Mimi de Gunner nasema ya kuwa niko katika maandalizi ya kuja kuwa mtu maarufu zaidi kutokea katika taifa hili, nakujulikana dunia nzima by 2040..
Na naamini miaka ya hivi karibuni by 2030 Nitakuwa maarufu katika hii nchi. Tunzeni haya maneno, nitajitangaza kabisa kuwa ni mimi.. Ili kila...