hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Muislamu yeyote hakikisha una kitabu cha Mkweli Mwaminifu. Hii ni moja ya nukuu mujarab toka humo.

    Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
  2. M

    Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

    Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
  3. Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako. Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
  4. R

    viingilio vya vijiwe vya bodaboda hufika mpaka laki 8, hii ni sawa ?

    watu wengi hudhani wamemaliza wakishanunua pikipiki na kuisajili, wasilolijua kuna gharama ya ziada ya kuingia kwenye kijiwe cha boda boda. mfano kwenye vijiwe vya stendi na sokoni ada zipo juu mno zinafikia mpaka laki 8, na hapo ubahatike kuwe na nafasi ya wazi maana kuna limit ya idadi ya...
  5. S

    Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  6. S

    Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  7. Hii kesi inaamuliwaje hapa?

    Hii ni jana hawa waheshimiwa wakipita barabara ya mwendokasi Mtongani na hiki ni kituo cha Msikitini bondeni.
  8. Hii picha ni ya ajabu ama imekuwaje?

    Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025. Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
  9. Kupitia video hii ni kweli viongozi wanahusika kwenye kusafirisha madawa ya kulevya alafu wanouwawa ni vijana

    Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam, Baada ya kukamatwa wao wakazima simu , https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
  10. Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wazoefu wa ujenzi naombeni makadirio
  11. Hii ndiyo ibada iliyo njema yenye kumpendeza Mungu.

    Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma. Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili. Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana...
  12. Shukurani kwa hili jukwaa limenifanya leo hii naanza kuheshimika kwa watu wangu wa karibu

    Kwanza natanguliza shukurani za dhati kwa hili JUKWAA la tenda na ajira na members na dhumuni langu kuhusu huu uzi nikutoa shukurani Nilijiunga na jukwaa hili mwaka 2021 baada ya kuona baadhi ya post za jamii forum katika mitandao ya kijamii pamoja na heka heka za mmiliki wa hii forum katika...
  13. Kuna watu mwezi huu wanatumiana jumbe za simu za namna hii

    MASIHARA! Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo. Mwanaume:👁️‍🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote". Mwanamke:👁️‍🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili...
  14. Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  15. Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
  16. D

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
  17. Wakongwe wa hii platform JF mkuje na shout out kwenu

    Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo 💯.
  18. Ni kweli watu wa Dar wanaongoza kwa roho mbaya na fitina kuliko mikoa mingine Tanzania?

    Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam. Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…