gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Unadhani ni couple gani hapa ina furaha?

  2. 2030 Wakatoliki wana mgombea gani ndani ya CCM? Kafulila atatosha ?

    Mwaka 2030 sio mbali sana na kwa Hali ilivyo kama CCM hakitagawanyika na kusambaratika uhalisia mchungu ni wao kuendelea kutawala kupitia chaguzi za hadaa na nguvu ya vyombo vya dola. Tunachotakiwa kama raia wa nchi hii ni kuchagiza walete angalau wagombea wenye nafuu wenye akili na haya kiasi...
  3. Diamond Platinumz: Rayvanny au Jux Atanipa Huduma Gani?, Tutadanganyana, Tunamhitaji Mtumishi Joel

    Diamond Platnumz Akosoa Mtazamo wa Jamii Kuhusu Huduma za Kiroho, Aeleza Faida ya Mchungaji Joel na Kutetewa kwa Joel Lwaga Msanii nguli wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ametoa ushuhuda na maelezo ya kina jukwaani wakati wa ibada na hafla ya kiroho kuhusu maana halisi ya kutoa na...
  4. Ebu jaribu ku-imagine Tanzania ambayo Lissu ndio raisi. Unadhani ni vitu gani na gani vitabadirika?

    Ebu jaribu ku-imagine Tanzania ambayo Lissu ndio rais. Unadhani ni vitu gani na gani vitabadirika?
  5. M

    Miaka zaidi ya 35 imekufanya uache jambo gani ambalo zamani lilikuwa sehemu ya maisha yako ?

    Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi kudumu, Nina washkaji wengi kwasababu nimezungukwa na watu ambao niwapende au nisiwapende wana umuhimu...
  6. Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

  7. Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

    Ushuru tu Mil 400+ na Bado ulifanyie customization liwe unique, plus CIF. Kwa muziki gani? Tupogo? Note: Picha ni za Mfano tu.
  8. Hiyo akiba uliyo nayo inaweza kukulisha kwa muda gani ikitokea umepata anguko la kiuchumi?

    Ikitokea umepata anguko la kiuchumi hio akiba uliyo nayo sasa itakulisha muda gani? kuna raia hawatoboi week Moja.
  9. Barabara mbovu si mali ya CCM

    .
  10. Hoja za Dudu baya zinashinda gani? Kwanini walengwa hawapeleki mashaka yao polisi?

    Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani wakati wahusika na wanaozushiwa chakula hawasemi lolote? Hii inathibitisha kuwa jamaa anapiga...
  11. Hivi wangwana, mtu wa aina na tabia kama hizi anaweza kupewa jina gani zuri katika medani ya siasa za kisasa hususani hapa Tanzania?

    Maana kwake yeye kila mtu alie na maoni au mtazamo tofauti na wakwake basi huyo hajui kitu, lakini pia kila mtu anaefanya majukumu yake vema tu, ila tofauti na apendavyo yeye huyo mtu, eti hawezi kitu, hawezi kazi, na kila mtu alie kinyume nae, hafai ila yeye tu. Mathalani, Ikiwa ni Rais, yeye...
  12. O

    Jinsi Sheria Hutungwa Kenya: Mwananchi Ana Nafasi Gani?

    Sheria nyingi tunazofuata nchini Kenya hazitokei tu kama uamuzi wa viongozi. Katiba ya Kenya inaweka utaratibu maalum wa kutunga sheria, huku Bunge na wananchi wakiwa na nafasi muhimu katika mchakato huo. Mchakato huanza wakati Mswada (Bill) unapowasilishwa Bungeni. Mswada unaweza kuanzishwa na...
  13. M

    Mwalimu alipoteza kitabu chake cha kiongozi cha mwalimu, tuliwekwa juani na kuchapwa kumbe kakisahau kwa mtoto wake

    kuna siku shuleni mwalimu wa Historia aliibiwa kitabu kile cha kiongozi cha mwalimu, kile ambacho huwa wanapewa vya kufundishia vinakuwa na majibu na baadhi ya mifano. Kilitafutwa shule nzima akawa anasema wanafunzi tumekiiba, akatuzuia shule nzima kuingia madarasani tukapigishwa magoti juani...
  14. Je hili linawezena ,kwa tathmini yako ni baada ya mda gani. ( AI)

    Mijadara ni mingi hebu cheki hii
  15. K

    Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Habari za leo watu wa humu. Usiku wa kuamkia leo nilikua na hamu sio poa, si ni kawa namuomba wife anipe, akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu. Sasa wakuu, kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani? Au nikachape za nje?
  16. K

    Ni vigezo gani unatumia kutathmini ubora wa kazi iliyofanyika?

    Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango 1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k 2.Mkulima, mfugaji au mfanyabiashara 3.Fundi ujenzi uliyeajiri saidia fundi n.k 4.Mama ntilie uliyeajiri watu...
  17. Watanzania! Tutapanda mti gani leo, ambao watoto wetu watakula matunda yake kesho?

    Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi). Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao. Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
  18. Hali hii ya Tundu Lisu kusahau baadhi ya mambo muhimu akiwa kizimbani jana na kuiomba mahakama muda kuyasema leo, inatoa picha gani na kuashiria nini?

    Je, ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi? Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
  19. Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  20. M

    Kama umri ungerudi nyuma, kosa gani usingethubutu kulifanya tena kwenye mahusiano?

    Jana nikiwa kwenye bajaj niliwasikia Watu wazima wawili wakiongea na aliyekuwa akiendesha bajaj hiyo ambaye bado ni kijana mdogo, maongezi yaliianzia baada ya dereva bajaj kumaliza kumshusha abiria na kuanza kumuomba namba, kisha alipokaa bajaj akasema mtu mwenye mbaya kuliko mwanamke wangu ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…