hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Tunazeeka kwa kasi. Wale wa 1985 sasa ni miaka 40

    Time Is really moving ni kama siku zinaenda kasi ajabu ndani ya miezi 3 2015 itakua miaka 10 iliyopita. Wa 1985. ni 40yrs. Wa 1990 ni 35yrs.
  2. Kuna watu umasikini hauwezi kuwaisha hapa duniani

    Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake! Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia...
  3. Aina hii ya watu huwa na washangaa sana. Huenda na wao pia huwa wananishangaa

    Mungu awe nanyi nyote. Nikweli kwamba hatuwezi fanana kwa kila kitu wala kupangiana vitu vya kufanya. Sasa kuna hawa watu yaani unakuta analalamikia kitu hadi unauzika ukimwambia achana nacho ufanye kitu kingine anakuambia hawezi acha kwa sababu flani fulani zisizo hata na mantiki yoyote...
  4. Hii game ya Bayern Munich na Leverkusen iko moto sana

    Binafsi napenda Bayern ashinde ila hadi Sasa kapigwa Moja
  5. Israel iendelee na safishasafisha tukafanye ibada mji mtakatifu Yerusalem, December hii

    Shalom, Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa Waislam huko Mecca na Madina Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New dehri Basi Israel iendelee na safisha safisha mpaka miji ile muhimu ambayo magaidi wanajitapa ipo...
  6. Hii imekaaje wana jukwaa....??

    Tumepokea taarifa kutoka kwa mwajiri, siku ya jumatatu kila mtumishi wa sehemu hiyo, afike na kadi/ kitambulisho cha mpiga kura na asiyefanya hivyo taarifa za muhusika zifikishwe kwa muajiri. Swali fikirishi mantiki ya kushikiza hivyo,inatokana na nini?
  7. Hii hali inaniumiza sana

    Habar wana jf, Natumain mko salama wote ni wazima mungu anaendelea kutupigania. Naomba niende kwenye point staki mambo mengi sababu siko sawa kiukweli napitia wakati mgumu bas tu. Niko na mwanamke tupo kwenye mahusiano huu mwaka wa 3 sasa japo ups and downs ni nyingi sana ila tunasonga...
  8. L

    Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

    Ndugu zangu Watanzania, Huwa nawaambieni siku zote kuwa Rais Samia Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuja kuliongoza Taifa letu.Hajafika hapo alipo kwa kubahatisha ,hajafika hapo alipo kwa bahati mbaya ,hayupo kwenye urais kama ajali,hakusukumizwa na kufika hapo alipo kimzobemzobe . Amefika hapo kwa...
  9. NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!! NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa...
  10. Tetesi: Hii imekaaje? Anaenionganishia dili anauhitaji kuliko hata mimi! Cheki sms yake.

    "kaka vp ule mpango mbona kimya au nimuumganishie mwingine?" Hata maisha ya kuonganishiana michongo ya kazi inaharufu ya utapeli. Of course jamaa ni kweli mzee wa madili lakini the way anayo tuma sms inanistua kuona anataka kunivuna vya mfukoni mwangu. Je, umewahi kukumbana na kisanga cha...
  11. L

    Ulishawahi kukumbwa na hii hali?

    Ulishawahi pitia kipindi kigumu hadi ukashindwa kutoa rambirambi za misiba mfano labda una group kama vile watu mliohitimu nao chuo labda itokee msiba mmoja wenu amefariki, unatolewa mkeka wa waliochanga wote wamechanga kasoro wewe tu Hadi unapigiwa simu kutafutwa unaogopa kupokea na mbaya...
  12. Msimamo wangu kwa wasaliti wa nchi na mafisadi, dawa ni lisasi tu, hakuna cha Bwana Yesu asifiwe au mswalie mtume, hii iwe kikatiba

    Unaposaliti nchi yako, madhumuni yako ni mabaya sana moyoni mwako Maana yake upo tayari hata Rais wa nchi atekwe kwa sababu ya tamaa yako? Mtu wa namna hii, ni kivipi aiishi? 2025, kataa ccm, okoa uhai wa rasilimali za nchi na watu wake.
  13. Ni lini Mchungaji Msigwa atafikishwa mahakamani na Mbowe ?

    Naona bado anaendelea , au sio post yake ? Au wanajuana madhaifu yao ? Au anazo bilioni 5 ?
  14. Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  15. L

    Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
  16. M

    Je una ifahamu siri ya kufuga nguruwe bila kupata hasara hii hapa.

    Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?,vifo vya mara kwa mara?wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? Umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group ujipatie...
  17. N

    Picha: Naomba kujuzwa hii ni aina gani ya jiwe

    Naomba kujuzwa, hii ni aina gani ya jiwe?
  18. Tuijadili katuni hii ya Kipanya

    Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi. Taawili Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu. Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya...
  19. Wadau naombeni ushauri kuhusu miwani hii ya macho sijapigwa kweli hapa?

    Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza) Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona poa tu) ila ni alergy na mwanga Dokta akasema ninunue miwani ya mwanga Nilikaa baadae nikaenda...
  20. S

    Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…