hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

    Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi...
  2. Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  3. Mikao hii yote ya maombi ni halali na ina heshima sawa mbele za Mungu. Sio lazima upige magoti au usujudu katika kuomba

    Unaweza 1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. 2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia. 3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane. 4: Kuomba umeketi kama daudi. 5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
  4. Hii sasa ni aibu kwa Israel

    Mwezi mmoja sasa tokea Israel inaaze kuitwanga Gaza. Israel inaitwanga Ghaza baada ya HAMASI kuishambulia Israel kwa kushitukiza na kuwachukua watu kama Mateka. Lengo la Israel kuibomoa Ghaza ni kutaka kuwachukua Mateka wao. Israel ni nchi inayoelezwa kuwa inaongoza Ulimwenguni kwa kuwa na...
  5. Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

    Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana. Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya. Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili...
  6. Nawakumbusha tu Yanga hii haina namba 9 asilia

    Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo. Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE 🤣🤣 Mgeni rasmi na kocha...
  7. Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro unaonekana Ofisi Za chama fulani cha upinzani Kilikoni?

    CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM. Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
  8. N

    Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

    Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT. Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama...
  9. N

    Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

    Sababu kubwa. Mvua itanyesha kubwa sana jumamosi na itasababisha maafa makubwa. Uwanja hautaweza kuchezeka mechi. Tujiandae kwa hilo
  10. Hakuna Kiongozi Mbovu nchi hii kwa sasa kama Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nikamatwe niwekwe lokapu,nikitoka nitakuwa na adabu na nitaanza kusalimia! Kama kuna mambo yanafanya kama Taifa tusisonge mbele ni kubarikiwa kuwa na watu wapumbavu wa viwango vya juu kuliko maelezo! Sijajua ni nani amesmshauri kufanya ujinga anaoendelea...
  11. Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

    Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda. Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda. Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu...
  12. Hii ni kama ile ya Salma Kikwete kuwaambia wanafunzi wa kike wasikubali kudanganywa na vichipsi

    Hakuna kosa la ukahaba. Wale wanawake waachiwe watafute pesa wanavyojua. Ni kosa mtu mwenye hela nyingi kuwashangaa wanawake wanaofanya ukahaba. Dini ya Kikristu haikatazi haya mambo. Unakumbuka Papa Francis alifanya mkutano na wauza vipodozi. No kidding! Papa alifanya mkutano na wauza...
  13. Hii teknolojia ilifaa kuendelezwa

    Uvumbuzi mwingine mzuri kutoka miaka ya 1900 ulikuwa kamera ya bastola. Iliundwa kwa kamera ndogo iliyounganishwa kwenye pipa la bastola ya Colt .38. Wakati trigger ilipovutwa, bunduki na kamera zote ziliwashwa wakati huo huo. Kifaa hicho kiliundwa mnamo 1938 na Shirika la Watchman la New...
  14. Mbinu za medali za kuchepuka na 'mali za watu' kwa usalama wako

    1. Never take photos with him/her. 2. If you called and she/he hangs up, don't call back immediately. 3. Never text love-messages. 4. Satan should not tempt you to sleep at his/her house even when her/his partner is out of the country. 5. Never book the same lodging every time you go for...
  15. B

    Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

    Kwa formation hiyo, Simba SC inaenda kuibuka na ushindi mapema sana. Nimejaza viungo Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute, na Mzamiru Yassin ili kuwazuia viungo wa Yanga na kuongeza mashambulizi kwenye lango la adui. Kanoute anasimama mbele ili kuzuia rafu anazoweza kufanya karibu na lango lake la...
  16. Kuelekea Derby ya Simba na Young Africans, hebu tuangalie hii tofauti kati Kocha Robertinho na Gamondi

    Kuelekea Mchezo wa Derby ya Kariakoo inayotegemewa kuchezwa jumapili Movembe 5, 2023 Hebu tuangalie Staili ya kucheza ya makocha hawa Miguel Gamondi wa Young Africans na Roberhno wa Simba Tukianza na Kocha Gamondi Staili yake ya kucheza inamvutia shabiki yeyote ambaye anataka kutazama soka...
  17. Tanesco acheni uzembe. Mmeanza jisahau sana kwa sasa. Hamuoni hii hatari?

    Mvua zinanyesha Dar. Huku kwetu Mikocheni hamkati umeme. Je hii si hatari? Kawaida huwa likitokea wingu tu mnakata umeme. Lakini nashangaa hadi inanyesha mkataji amezubaa tu. Je mmeanza kuzoea kazi? Acheni mambo hayo please. Kateni umeme huku Mikocheni hizi mvua haziendani na umeme.
  18. Hivi hii imekaaje? ya mwanaume kukaa ukimbembeleza mwanamke/mpenzi masaa kibao akilia wewe unachukua kitambaa unampangusa

    Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na...
  19. BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu

    Hizi ni scene zinazopatikana kwenye video ya wimbo wa Ameyatimba wa Whozu, akiwa amemshirikisha Mboso na Billnas. Imagine umekaa sebuleni na wanao au watu mnaoheshimiana mkasema ngoja tuwe wazalendo tuweke Wasafi TV, kisha ghafla mnakutana na hizi scene. Pia soma: 1. Whozu, Mbosso...
  20. Hii nchi inawahitaji kina Paul Makonda wengi

    Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,tofauti na hapo utaula wa chuya! "Watu wanaopaswa kufa kwenye hii nchi ni wengi kuliko walio hai" Hii nchi ya Tanzania bila kuwa na kiongozi Katili,muonevu,mtoa amri za kutisha na asiye cheka cheka ovyo hatuwezi kusonga!. Mfano mzuri ni Chuma Cha Pua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…