hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tuliopata vijisenti au kuanza kuonekana tumepiga hatua, tuweke mikasa yetu hapa jinsi ndugu, marafiki na jamaa walivyochoma pesa zetu.

    Hasa wale tuliotokea familia za kawaida na za chini, Umehaso kupata pesa, umeombwa pesa na unaitoa ukidhani inaenda kumnyanyua mwengine kumbe inaenda kuchomwa kwenye starehe, ulimbukeni, michezo, n.k. Nilipofika miaka 26 kuna upepo fulani hivi wa neema ulinipitia, nikajikuta nimevuta kagari...
  2. Wakati nahenyeka mlikuwa wapi? Leo nimesimama mnaanza kuhesabu hatua zangu

    Wakuu, leo nimeamua kuweka kila kitu wazi bila chenga wala uoga. Najivuna, nimeamka, na sina muda wa kujishusha mbele ya watu waliokuwa wananihesabia nuksi. Kipindi nikiwa sina kitu, napita mtaani mfuko mtupu, unaweza kumsalimia mtu akakutazama kama umemletea deni, Anapita zake kama hajaona...
  3. Utachukua hatua gani kwa mtu wako wa karibu anayekusudia kutoa kafara ya binadamu?

    Utachukua hatua gani ndugu yako, mume/mke, jirani au rafiki akikuambia mungu amemuambia amtoe sadaka/kafara mtoto wake na kweli anakusadia kwenda kumtoa mtoto wake sadaka kutimiza agizo hilo ?
  4. Hakuna haja ya Israel kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa - Eisenkot

    Wanaukumbi. Gadi Eisenkot, ambaye anashiriki mazungumzo ya kuunda serikali mpya nchini Israel, amesema haoni haja ya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran kwa sasa. Gadi Eisenkot, ambaye aligombea nafasi ya Waziri Mkuu, amesema katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika bunge...
  5. Ifike hatua kipimo cha "VIDOLE VIWILI UKENI" kipigwe marufuku nchini Tanzania

    Kwanini madaktari waruhusiwe kuwaingiza vidole ukeni wanawake eti wanawapima? Hivi hatuna vipimo vingine vya kisasa zaidi ya hii "Two fingers test"?. Unakuta binti amebakwa unampeleka hospitali naye Daktari anamuingiza vidole ukeni eti anampima kama ameingiliwa. Sasa najiuliza huyu binti atakuwa...
  6. Mtumishi aliyetoza fedha kinyume na taratibu achukuliwa hatua, timu mahususi ya ardhi kuundwa Morogoro

    Katika kuimarisha nidhamu ya kazi, uwazi na uwajibikaji katika utoaji wa huduma za sekta ya Ardhi, Serikali imeendelea kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaokiuka taratibu na kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuwaingiza wananchi katika migogoro na changamoto za umiliki wa ardhi. Akizungumza...
  7. Umefika hatua kwa sisi wenye mia mbili tunaogopa kuichapa😅😅😅

    Yani una vipesa vyako vya mawazo unapewa mimba ya mhuni mmoja, aliye ikataa kijanja😅 Asee mazumbuku kuku wa kusingiziwa mimba wabaki hao hao ni sio vijana wenye akili timamu gademitt 😅
  8. Je unaweza kupiga hatua kimaisha (maendelro binafsi) bila madeni ya hapa na pale? Tupe experience yako mdau?

    Habari zenu wadau, Katika hali ya kawaida ya maisha ya sasa, kipimo cha maendeleo kinatazamwa kwenye vitu vya msingi na vya kisasa; kama vile uhakika wa kula na kuvaa vizuri, kulipa kodi bila presha, kumiliki kiwanja au nyumba, kuwa na biashara imara, kusomesha watoto, na kuwa na vitu vizuri...
  9. HATUA MUHIMU: Misingi ya Marekebisho ya Katiba Kupitia Tume ya Maridhiano Inayotarajiwa Kuundwa

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inaingia katika hatua muhimu ya maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya kuunda Tume ya Taifa ya Maridhiano na Usuluhishi ili kuweka misingi ya kufanyia marekebisho Katiba ambayo iliahadiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
  10. N

    Ushawahi kukutana na miungu wadogo! Unachukua hatua gani unapokutana na watu wenye hii saikolojia kwenye jamii?

    Mdau ushawahi kukutana na miungu wadogo, je unachukua hatua gani unapokutana na watu wenye hii saikolojia kwenye jamii?
  11. S

    Watanzania lazima watambue serikali haijali haki za wazawa na wawekezaji hasa Wachina, Waarabu na Wahindi wasipofuata haki hawachukuliwi hatua yeyote

    Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
  12. M

    Tusisubiri ugonjwa utufundishe umuhimu wa bima ya afya. Tuchukue hatua mapema

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE Na GULATONE MASIGA Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
  13. Thomas Massie wa Republican Party amechukua hatua ya kumshtaki Pete Hegseth ili kumwondoa madarakani, kutokana na vita vya Iran

    Wanaukumbi. 🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran. Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za ulinzi wa raia, na kulipiza kisasi dhidi ya wakosoaji wake. Mashtaka hayo yanahusu pia operesheni...
  14. A

    KERO Mtaa wa Majengo Mapya - Shinyanga wizi wa nyumbani umeongezeka, tukiripoti hatua hazichukuliwi

    Naomba ujumbe uwafikie Polisi Tanzania hasa Mkoa wa Shinyanga, kumekuwa na matukio ya wizi sana majumbani, taarifa zinafika Polisi, RB na Mpelelezi unapewa lakini hakuna kinachoeleweka. Matukio badala ya kupungua yanaongezeka, mfano Mtaa wa Majengo Mapya tunaibiwa sana na vitu havipatikani (TV...
  15. A

    HOJA Wanaoweka chupa katika ukuta mfupi ni hatari kwa Watu, hata kama hakuna Sheria hii si sawa

    Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
  16. Dkt. Mwigulu: Serikali imechukua hatua bei ya saruji iwe himilivu

    ▪︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi ▪︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika...
  17. Tanzania October 29: Hatua tatu ambazo zinaweza kuipeleka nchi kwenye civil war au kuporomoka kwa serikali kutoka ndani

    Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study. Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
  18. Serikali yaendelea kuchukua hatua kupunguza makali ya bei za mafuta nchini

    Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguza athari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi. Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja na changamoto zinazoendelea katika soko...
  19. MWAUWASA: Eneo la Mahina lilikuwa na changamoto ya maji lakini hatua zimeshaanza kuchukuliwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa mrejesho kuhusu hoja ya Mdau aliyeandika ~ Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka. MWAUWASA: Tunapenda kufafanua kuhusu changamoto iliyowasilishwa ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa eneo...
  20. Tunamlaumu Mama Gwajima kukaa kimya bure na kutochukua hatua kali? Huenda hii vita si rahisi kama tunavyofikiri

    Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…