hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge Sigrada: Nature ya wasema ukweli nchi hii wanateseka, ukitaka kuteseka nchi hii wewe sema ukweli

    Huyu mama japokua yupo kwenye bunge haramu ila amemaliza kila kitu kwenye hii clip
  2. Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  3. Unajua nini maana ya Muswada wa Sheria? Hii hapa maana yake

    Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uandishi wa Sheria Bungeni, Ndugu Agnes Ndumbati akielezea mchakato mzima wa Muswada wa Sheria kabla haujawa Sheria kamili.
  4. A

    Kama wewe ni mhitimu wa digrii au diploma ya kodi na bado hujapata ajira wala fursa ya kupata uzoefu wa vitendo, taarifa hii ni kwa ajili yako.

    HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo. Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
  5. M

    Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani mpaka ikamilike? Pamoja na finishing

    Habari wakuu,
  6. Siri ya Utulivu na Mafanikio

    Baada ya kukua na kutambua jinsi watu wanakuwa controlled na hisia. Watu ambao hawajui kuwa less attached na kupannic. Huwa sio kwamba ni wakali au wagai gai by nature. Na pia sio watu wakali by nature, huwa ni so weak. Ila ile reaction ina wa manipulate kudhani wako sahihi. Kadri unavyo...
  7. Wapi imewahi kutokea hii?

    CCM wa siku hizi hawana akili kabisa. Eti walishinda uchaguzi kwa 98% na kupata kura milioni 31 kati ya milioni 32 [jambo ambalo ni la uongo] zilizopigwa! Hata mwaka haujapita, wameshaanza kufukuzana, kuvuana uanachama, na hata kutekana na kuuana. Mimi sijawahi kuona wala kusikia mahali...
  8. R

    CCM, Hii siyo sawa. Pamoja na yote , msingelimfutia uanachama nchimbi. Mungu anawaona

    Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu. Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama...
  9. TEC tunasubiria waraka wenu kwa hamu, mnakuja na lipi awamu hii?

    Friends and Our Enemies, Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything". Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na...
  10. Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  11. Tulikubaliana hii serikali hatuitambui kwanza sio halali kinachotokea hapa jukwaani ni usaliti

    Ni baada ya ule uchaguzi tukala yamini kuwa serikali hii imeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na tukasema kuwa hii serikali si halali na hatuitambui hiki kitendo cha kumuona mng'atukaji wa serikali batili kuwa ni malaika ni usaliti
  12. Hivi nyie wanaume wenzangu hii hali huwa mnaichukuliaje?

    Kwa mfano kabla hamjaanza mechi, demu anakuambia kabanwa kukata gogo.akitoka kukata hilo gogo huwa bado unakua na mzuka wa kumtia kama ulokua nao mwanzo? Mimi binafsi hii kitu imenishindwa,naona kinyaa.
  13. Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  14. Mpaka sasa Ile barua inayozunguka mitandaoni ni fake mpaka msemaji wa serikali atoe tamko la kuipokea

    Nadhani kuisambaza barua ambayo Haina baraka za serikali au ushahidi wa matamshi wa mhusika (aliyejuhudhuru) ni kosa kisheria. Mambo serikalini hayaendi kwa kukurupuka juzi tu hapa tulisikia account ya VP ime - hacked zaidi ya mara 50 halafu Leo hii mtu anaamini upesi kiasi hiki, lazima watu...
  15. UMEELEWA NI K KUHUSU UJUMBE WA PICHA HII

    Ujumbe huu nimeukuta mtandao wa Twitter(x) mwandishi hajaongeza neno lolote zaidi ya picha Nakaribisha tafakari
  16. M

    Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

    N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia. Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo MWIGULU GWAJIMA PAUL MAKONDA RHIMO NYANSAHO
  17. M

    Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  18. Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  19. M

    Hivi hii nchi hatuna wazalendo wenye nyadhifa za juu kwenye majeshi yetu?

    Maana wazalendo tusiokuwa na uwezo wowote wa kulazimisha mabadiriko tukipaza sauti tunalazimishwa kujiuzulu, au kupotezwa. Sasa nauliza huko kwenye majeshi yetu hatuna wazalendo ambao hawawezwi kupotezwa wala kulazimishwa kujihuzulu wanapopaza sauti ya kulinda mali za watanganyika? Captain Tesha...
  20. M

    Endapo Nchimbi atatakiwa kuachia Umakamu, tutumie fursa hii kuchochea Uhuru wa Tanganyika.

    Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru. Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…