gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Defilement Kenya: Mtoto Ana Umri Gani? Hivi Ndivyo Sheria Inavyoweka Adhabu

    Defilement ni kosa la kufanya tendo linalosababisha penetration na mtoto. Chini ya Section 8 ya Sexual Offences Act, sheria ya Kenya inaweka adhabu kulingana na umri wa mtoto wakati kosa lilipotendeka. Mtoto mwenye miaka 11 au chini: Mtu anayepatikana na hatia ya defilement anahukumiwa kifungo...
  2. Kioo kinatuonyesha ukweli kwa kiasi gani?

    Mirror 🪞 Hello Great thinkers 👋 Kwanza naomba niweke sawa hapa Kuna mtu aliniuliza kwanini unaandika sana JF ? Sielewi hapendezwi au lah(?) Akauliza 👇 Huna kazi?: me nina kazi ✔️ Unalipwa?: Silipwi ❌️ NB:Writing is one of my hobbies ✍️🧠 Nitakua busy sana lakini siwezi kabisa kukosa...
  3. Kuna uhusiano Gani kati ya Juhudi binafsi,saikolojia, ushirikina na kumuomba Mwenyezi Mungu

    saikolojia, ushirikina, kumuomba Mwenyezi Mungu, na juhudi binafsi. Vinanyafaje kazi 1. Saikolojia Saikolojia inahusu jinsi mawazo, hisia na imani zinavyoathiri tabia na maamuzi ya mtu. Mfano: mtu akiamini anaweza kufanikiwa, anaweza kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Akijiaminisha kuwa hawezi...
  4. Ni series gani ambayo ilinoga sana mwanzoni lakini mwisho ilikuja kuboa?

    Wakuu, Mimi Squid Game ya kwanza niliipenda sana. Ya pili pia walijitahidi, lakini ya tatu ni mbovu sijawahi kuona! 🤦‍♂️ Sikupenda kabisa jinsi Steringi 'Gi Hun'. Yaani baada ya mateso yote na safari ndefu, alifariki kizembe vile. Vifo vya mwanzo viliumiza kwa sababu vilikuwa na maana...
  5. M

    Kero gani huwa unapata mtandao wa intanet ukikosekana eneo ulilopo?

    Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi mtandaoni ndio hali inakuwa ngumu. Mawasiliano pia inakuwa changamoto kwa yale yanaohitaji mtandao moja...
  6. "Jau" ina maana gani?

    Hili neno nimewasikia sana vijana wa Daslamu wakilisema ila sijawahi kuelewa maana yake ni ipi? Nini maana ya neno "JAU" ?
  7. Wazee wa Nyama Choma weekend hii GPS inasoma wapi ? Kwa Dar sehemu gani mafundi wa nyama

    Kuna wale wadau wa Nyama choma kila weekend lazima mtu awe location flani hivi halafu pembeni kuna rhumba inasikika stress zote za wiki zinayeyuka . Wiki hii GPS inakusoma upo wapi ? Au wapi kuna mafundi wa nyama choma wadau tusogee ila hatuji kukuomba maana watu wataogopa kufunguka
  8. Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  9. Kuna dalili zozote za kuthibitisha ulimwengu umeumbwa na mbuni mkuu (intelligent designer) ?

    Ukiangalia jinsi mfumo na muundo wa mwili wa binadamu ulivyo dhaifu na wenye changamoto nyingi hatarishi, kuna uthibitisho wowote kuumbwa na mbuni mkuu ? Ulimwengu wenye matetemeko, Mafuriko, maporomokl El Nino, milipuko ya volcano n.k unathibitisha kuumbwa au kujiunda wenyewe?
  10. Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  11. Wapi kwenye katiba imeainisha mapinduzi mazuri na yale mabaya? CCM ina uhalali gani wa kutamba na mapinduzi yake?

    Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu. Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
  12. Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani inatembea kwa kasi, karatasi ya mtihani iko mbele yako, lakini hujui hata swali moja. au pengine...
  13. A

    HOJA Serikali ina mpango gani wa kumsaidia Mkulima wa Mahindi nchini?

    SERIKALI INA MPANGO GANI WA KUMSAIDIA MKULIMA WA MAHINDI? Tanzania kwa sasa ina uzalishaji mkubwa wa mahindi, lakini NFRA imetangaza kununua mahindi kwa Sh 450 kwa kilo, wakati mwaka jana (2025) bei ilifika karibu Sh 700 kwa kilo. Wakati huo huo, gharama za uzalishaji zimekuwa zikiongezeka...
  14. Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Nauliza tu maana nilishawahi kufanya kazi kama mtangazaji kwenye redio moja ya mkoani Lakini weee hakuna rangi niliacha kuona Tulikaa miezi 6 hatujalipwa alafu Boss anakuambia "Bro, hapa tunakupa platform ukue, jina likiwa kubwa utapiga hela." Tatizo ni kwamba hiyo platform haiwezi kulipa...
  15. Jukwaa chit-chat mnataka nyuzi za aina gani ?

    Bila hata matusi , stara ya kiwango cha lami mnafuta nyuzi za humu🤔 Kuna nini humu ndani ? Ni sharia ipi imebadilika ambayo wana zengo tunashindwa kuifahamu?
  16. Hivi kuna uhusiano gani wa karibu kati ya wanawake wauza bar na uvaaji wa shanga kiunoni?

    Habari za siku nyingi wakubwa wangu wa kazi! Nimepita pita kwa wanawake wauza bar na karibu wote niliowapitia huwa nawakuta wamevaa shanga kiunoni. Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuvaa shanga na kazi wanayoifanya?
  17. Aina gani ya kozi itamfaa huyu?

    Aina gani ya kozi itamfaa huyu dogo? Nina mdogo wangu kachaguliwa 1.IAA kozi ya Accountancy in IT 2. Transport and Logistics NIT 3. Business administration ,innovation and entrepreneurship MZUMBE. Aende kozi gani kati ya hizo? naombeni mchango wenu. mimi nimezipanga kama nilivyomshauri...
  18. Hivi kikitoweka hiki kizazi cha wahenga JF itakuwa na watu gani tena wa kuichangamsha au ndio itajifia

    Humu kuna wahenga wa JF katika majukwaa mbali mbali yani kila uzi wachangiaji ni wao na kazi yao kubwa ni kuji-update kwa kubadili Id's lakini wapo humu JF toka inaitwa jambo forum huko Hao ndio huifanya jamii forum kuwa forum iliyochangamka hasa majukwaa ya siasa, mahusiano, michezo, chitchat...
  19. JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?

    JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani? UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM. Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
  20. A

    HOJA Fremu za biashara KMC Complex zimefungwa kwa mwaka mzima licha ya kukamilika; kuna tatizo gani?

    Nimekuwa nikifika katika uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge kuangalia mechi, lakini nimekuwa nikishangazwa na hali ya fremu zinazozunguka uwanja huo. Karibu zote zimefungwa na hazitumiki, hali ambayo nimekuwa nikiiona kwa takribani mwaka mzima. Nilijaribu kufuatilia na kutaka kujua ni nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…