hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Ni hatari sana kwa Chadema kujifungamanisha na wale waliyofanya vurugu tarehe 29 octoba

    Wale vijana waliyofanya vuruga tarehe 29 octoba walifanya makosa makubwa sana.huwezi kuzia uchaguzi siku ya uchaguzi. Tunaona kwamba walichoma ofisi za serikali,vituo vya kupigia kura,vituo vya kuuzia mafuta ,kuchoma barabara. Chadema hamuoni kuwa ni hatari kijifungamanisha na wale vijana?mimi...
  2. bless on

    Hii ndo kazi ya hatari zaidi hapa Tanzania

    Duniani kote, takwimu zinaonesha kuwa ukataji miti na uvuvi wa baharini ndizo kazi hatari zaidi. Lakini hapa kwetu Tanzania, moja ya kazi zenye hatari kubwa zaidi ya kupoteza maisha ipo ardhini kwenye uchimbaji mdogo wa madini. Kuanzia machimbo ya dhahabu kule Geita, Kahama na Mara, hadi...
  3. U

    Kama kitimoto na mvinyo ni haramu na hatari kwani ni Makadinali, Maaskofu na Mapadre Kanisa katoliki wa natumia na wanaishi miaka mingi

    Kadinali kumkuta Ana miaka 75 kuendelea kawaida sana Niwatakie sabato njema sana
  4. leroy

    Deni la Taifa: Kati ya Kenya, Uganda na Tanzania Nani Yuko Kwenye Hatari Zaidi?

    Kila tukisikia taarifa za Deni la Taifa, namba zinazotajwa zinatisha: Kenya inadaiwa takriban Dola Bilioni 100, Tanzania Dola Bilioni 43, na Uganda Dola Bilioni 37. Lakini wachumi wanasema jumla ya deni pekee haiwezi kukuambia kama nchi imezidiwa au la. https://youtu.be/d0bonWJ1bw4 Uchambuzi...
  5. leroy

    Siri ya Uchumi wa Rwanda Kukua kwa Kasi (9.4%) Bila Kuwa na Bandari – Je, Tanzania na Kenya Tuna Cha Kuiga au Kuna Hatari Mbele?

    Rwanda ni nchi ndogo yenye watu takriban milioni 14 tu na haina hata bahari wala bandari (landlocked). Lakini katika robo ya pili ya mwaka 2026, uchumi wake umekua kwa asilimia 9.4%! Wakati huohuo, kufikia Oktoba 2026, mfumuko wa bei mijini umefika asilimia 19.5%. https://youtu.be/V09ooCmyH3o...
  6. Red black

    Hivi kuna faida yoyote ya kuzama chumvini au kulamba uchi?

    Je kuna faida yoyote?
  7. A

    DOKEZO Kofia nyingi za Pikipiki zimeingia sokoni hazina ubora, hiyo ni hatari sana kwa watumiaji

    Tatizo la kofia za pikipiki ya Boxer asee ni kubwa Hazina uimara zinaharibika haraka sana Nyepesi mno mikanda inayoshikilia imefungwa vibaya na vishikizo vyake haviko vizuri ukivuta kinakatika Sehemu zilizowekwa gundi kwa maana mkanda unaoshikilia jumba la nje na ile sponge ya ndani, gundi...
  8. O

    Hali ya Hatari Migori: Miundombinu Yaanza Kusambaratika, Hali ya Daraja Yatia Hofu!

    Mvua kubwa zinazotarajiwa au athari za msimu zimeanza kuleta maumivu makubwa katika miundombinu nchini, haswa huko Migori ambapo daraja kuu la eneo hilo liko katika hali ya hatari kubwa. Sehemu kubwa za deki ya zege zimezidi kubomoka, kusambaratika na kumomonyolewa kutokana na uchakavu mkubwa...
  9. Mad Max

    F1 Brazilian GP: Leo Max Verstappen kaonesha who's the GOAT. Kutoka P21 kwenye Grid hadi P2 kwenye Race!

    Aisee, huyu Jamaa ni noma. Jana kwenye grid, Jamaa alishika Namba 21. Inamaana leo wakati wa race, yeye anakua Namba 21, mtu wa pili kutoka mwisho. Ila baada ya race Jamaa ameweza kuovertake zaidi ya watu 18 hadi kaja kua nafasi ya pili, nyuma ya Lando. Najua sio mara yake ya kwanza, ila...
  10. Kaka yake shetani

    jamiiforum naomba zingatieni haya ni hatari kubwa ambayo hata maraisi wametumia dini au kabira wabaki madarakani

    Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome. Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka. Mungu ibariki mkifa
  11. C-C Digital Pro

    Nasikia bibiye anataka kutangaza hari ya Hatari kisa CIVILIAN-COIN anataka cheo chake, Tangaza Kama unajiamini, uone utakavyojifungia chumbani.

    Nasikia bibiye anataka kutangaza hari ya Hatari kisa CIVILIAN-COIN anataka cheo chake, Naye Civilian-Coin akajibu "Tangaza Kama unajiamini, uone utakavyojifungia chumbani."
  12. O

    Marafiki Hatari Mombasa: Rose Mwende Amepooza Ubongo Baada ya Kutiwa Sumu Inayodaiwa na Marafiki

    Kisa hiki cha kusikitisha kimetokea huko Bamburi, Kaunti ya Mombasa, ambapo msichana aitwaye Rose Mwende Mala anasalia kitandani kwa miezi tisa akiwa amepooza ubongo wake kwa asilimia 50, baada ya kuhudhuria sherehe yake ya siku ya kuzaliwa aliyoandaa na marafiki zake. Mnamo Februari 14, Rose...
  13. O

    Taharuki Barabarani: Vijana Wazua Kizaazaa kwa Stunt za Hatari za Kuhatarisha Maisha

    Nairobi, Kenya — Hali ya taharuki na mshangao imezuka mitandaoni kufuatia kusambaa kwa video fupi inayoonyesha kundi la vijana wakifanya vitendo vya hatari barabarani huku gari likiwa linaendelea kusafiri. Katika video hiyo inayosambaa gari jeupe aina ya Toyota lenye namba za usajili za Uganda...
  14. O

    “Cetirizine Inabana Uke?” Wizara ya Afya Yaonya Wakenya Dhidi ya Matumizi Hatari ya Dawa Hiyo

    Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi. Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kwanini Mungu aliumba viumbe hatari vya kuangamaza destiny ya mwanadamu kama Behemoth na Leiathan?

    Kwa mujibu wa Biblia (hasa katika kitabu cha Ayubu), Mungu aliumba Behemoth na Leviathan ili kuonyesha ukuu, nguvu, na hekima yake isiyo na mipaka mbele ya mwanadamu, pamoja na kumfundisha Ayubu unyenyekevu. Wakati Ayubu alipokuwa akilalamika na kuhoji haki ya Mungu kutokana na mateso...
  16. Mlinzi Shujaa_

    MATUKIO HATARI ALIYOKABILIANA NAYO MLINZI SHUJAA

    Tarehe ( 30 / 12 / 2024 ) majira ya saa nne asubuhi katika eneo la majohe relini jijini dar es salaam tanzania, mlinzi shujaa alivamiwa na wauaji wawili ambao walikuwa na bajaji hawakuitaji chochote kutoka kwake, bali walishuka katika bajaji nakuanza kumshambulia na magongo makubwa ambayo...
  17. realMamy

    Hatari ya kupotea kwa usingizi

    Watalaamu wa Afya wanaelezea umuhimu wa Usingizi kuwa una faida zake, lakini utakubaliana nami kuwa Usingizi umekuwa adimu sana siku hizi. Watu wengi hawapati Usingizi Kwa kiwango kile kinachoelezwa na watalaamu. Wakuu Mnadhani ipi ni sababu?
  18. Jaji Mfawidhi

    TBS mko wapi? Trump na Ikulu ya Marekani wamesema Mirija ni hatari kuliko hata plastiki!

    Ikulu ya Marekani imekiri kuwa mirija ya kunywea kinywaji ni hatari kuliko hata chupa za plastiki. Ikumbukwe chupa hizo ni hatari zaidi kwa afya na zinasababisha kansa. chupa za Maji na vinywaji za Dar es
  19. Sifi Leo

    Hizi teka teka na kamatwa kamatwa ni hatari sana kwa CHADEMA, nina uhakika hii tume itawataja live na chama kitafutwa take my word

    Kutekwa kwa Twaha Mwaipaya, na kukamatwa kwa John pumbafu na viongozi wote wa CHADEMA hii.ni hatari kwa chama hicho. Lasivyo CHADEMA utafuatwa soon
  20. Manyanza

    Je, Namna Tunavyooga Inaweza Kuongeza Hatari ya Kiharusi? Haya Ndiyo Unayopaswa Kufahamu

    Kuna taarifa inasema kuwa kuanza kuoga kwa kujimwagia maji kichwani kunaweza kuongeza hatari ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa hiyo inaeleza kuwa watu wanapaswa kuanza kuoga kwa kulowesha miguu, kisha mwili na kumalizia kichwani. Kwa mujibu wa taarifa: Kiharusi kinaweza kutokea pale damu...
Back
Top Bottom