hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Tudadavue kauli hiiya Rais Samia: Polisi hongereni sana, nchi imetulia

    "Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia Maelekezo gani? My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji...
  2. Kwenye kubeti, kuna watu wanashindaga hii Perfect 12?

    Binafsi huwa sibeti na siku nikiamua kubeti huwa nataka nishinde mzigo wa maana. Kwa hiyo ama nitaweka pesa nyingi au nitabeti matokeo ambayo siyo mategemeo ya wengi (yenye odds kubwa sana) kama hisia zangu zinaniambia hivyo. Siku hizi nimetokea kubeti zaidi hii Perfect 12 maana nikiangalia...
  3. Hii ni kweli kuhusu Majini?

    YAJUE MAJINI KWA UNDANI - Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto " - Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi. - Majini ni mashabiki wazuri wa michezo ya mpira, kamali n.k - Majini yana vitengo kama zilivyo serikali zetu...
  4. Polisi ya Kenya kushirikiana na LSK uchunguzi wa miili 11 ilio kutwa Dampo. Je Tanzania hii inawezekana?

    Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa. Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika...
  5. Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  6. L

    Naomba ufafanuzi kwenye hii Picha ya Kim Jong Un na Raisi wa Ukraine

    Jamani hii Picha ninayo iona hapa ni ni ya kweli au imetengenezwa na akili mnemba AI
  7. Viongozi kutishia wananchi hadharani hii imekaeje wakuu?

    Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa? "8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo - (a) wananchi ndio msingi wa mamlaka...
  8. T

    Eti hii imekaaje

    Kuna mgonjwa akila chakula anapata maumivu kifuani usawa wa kwenye moyo anasema anasikia kama vile Kuna mtu anamchoma na misumari kwenye moyo na pumzi inakata kama vile mtu anaekata roho Kwa dk kama tano alafu anapata nafuu... hospital wamepima Kila kitu ikiwemo afya ya moyo lkn hakuna tatizo
  9. Natafuta anaeweza kutengeneza au wanapouza aina hii ya majiko

    Hii ni nusu oven https://youtube.com/shorts/Cq65cJXrEDc?si=OCHus-xjbSdVyx65
  10. Putin hawezi kushida hii vita, anamalizwa mdogo mdogo

    Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA) Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja...
  11. Hii nime copy pahala

    C&P Rais @SuluhuSamia , haya anayoyaongea Rais @WilliamsRuto ndiyo tunayotaka kuyasikia kutoka kwako, sio mahubiri ya dini. Tunataka kusikia umekataa kuidhinisha bajeti ya Bilioni 180+ kuhudumia wabunge 390 pale Dodoma huku umma wa watanzania ukiteseka na umaskini uliokithiri. Tunataka...
  12. M

    Jerry Silaa hapa umeonyesha Kiburi cha Mamlaka na hii haikusaidii na haiisaidii nchi jirekebishe

    Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke, ana ndugu na jamaa wanaoheshimiana naye- Wewe unamjibu kwa nyodo na kumuitia Polisi wamchuke. Hii...
  13. N

    Jaman hii race ya wazungu ina mademu wakal jaman..tuachen kudanganyana..umbo sura shepu had mat*

    Mi naish huku,aisee...na nazunguka sana Schengen,,aisee hawa wenzetu na ubaguz wao ila wana watoto wakal jaman...yaan wana watoto wakal..nikisema mademu wakal hiv mnaelewa..na hiz nywele zao bazo dada zetu wanazipenda had wanazinunua kwa bei mbaya aisee.., Sasa naambiwa eastern europe huko ndo...
  14. Sijaelewa plan hii ya vituo vya mwendo kasi (BRT-UDART)

    Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji 2. Kituo cha DIT na KISUTU 3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B. 4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
  15. Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho Karibu sana simu 0712815440
  16. Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  17. Enyi UTUMISHI, hii Ufasuaji ni nini?

    Nafasi za kazi kada ya Afya kwa sasa zimepitia ajira portal na sio TAMISEMI kama ilivyokuwa awali. Kuna kazi imeandika DAKTARI BINGWA UFASUAJI hii ni nini?
  18. King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

    King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
  19. Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

    USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye...
  20. Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…