haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. Wauzaji wa Container Tz

    Je, ni sababu zipi huwa zinafanya mtu anayejua kiingereza kuaminika kwa haraka?

    Yaani hapa TANZANIA kama imetokea kiingereza haujui mtu kukuamini inachukua muda sana hata sijui kwanini
  2. T

    Maridhiano bila CHADEMA yatafikiwa haraka sana ila pia yatajifuta haraka sana!

    Kama ambavyo chama na serikali yake wamisisitiza kwamba hawata mbembeleza mtu kwenda kwenye meza ya maridhiano wataenda tu na walio tayari na inavyoonekana ni kwamba wamedhamiria na wamekusudia kufanya hivyo, na kwa kuwa kwa sehemu kubwa makundi yote waliyokutana wanakubaliana kwa asilimia...
  3. PAYE

    Unadhani kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano/ndoa haraka?

    Wangu habari Hivi kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano/ndoa haraka?
  4. PAYE

    Unadhani kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano haraka?

    Wangu habari Hivi kati ya familia na marafiki, upande upi unaharibu mahusiano/ndoa haraka?
  5. Yom HaDin

    Kwa nini majini ya waislam yanajibu haraka sana kuliko malaika wa wakristo?

    Najiuliza tu majini yako chap sana. Ukitupiwa jini huchukui round unaanza kutema udenda au kuchizi. Tena kama huombi unaweza kukata moto. Namkumbuka Dada mmoja alikuwa muislam akabatizwa, walikuwa wanamtafuta kwa udi na uvuma kijini Warudishe elimu yao aliyoondoka nayo. Njiwa anaruka kumlia...
  6. F

    Hili la kuzuia adhabu ya viboko mashuleni ni kinyume cha katiba, Waziri wa elimu ajiuzulu haraka

    Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni. Sasa hili la kufutwa adhabu...
  7. F

    Pendekeza njia bora za kuhakikisha magari ya watekaji yanaondoa tinted haraka uwezekanavyo

    Mwalimu Nyerere alitembelea gari ambayo haikuwa na tinted glass, na alilindwa vyema tu. Kiongozi wetu lazima uonekane, hupasi kufichwa kama jambazi . Sasa Kuna watu wanatumia magari tinted, tena tinted glass zenyewe ni nzito hasa, Hadi tunajiuliza dereva aonaje akiendesha wakati wa usiku...
  8. Alexido jz instagram

    Mya, ana miaka 45 hana mchumba, hana mtoto she is proud of her life

    Mya aishangaza dunia akiwa na 47 hana kila kitu isipokua pesa tu ndio anayo ya kumtosha, na hajali na bado ni mrembo balaaaa
  9. O

    Mafanikio ya haraka yenye walakini: ni uchapakazi au kuna mengine nyuma yake?

    Kuna mafanikio ambayo ukisikia historia ya mtu na mazingira aliyotoka, unajikuta una maswali mengi kuliko majibu. Tuchukulie mfano huu: Una miaka 20. Umetoka kwenye familia ambayo haina historia nzuri ya kiuchumi. Familia yako haina mashamba makubwa, viwanja, mifugo wala biashara kubwa. Hata...
  10. TANESCO

    Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi! Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini? #TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
  11. econonist

    Jaji Ndunguru anachekesha sana

    Kwakweli Jaji Ndunguru anachekesha sana. 1. Kichekesho cha kwanza, awali kwenye rulling ya case to answer, Jaji Ndunguru alidai Mh Tundu Lissu ana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma zake za uhaini. Cha kushangaza Leo kadai hakuna ushahidi wa kumtia hatiani na kwamba ushahidi wa Jamhuri ulikuwa...
  12. Superbug

    Hukumu ya Lissu imeongeza chuki kwa CCM. Ni anguko la haraka la chama tawala.

    Ukisoma nini mawazo ya watanzania juu ya ccm na kesi ya lissu ni kwamba chuki imeongezeka mara dufu. Kwa wenye AKILI hili ndio lilikuwa dirisha la SSH kujisafisha Tanganyika na kuondoka salama 2030 kinyume chake SSH amejiwekea rekodi nyingine ya hovyo mño ambayo it's backfire kama rungu la...
  13. G

    Lema aondolewe mstari wa mbele wa mapambano haraka ataharibu morali ya wapambanaji vitani wanapigwa risasi

    Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo . Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline . Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa...
  14. Z

    Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

    Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema. Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana. Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara...
  15. SuperHb

    Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

    Habari ndugu?... Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari.. Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake..... Then...
  16. CM 1774858

    Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Wasalaam Jf, Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
  17. Parabolic

    Masauni Akagua Maeneo Yaliyoathirika Na Mafuriko Kigoma Ujiji, Aahidi Hatua za Haraka

    Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
  18. B

    Ushauri

    Ushauri, Wakuu naomba ushauri kuhusu rangi ya bati ya chengachenga vikae ambayo haipauki haraka
  19. ChoiceVariable

    Video: Mtanzania Asimulia Ugumu wa Maisha wa Kenya.Atamani Arudi Haraka Nyumbani Tanzania

    My Take Harafu utasikia mtu anakwambia maisha magumu Bongo wakati Kwa elfu 5 anakula mlo kamili kuanzia asubuhi,mchana na jioni 😂😂😂👇👇
  20. Uhuru24

    Msaada wa haraka unahitajika.

    Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote. Mimi nipo mbali ila kuna mtu kanitonya,sasa nikawapigia (HUO MTANDAO) kwa namba nyingine ninayo tumia...
Back
Top Bottom