habari

  1. A

    KERO Magari ya kubeba zege (concrete mixers) yanachafua barabara jiji Dar

    Habari, kama mdau wa JamiiForums, ningependa kuwasilisha kero kuhusu magari ya kubeba zege (Concrete Mixers) ambayo yamekuwa yakimwaga mabaki ya zege ovyo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam. Kwa mfano, hali hiyo imekuwa ikijitokeza eneo la Msasani, karibu na geti la kuingia...
  2. A

    KERO Changamoto ya kutolipwa mishahara na TBE

    Habari, tunaomba msaada wa kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa mishahara inayotukabili wafanyakazi wa TBE katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa Gridi ya Taifa ya Umeme, isipokuwa mradi wa Chalinze. Hadi kufikia tarehe 6 bado hatujapokea mishahara yetu, licha ya utaratibu wa malipo kuwa...
  3. Hakuna chombo cha habari kilicho live Kisutu Hadi muda huu.

    Afu mtu anakuja kusema uhuru wa vyombo vya habari. Atakuwa amelogwa
  4. Trump kwisha habari yake....

    Wandugu Wananchi wa USA hawataki utani . Wamemchoka Trump na Drama zake . Alipoingia alikuta wananchi wake wakinunua mafuta dola 3 na sasa ni dola 6 kwa gallon. Alidanganya Dunia kwamba akipata Uraisi angemaliza tatizo la Ukraine ndani ya masaa 24 ila kinachoendelea ni shidaaaaaaa. Alikengeuka...
  5. Itungwe Sheria ya maudhui ya vyombo vya habari ,Social media na individual posts !!

    Kwa hali iliyopo sasa tutajikuta tumepoteza Taifa kimaadili ,kisaikolojia na kiuhalifu. Leo hii Social media au individual anaamua kupost Sherehe ya Mashoga iwe kwa kuituhumu au kwa kuishabikia na anaachwa tu!! leo hii Online TV Inaachwa tu ikipost mtu kachinjwa au kajinyonga au kanywa sumu...
  6. M

    Mimi ni member mpya humu. Naendesha Non Profit Oganiation, naomba mnikaribishe

    Habari ,Mimi ni mpya hapa jamii forums,naendesha non profit organization ,ambayo ni charity hapa Tanzania na imesajiliwa. Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe...
  7. Ningeshauri wizara ya habari sanaa na utamaduni tuwaalike MANCHESTER UNITED nyumbani ili kuchuana na TAIFA STARS katika kipindi hiki kama KENYA.

    | ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
  8. Kharifa mwandishi wangu wa habari!

    Nakuomba uzidi kijilinda wewe kama wewe! Wewe ndiye uliyemhoji mzee huyu kwa hiyo basi uwezekano wa kuongea mengi off mic upo mkubwa sana. Utanifanya nishinde naangalia tanzania safaris peke yake maana umebaki wewe tu mwanahabari mpenda haki usiefanya kazi ili baadae ufikiriwe, unafanya kazi...
  9. Nabii Godbless Lema ataahirisha Mkutano wa waandishi wa Habari leo?

    Ikumbukwe ni mara ya pili mkutano wa Wa Waandishi wa Habari wa Nabii Godless Lema kuingiliwa na sintofahamu leo pia kuna Msiba Wa Allute Mughwai Lissu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini pia ni Kaka wa Tundu Lissu.
  10. K

    HIVI Bado Kuna watanzania wanafutilia taarifa za habari kupitia TV, au kusoma magazeti zaidi ya vipindi vya michezo

    Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV. Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
  11. Magaidi 2 waliojifanya Mwandishi wa Habari waangamizwa huko Hebron!!

    Magaidi wawili walitoka Hebron na kuwashambulia Waisraeli. Walipanga mauaji makubwa. Walisimamishwa na kuangamizwa, lakini si kabla ya wanajeshi wawili wa IDF kuuawa wakati wa shambulio hilo. Jeshi la IDF linaingia Hebron kuharibu miundombinu ya magaidi, handaki walizochimba na kuwang'oa magaidi...
  12. E

    Jeshi la Polisi laongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari

    Jeshi la Polisi limetajwa kuwa miongoni mwa makundi yanayoongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari nchini Tanzania, huku wadau wa sekta hiyo wakitaka uchunguzi wa vitisho na mashambulizi dhidi ya wanahabari kufanyika kwa haraka na wahusika kuwajibishwa. Hayo yameelezwa leo, Oktoba 29, 2026...
  13. TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu? TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
  14. HABARI…

    Yes,Hii ndiyo salamu sahihiambayo imehalalishwa dunia nzima. Kwa mfano kizazi cha sasa ambacho kinapambana sana kujua lugha ya dunia haswa kibiashara,ninaweza kusema wamesha sahau jadi zao. Sio kosa, Ndio kabisa kwa sababu hata hizo za jadi ni zile zile za kujuliana hali,ni SALAMU. Ndugu...
  15. Huyu tayari. Kwisha habari yake. Mliooa ni kujiadhali na kuua au kujiua. Mkubali matukio yapo

    Nimemfahamu last week ofisini kwao nimeonana naye mara mbili ya tatu nimemgonga. Ni mtamu balaaaah.... Namfikiria vituko vyake mtu mzima anadeka kama mtoto. Wakati namwomba game alikuwa anakataa huku nguo zinatoka... Akaanza kulia huku anakatika kuwa ninamfanyia vibaya alikuja tu kunisalimia...
  16. R

    Habari za kusadikika za Jehanamu

    https://youtu.be/O_SUcbrMqj8?si=9lV3IW-51-8Qznw2
  17. R

    Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  18. D

    DOKEZO Halmashauri ziangalie Vijana wanaojitolea Vituo vya Afya, wanafanyakazi nzuri lakini wana hali ngumu

    Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime). Baadhi ya...
  19. M

    Habari za wananchi kuwandunda Polisi zimeanza kuota mizizi

    Ni mwendo wa kuwadunda tu👇
  20. Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

    Wasalaam, Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka. Wakati mwingine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…