hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua watazamaji ni nini tunataka na akatupatia. Natumai waandishi bongo muvi watafikia levo hizi 1 day.
  2. N

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi! Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe. Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'...
  3. Nini maana ya hii ndoto?

    Mimi ni Mkristo. Niaminivyo, chanzo cha ndoto inaweza ikawa: 1. Ujumbe kutoka kwa Mungu 2. Kazi ya Shetani kwa lengo la kuharibu 3. Uchovu wa mwili na aina ya mawazo uliyokuwa ukiyawaza kabla ya kulala. Hivi karibuni, nimeota ndoto ambayo mpaka sasa bado sijapata tafsiri yake. Niliota...
  4. Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

    Wengine mara kwa mara tumekuwa tunajitahidi kusema ukweli na kuwapa maua yao hawa Yanga toka msimu huu unaanza. Ni ukweli ulio wazi kuwa Yanga inacheza mpira wa kueleweka, ni timu yenye kasi na inaweza kulazimisha ushindi pale mambo yanapokuwa magumu. Pamoja na kwamba kuna mara kadhaa katika...
  5. F

    Imekaa namna gani hii wakulungwa

    Mtoto anasema katumwa kuja kucheza. Nyumba aliyotumwa hakuna watoto ni watu age go. Namuuliza anasema mama yake kamtuma aje kucheza. Nikauliza baba yupo? Kakajibu ndio. Je niliyoyawaza mimi Babu Njunju ndivyo au?
  6. Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

    Salaam Wadau, Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini? Cc: Chief-Mkwawa
  7. FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad 📆 24.02.2024 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 1:00 Usiku Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 0-0 Dakika ya 10 Musonda anakosa goli la wazi Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 11 Lomalisa anapewa kadi ya...
  8. Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  9. Huzuni Nyingine Yaikumba Arusha: Ajali Yachukua Roho Za Watu 15 Jioni Hii

    Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari kubwa aina ya Scania kufeli breki na kwenda kuparamia magari mengine katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. Ombeni Kirusha ambaye ni Shuhuda wa tukio hilo amesema “Kilichotokea ni ajali, nilikuwa na gari...
  10. Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
  11. Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
  12. Hii ni defication yenu

    Yawatu wa jf wanaoninyanyasa na wenye masimango. https://youtu.be/Iw4t70zCf7s?si=w3y67nGwuWrbpa0q
  13. B

    Kuelekea Maandamo Arusha Feb 27: Tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii

    Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii. Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu: Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii: Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
  14. Kwa jambo hili niliwaunga Mkono TCRA . Nchi hii wenye akili ni wachache sana

    Hakuna Mtangazaji mwenye akili anaweza ongea jambo kama hili. Tanesco wana matatizo yao na pengine ni ya kisiasa zaidi. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atapendezwa na suala hili la kukatika katika umeme. Lakini ni mtu mpumbavu tu anaweza fanyia mzaha jambo hili zito Kitaifa. Ni wakati sasa...
  15. A

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini. Masikini ya Mungu Huyu Mkewe ndiye alikuwa muhasibu wa kampuni zote za huyu mfanyabiashara kwa miaka 20. Majaji wetu hukumu...
  16. Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja

    Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja. Mbona kila kitu kimetoka kwa mabeberu Sasa katengeneza ni ni hapo
  17. DOKEZO Responded Songea: Shule ya Msingi Mshangano ina vyoo vichafu sana. Ina wanafunzi 914 na matundu 10 ya vyoo

    Ndani ya Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, inapatikana Shule ya Msingi Mshangano. Shule hiyo ina vyumba 6 vya madarasa na wanafunzi zaidi ya 900. Pamoja na kuwa imeanzishwa miaka michache iliyopita, changamoto za uzembe zinajitokeza katika shule hiyo, kama vile ukosefu wa maji ambao...
  18. M

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
  19. Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

    Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe. Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya...
  20. Makonda ni Shujaa na hajawahi kufuta Kauli yake Hii hadharani!

    Mwenezi wa CCM Bwana "Daudi Albert Bashite" al maaruf kama Po Makonda, amekuwa na kauli tofauti tofauti dhidi ya mtu yeyote. So far kishawazodoa karibu viongozi wote,wa kisiasa na kidini isipokuwa aliyemteua. Unakumbuka kauli ipi kwa kiongozi yupi ? Nukuu tafadhali!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…