gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
  2. Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  3. Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  4. Chakula gani unatamani mtoto wako akipende lakini hakipendi?

    Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
  5. Kijiji gani kipo usawa huu?

    Ukifika mjini/mkoani nauli ya kwenda huko ni eldu 20 au 30 mkoa huo hio wapi huko pako hivyo kuna kitu nataka nikaangalie
  6. Beer ina madhara gani??

    Andika hapo kwenye comment
  7. G

    Je Mtoto wa kike anapaswa Aanze kufundishwa kufanya usafi wa ndani na Mazingira akiwa na umri gani?

    Je mtoto wa kike anapaswa kuanza kufundishwa kufanya usafi wa nyumbani akiwa na umri gani
  8. Ni online platforms gani zinaweza kutusaidia kupata wawekezaji kutoka nje ?

    Ndugu zangu heri ya mwaka, Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa. Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta...
  9. Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?

    Ni biashara gani iliyo kutoa kimaisha na mtaji kiasi gani ulianza nao ?
  10. M

    Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  11. Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

    Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
  12. Q

    TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  13. Mbona vipepeo wameadimika sana siku hizi? nitumie njia gani kuwavutia au kuwafugia shambani?

    Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
  14. W

    Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

    Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse. Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
  15. Noah Voxy zina uimara kiasi gani?

    Vp salama wakuu. Kuna mtu flan anataka kuniuzia Voxy 2006 kwa 7mil, Me siyo mtaalam sana wa magari,so naomba wenye uelewa wanipe elimu kidogo kuhusu Voxy. Matumizi yangu ni kubeba abiria na njia ni rough road na mahali pengine ni lami. Sasa naomba kufahamu uimara wa hii gari na changamoto zake.
  16. I

    Kilo 1 ya Nyama ya kuku Chotara au Kienyeji Buchani ni bei gani?

    Naomba kwa wazoefu wa mikoa ya Dar, Morogoro, Dodoma, Iringa, Mbeya mnipe uzoefu wenu. Wafugaji wengi wa kuku wanauza kuku kwa mazoea sana, mnunuzi anakuja anamshika anamtikisa kidogo hivi anakadiria uzito alafu mnaanza kubishana bei. Ila naona huu ni wizi wa hali ya juu. Naomba nipate uzoefu...
  17. M

    Kwa bajeti ya milioni 28, nje ya Rav4 kuna gari gani nyingine SUV imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida?

    kwa bajeti ya milioni 28 nje ya rav 4 kuna gari gani nyingine ya juu imara kwa mtu mwenye kipato cha kawaida ?
  18. Mnakuwa na maana gani mnaposema tusioe wanawake tunaowapenda

    Salaam. Bila kuwachosha Moja kati ya kauli ambazo Huwa nashindwa kuelewa ni pale naposikia mtu anasema kwamba usioe mwanamke unaempenda Maybe Kuna hoja ya msingi nyuma yake Swali linakuja nawezaje kuishi na mwanamke Ambae simpendi Wala kuwa na hisia nae Huwa mnalenga Nini mnaposema hivyo...
  19. Sentensi ikianza na maneno gani unajua inafuata taarifa mbaya?

    Naanza mimi! Nikiskia "Basi aina ya COTECH lilikuwa limetoka mkoani......... najua hapa kishasanuka tayari
  20. Nina ugomvi mkubwa na dada Yangu..nitumie njia Gani kuleta amani?

    Niligombana na dada Yangu miaka ya 2018..kwa sababu mbalimbali zikiwemo utoto wangu kwa wakati ule na weekness zake. Sasa ni miaka Mingi imepita hatuongea hata nikijaribu kumtafuta napokea matusi TU ya nguoni.. Mama hana la kusema kwasababu ameshasema sana juu ya hili lakini naona ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…