hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila. Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
  2. Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa. Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi? Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi...
  3. Hii ndoto ina maana gani?

    Hapo vip!! Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto. Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa...
  4. R

    Ikiwa umechoka kuonewa daily, chukua hatua hii utanishukuru

    Salaam, Shalom. INTRODUCTION. Leo naongea na wale wote wanaoonewa katika nyanja mbalimbali,kiuchumi, AFYA,kisiasa,kimahusiano, kiimani nk nk. Yaani umeonewa na adui Yako amezoea kukuonea Hadi anakuja live kukutambia,anakwambia waziwazi katika eneo lako la KAZI, biashara, ardhi, KILIMO kuwa...
  5. S

    Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

    Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM. 2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya...
  6. Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

    Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ( KIZARAMO : Kulonda = kutaka). Hapo Inspekta alikuwa...
  7. Baada ya muda mrefu nimepata mtandao mzuri wa kunishauri muvi/series kulingana na vionjo vyangu, Ni zaidi ya kuchuja Genre, napata kitu roho inapenda.

    Nimezunguka sana jamiiforums, reddit, yts, n.k. katika kusaka muvi kali za kucheku lakini nikaja gundua watu tumetofautiana vionjo, ushauri wa muviz upo juu juu haujaingia kwa ndani kugusa vionjo vya ndani zaidi, matokeo yake unaweza shauriwa cheki muvi flani lakini unaishia kupoteza data na...
  8. Najishangaa kwanini ninakuwa na hii roho ya huruma kiasi hiki. Najiona mjinga asee

    Habari za kwenu ndugu zangu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Siku za hivi karibuni nimenunua kausafiri ambako kananisaidia kwenye stunting zangu za hapa na pale hapa mjini. Lakini nimenunua huu usafiri baada ya kununua nimekuwa nikipata udhoefu tofauti tofauti ikiwemo kumwazimisha mtu ambapo...
  9. K

    Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
  10. K

    Rasimu ya sera mpya ya elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 hii hapa

    Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili. Nini maoni yako?
  11. T

    Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza. Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke. Kwenu...
  12. Kama una kitu na unahitaji kikue hakikisha unakitoa kwa njia postive (Chanya) na hii ndo siri ya kutoboa katika career yako au Kazi.

    Kama upo na talanta au karama hakikisha unaitoa kwa njia chanya Kwa WATU baada ya hapo karama yako itakuzwa Mara-dufu. Hii ndo siri huwa wanaitumia watu Kama Robert Heriel Mtibeli na wengine katika kupata Mafunuo ya kuandika na kufatiliwa na WATU Mungu aliwapa karama na wakaitumia positive na...
  13. Mimi almaarufu madevu, huu uchebe wa vijana wa siku hii mimi basi imetosha

    Ufugaji wa ndevu ninaamini tuliuanza miaka kadhaa. Kabla yetu walifuga wazee wetu. Nimeamua kukata na kuwa na kidecu na mdogo kama uch.i wa mbuzi. Kunyoa ndevu zote kunafanya unakuwa sura kama ya mbuzi. Mdogo na kidevu ndio kabsaaa. Siku hzi vijana wameiga yaani inaboa na haivutii nahisi tangu...
  14. Picha ya kufungia mwaka hii hapa

    Huyu hapa ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , akiwa na Askari baada ya kumaliza Mkutano wa Hadhara kwenye Jimbo la Kilolo, Mkoani Iringa. Toa maoni yako.
  15. R

    Naomba kujua sentensi hii ina makosa/kosa gani la kiingereza

    A thorough perusal of the Notice of Motion and the averments in the affidavit, two major grounds on which the application is based clearly comes out.
  16. Aibu hii ya waandishi wetu tumlaumu nani?

    Ukweli tunatia aibu. nadhani sekta ya habari inahusika na jambo hili. Sikiliza swali la mwandishi wa valor kwa kocha wa Al-Ahly. https://www.youtube.com/watch?v=oN9GvVQGckg
  17. Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku. Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda maisha yangu yangekua na amani na matumaini. Mimi sio mdau saana wakuandika nyuzi humu JF lakini...
  18. Unaelewa nini ukiangalia picha hii ya Gigy money?

  19. M

    Kauli ya RC Chalamila ''Mtu akifia Polisi wanasema polisi kaua, lakini ikiwa ni hospitali ni mipango ya Mungu'' siyo ya kiungwana

    Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya...
  20. Kwa hali hii ya utoaji mimba kiholela, p2 zimegoma au zimezira

    Kwa kipindi sasa jambo hili la utoaji mimba kiholela limeshamiri na limeanza kuzoeleka na kuonekana la kawaida kabisa mtaani. Utaskia tu mtaani wakiongea, aah pisi fulani kafinya bana, si unaona kachuja, hajui mimba ni ya nani na mshkaji aliyembambikia kamakazia sio yake na kwakuwa pisi bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…