gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Foot School TV: Chaneli Bora ya Soka Iliyotufunza Ufundi

    Kwa wale wahenga ambao tulikutananna harakati za Mchina kuingia kwenye soko laa kuuza visimbusi vyake basi tutakuwa tunakumbuka namna ambavyo Kampuni ya StarTimes ilivyoingia nchini. Mwaka 2009 mpaka 2010 wakati watoto Wa Madiba wapo busy kuandaa michuano ya Kombe la Dunia. Basi StarTimes naye...
  2. Waislamu wanaosema Ukristo sio dini huwa wana maana gani?

    Huwa nikiwasikia Waislamu wanaosema Ukristo sio dini naona kama wamechanganyikiwa au wenye hitilafu kwenye kichwa na hawaelewei maana ya dini. Dini duniani ziko kati ya 4,000 mpaka 10,000.
  3. Kampuni ya "Life Tanzania" ina uhusiano gani na TTCL?

    Kwa muda mrefu sana nimegundua nikiweka SIM Card ya TTCL, ukaenda kwenye SIM Manager, badala ya kuonekana TTCL kama ilivyokuwa inaonyesha zamani, kwa sasa inaonyesha ni mtandao wa "Life Tanzania". Ningependa kujua hii "Life Tanzania" ni nini na uhusiano wake na TTCL. Nimeambatanisha kielelezo.
  4. Hii picha inaongea mengi sana halafu just imagine kuna watu hawajui njaa ni kitu gani

  5. Ndugu zangu historia itamkumbuka mshindi tu, haijalishi alifanya vigisu kiasi gani kukushinda au kukudidimiza wewe, kwa hio jitahidi usife kikondoo

    Muachie mark awe anaikumbuka. Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao. Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
  6. M

    Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?

    Umewahi kukutana na changamoto gani ulipowakuta wahudumu wa afya hasa manesi wapo kwenye maongezi yaliyonoga?
  7. Ni filamu za nchi gani zinaongoza kwa uongo mwingi?

    Wahindi ni waongo Mimi niliacha kuangalia movie za Kihindi baada ya kuona ‘Starring’ kapigwa risasi, kaidaka alafu kairudisha kwa adui aliyempiga nayo kisha huyo adui akafariki hapo hapo
  8. Yuda yupo wapi na ana hali gani

    Yuda yupo wapi na ana hali gani
  9. Nitumie mbinu gani kumhalalisha kuwa mke mdogo?

    Imani yangu, inaniruhusu kuwa na mke mmoja tu. Lakini kutokana na uumbaji wa Mungu, nimejikuta kutamani tamani sana wanawake wazuri wazuri ninaokutana nao huko duniani. Hii imepelekea kuwa na watoto hapa na pale, ingawa sijutii kuwa na watoto 15+, kwa sababu najua hawa watakuwa faraja pale...
  10. Mnaonunua viwanja Tausi, Uwa mnafanya utaratibu gani kwenda kuona kiwanja?

    Habari Wadau Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi. Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya Tausi haiwezi kukupa direction nzuri mpaka kwenda kukiona kiwanja hususani kwenye maeneo ambayo bado ni...
  11. M

    Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  12. Ni Tanzania ya mwaka 1990. Ni kitu gani hakistahili kuwa kwenye picha hii

    Wataalamu wa Photograph reading and interpretation Hii nii Tanzania ya 1990 ni kitu gani ambacho hakistahili kuwepo hapa kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia?
  13. Nataka nidundulize kuweka akiba kidogo kidogo pesa na baada ya miaka mitatu ndio niichukue. Ni service gani hapa bongo itanipa riba nzuri.

    Karibuni
  14. Tunapenda kulaumu madogo wa Jenzii ila tunasahau wanafanya wanayo fanya kupitia uvumbuzi wa vitu na mambo tulioleta sisi millenials

    Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma? Ooh...
  15. K

    Wakongwe wa JF mlitumia teknolojia gani kuandika bandiko refu?

    Salamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu? 1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma 2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency 3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja 4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto 5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi...
  16. Mwana JF nini maana ya financial freedom? Ni vitu gani vitakubana usiifikie na vitu gani vitafanya uifikie?

    Eyce Marcostilone life255 Hata uende wapi, ufanye nini na uamue uishi vp ujue kuwa pesa na urahisi wa maisha ndio inabaki kuwa motisha ya confidence, afya chanya ya akili na amani moyoni. Na ili ufike hali hii inabidi utoe kafara ya mambo lukuki maishani mwako especially tabia ulizoea hadi...
  17. M

    Kipanya ana maana gani hapa?

  18. Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  19. Kama Zanzibar ni nchi huru,Je Tanzania ina muungano na nchi gani? Rejea katiba ya Zanzibar.

    Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ? Montevideo Convention ya...
  20. Kuna uhakika kiasi gani kwamba ni kweli Nchimbi mwenyewe amejiuzulu siasa?

    Ni vigumu kuamini Nchimbi mwenye miaka 54 amestafuu siasa na utumishi wa umma ikiwa hatajitokeza hadharani mwenyewe kusema au kuthibitisha amestaafu siasa kwa hiyari yake. Kujiuzulu nafasi ya umakamu inawezekana lakini kustaafu kabisa siasa haiingii akilini. Anstaafu siasa na utumishi wa umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…