speed, the slower time passes by Albert Einstein

    Ina maana kuwa nikienda mwezini na chombo chenye speed inayokaribia na speed of light (you can not attain the speed of light anyway), basi sitazeeka maana time itarudi nyuma! Ageing process will slow down. sasa kwanini tusiwe na mashine yenye speed kubwa kiasi kwamba time will slow down na...
  4. Ni dharura: Je, hili ni kawaida kwenye hii mimba?

    Tarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...? Je kuna hatari? Kama ipo nini kifanyike...? Na kama ni kawaida hakuna hatari...hii inaweza ikafika mpaka lini..? Na kama...
  5. Mnaikubuka hii movie?

    Mnaikubuka hii movie ya Ajay davigan inaitwa Vijay path aise Kuna song umo demu alikua anawaza baada ya mshikaji kumualika kunywa chai aise vya kale zahabu zile alaaa zinavyopigwa Yan madogo wa ckuiz wanazngua. Ule uhalisia wa bollywood hakuna Tena nachi inaimbwa Kama amapiano
  6. Hii ni nchi gani ambayo maghorofa yanafika hadi mawinguni?

    Mniambie kwa kina nisije kuwa nimepigwa na kitu kizito. Ni kweli kuna nchi ina majengo marefu kiasi kwamba yapite usawa wa Mawingu😅😅 Kuna watu wanamchokoza Mungu, tusije letewa yale yale ya mnara wa Babeli
  7. Hii dawa ninaweza kuipata wapi?

    Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
  8. Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter". Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jina😂😂,Daaah hatari sana...
  9. Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume. Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo. Mabarabarani nako utakutana na wasichana...
  10. O

    Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

    Ni kwa ajili ya usafiri wa haraka sina budget ya gari nimependa hii kitu naipata wapi? Ongeza ushauri zaidi
  11. R

    Hivi hii mikataba ilisomwa na kueleweka kabla ya kusainiwa ?

    Kuna hii clip inaonyesha mikataba ikisainiwa kwa speed kubwa kweli . Hivi imepitiwa kwa kina kweli ? Mbona ni kama hakuna u seriousness . Kwa hii clip ,mkataba wa DP unaonekana ulisainiwa 2022 feb 27 na 28 tukawekwe mjengoni ?
  12. Hili la kuhusu usalama wa pesa za pensheni za Wastaafu limekaaje?

    Heri ya nanenane kwenu nyote mtakaopitia uzi huu. Ndugu zangu kwa sasa wazee wetu wastaafu wanapitia suala gumu sana linalohusiana na kikokotoo malalamiko yapo kila pahala. Nina imani Serikali yetu sikivu inasikia na inafanyia kazi jambo hilo ili wazee wetu wapate stahiki zao zote bila...
  13. Vijana wa Arusha wanaozilazimisha bodaboda ziwe pikipiki za michezo wanapukutika sana na kupata vilema vya kudumu kwa kujitakia wenyewe

    Wanatumia pikipiki ya kichina zisizo za michezo kufanya michezo, hawana helmet, gloves ngumu, guard ya viwiko, guard ya magoti, safe jacket, suruali ngumu, buti, begi lenye sponji, n.k. mwendo wa Ngiri mkia juu, kasi ya kuwapumzisha wadudu inazidi kuwa kubwa, vifo vingne nikujitakia sio Mungu...
  14. Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
  15. Nauza Mifumo ya kuangalia matokeo

    Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini, yaani utakavyo on the fly kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi, mfano kuweka matangazo au...
  16. Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
  17. Watu wenye akili nchi hii wapo. Tatizo ni kupewa vyeo kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa

    Kwa wale ambao tumewahi kuwa watumishi wa umma tunakubaliana kuwa wapo Watanzania wengi tu wenye uwezo mkubwa kiakili. Tatizo moja la nchi hii, watu hupandishwa na kupewa nafasi kubwa kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa. Yaani wale watumishi wasiohoji chochote, wazee wa ndiyo ndio...
  18. Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  19. Sijawahi kuona CCM dhaifu na nyepesi kama ya awamu hii si katika kufikiri, kutatua na kujibu hoja. Sekretariati mbovu na dhaifu

    Wasalaam JF, Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts. Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru. Sekretariati...
  20. Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…