Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeiomba Serikali kuanzisha mfuko maalum wa mikopo yenye riba nafuu wenye thamani ya Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuvikopesha vyombo vya habari nchini.
Akizungumza Novemba 26, 2026 katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 9 wa mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF), mbele...
Mjadala kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania umechukua sura mpya baada ya Edwin Odemba kutoa kauli nzito kuhusu vitisho vinavyodaiwa kuelekezwa kwa vyombo vya habari vinavyoandika taarifa zisizopendwa na mamlaka.
Akizungumza kupitia TBC1, Odemba amesema vitisho dhidi ya waandishi...
Hasa wale tuliotokea familia za kawaida na za chini,
Umehaso kupata pesa, umeombwa pesa na unaitoa ukidhani inaenda kumnyanyua mwengine kumbe inaenda kuchomwa kwenye starehe, ulimbukeni, michezo, n.k.
Nilipofika miaka 26 kuna upepo fulani hivi wa neema ulinipitia, nikajikuta nimevuta kagari...
Wanabodi,
Leo naendeleza motoo ya JF, wewe kama mwana jf, unapata kitu kinaitwa The JF Advantage, Be The First to Know, hivyo leo nawaletea habari njema kuhusu fani ya uwakili, inazidi kukua kwa kasi, ambapo mzigo mpya wa mawakili wasomi 577 unapakuliwa mwezi Desemba 2026, kwa mawakili hao...
NATAFUTA BAJAJI YA HESABU – DAR ES SALAAM (DEREVA MWAMINIFU NA MAKINI)
Habari wana-JamiiForums,
Ninaomba mwenye bajaji iliyo katika hali nzuri ya kiufundi na anahitaji dereva wa hesabu jijini Dar es Salaam, tuwasiliane ili tuweze kufanya kazi kwa uaminifu number 0621810992
Ile habari ya Yusufu inabeba ujumbe gani kwa Agano Jipya?
Kuna habari inazungumzwa, kwamba agano la kale ni kivuli cha agano jipya. Sasa je, ile habari ya Yusufu ilikuwa ina ufunuo gani kwa agano jipya?
Ni kweli kabisa kuwa agano la kale ni kivuli cha mambo yanayoendelea katika agano jipya...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica (waanzilishi wa JamiiForums), Maxence Melo ameelezea ushindi wa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Ubalozi wa Uholanzi ya Mwaka 2026 (Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award) aliyoipata kutoka Ubalozi wa Uholanzi.
Ashinda tuzo hiyo kumwezesha kuingia Hatua ya 5...
Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana.
Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni
1. Matumizi ya mkopo (Boom)
2. Ngono
3. Uchawa kwa watawala
Habari za wanachuo nchi nyingine ni
1...
awamu
awamu ya nne
bado
chuo
chuo kikuu
elimu
elimu ya
elimu ya chuo
habari
kikuu
kuingia
madarakani
masikini
nchi
nchi masikini
sana
tanzania
ubora
ubora wa elimu
utawala
wanachuo
Habari za wakati huu wakuu,
Jana niliangalia mahojiano kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, na mtangazaji mkongwe, Ndugu Salim Kikeke kupitia kituo cha Crown FM. Niliyaangalia mahojiano yale kwa mshangao mkubwa sana kutokana na namna mwandishi huyu mwenye jina kubwa...
Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu!
Unajua kitu kizuri zaidi?
UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE!
Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
Nimekutana na kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 na kwa sasa tiyari amesomea masuala ya ufundi magari kupitia VETA, kwa sasa hana kazi rasmi abayo ameajiriwa lakini hakosi kazi za hapa na pale.
Lakini kijana huyo kaja na wazo ataka awe mtengenezaji vipindi kupitia mtandao wa You Tube na awe...
Waandishi wa habari nchini wamemetakiwa kuandaa habari za kina zinazoibua changamoto zinazowakabili wananchi katika kuanza na kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia, ikiwemo gharama, usalama wa vifaa, upatikanaji na usambazaji.
Wito huo umetolewa Novemba 13, 2026, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
Taasisi ya Waandishi wa Habari za Jamii za Pembezoni (MAIPAC), kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imewataka waandishi wa habari nchini kuimarisha uandishi wa habari za uchunguzi kuhusu mazingira ili kuongeza uwajibikaji na kusaidia kulinda rasilimali za...
Waandishi wa habari wa Tanzania wanaongozwa na Balile?
Uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Mwaka 2016 alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa TEF.
Mwaka 2021 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa TEF.
Tarehe 5 Aprili 2025 alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka minne.
Katika hali ya kushangaza taarifa za Habari nchini zimekuwa na mfumo mpya, stesheni zote za runinga zinatoa taarifa za Habari zinazoandikwa na mtu mmoja! Na taarifa hizo ni za mikutano ya viongozi wa CCM hakuna taarifa zinazohusu wananchi pekee. Taarifa zinahusu rais wa Zanzibar ni lazima...
Naomba niwambie fu, hawa watu hawatakaa kwa amani hata kidogo baada ya kufanikisha dhamira yao ovu kwa Tundu Lissu
Kwahiyo, katika kuhangaika, siku si nyingi wataitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine, warazungumzia swala la Lisu.
Moja ya jambo watalokujanalo...
Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake.
Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani.
Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...