gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Tunapata picha gani Viongozi wa CHADEMA ambayo haitashiriki uchaguzi kukubalika kwa wananchi kuliko vyama ambavyo vitashiriki uchaguzi

    Fanya utafiti kwenye vijiwe vya kila namna kuanzia bodaboda, wauza mkaa, walimu na Watanzania wote. Utasikia wanaropoka bila kumug'unya maneno. Kuwa hii ndio CHADEMA ambayo ipo kwa maslahi ya umma. Kulinda na kutetea maslahi ya umma. CCM ,CHAUMMA na wenzao ni mafisadi na wapo kwa ajiri ya...
  2. Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ?

    Hivi walimu ni watu wa aina gani inakuwaje mnasombwa sombwa hata kwa lazima kwenye mikutano ya kisiasa ? Nimesikia kuna walimu wamesombwa huko na kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya kisiasa kwasababu heti ni watumishi, huu udhaifu utaona tu Tanzania aisee.
  3. B

    Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

    Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani? Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa" Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali "Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini...
  4. S

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako?

    Changamoto gani unayo ya software kwenye PC Yako? Nikusaidie Napatikana: mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Piga: 0756704145
  5. Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  6. Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  7. S

    Mizimu ni vitu gani?

    Je, kuna mtu anaweza kuleta ushahidi kuwa Mizimu ipo?
  8. Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
  9. S

    Atakuwa Amesahau Eneo Gani?

  10. Je ni kwa namna gani unatengeza furaha yako binafsi bila kutegemea mtu wala vitu?

    Habari wana JF, niliweka uzi hapa JF nikawa nimeelezea changamoto yangu kwenye mahusiano. Nashukuru mlinipa na mnaendelea kunipa maoni ambayo kimsingi yananijenga upya japo kuna jambo jipya limeibuka ndani mwangu nikutokana na maoni yenu lakini pia kuna uzi mwingine nilisoma nikakutana na...
  11. Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  12. Ni mawaziri gani ambaye ugeshauri rais awatumbue?

    Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka? Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba Naomba uweke wako hapa, maybe Rais anaweza kusoma au kufikishiwa unumbe.
  13. M

    Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2

    Mdogo wangu kamaliza O LEVEL (FORM FOUR) ameniuliza afanyeje ? amepata DIV 2 CHEMISTRY.... C BIOLOGY.....C GEOGRAPHY...D MATH.....F Naombeni msaada japo amechaguliwa form 5, je nimpeleke huko au nimpeleke chuo na chuo gani? naamini kupitia uzi huu watu wengi wataneemeka na kufarijika...
  14. WanaCCM hebu semeni mnapingana na CHADEMA kwa kitu gani haswa?

    Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa. Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa wanawapinga CHADEMA kwa kitu gani haswa? Kwa sababu hoja nyingi zinazowasilishwa na watu wa CHADEMA...
  15. Perfurmes gani nzuri kwa bei ya elfu10 hadi elfu30?

    Perfume gani za bei hizo za 'mtanzania' ambazo walau ni standard na bei wanayoimudu wengi?
  16. Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  17. Haya ni mawe gani?

    Haya mawe yamepatikana kwenye uchimbaji wa ujenzi..ni mawe gani? Yana thamani gani? Na soko lake ni wapi?
  18. Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi?

    Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi? Je mamlaka hii iliyopewa dhamana ya ulinzi wako na mali yako inakufanya uhisi usalama katikati ya hofu ama wasiwasi?
  19. Kuna mahusiano Gani kati ya kiwanja na aina ya jengo ninalotaka kujenga?

    Sijaelewa kama Kuna Sheria inayoongoza matumizi ya Ardhi na ujenzi inavyotafsiri uhusiano uliopo kati ya Ardhi na aina ya jengo linalotakiwa kujengwa Hizi "High, medium &Low density" zinajengwaje? Maana utakuta wanunuzi wa viwanja wanabadili aina ya jengo bila ya kuzingatia ukubwa wa kiwanja.
  20. Je, umewahi fanya jambo gani la kutisha ulipopata hasira?

    Watalaam wasalaam! Hasira hasara, je umewahi kukasirishwa sana na ulifanya kituko gani? Ngoja nianze, kwa kawaida mimi ni kijana mpole mkimya japo nikiwa na mtu ambaye tumematch chemistry ninachangamka kidesign though sipendi sana kampani na watu..being alone mostly naenjoy tu mitindo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…