DKT. MWIGULU AWATAKA WAHITIMU KUJITENGENEZEA FURSA ZA KIUCHUMI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kutumia elimu na ujuzi walioupata kuanzisha shughuli za kiuchumi na kubuni njia za kutatua changamoto mbalimbali za jamii badala ya kutegemea ajira pekee...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kutumia elimu na ujuzi walioupata kuanzisha shughuli za kiuchumi na kubuni njia za kutatua changamoto mbalimbali za jamii badala ya kutegemea ajira pekee.
Amesema mabadiliko katika soko la ajira yanawahitaji wahitimu...
Mungu bado yupo upande wetu watanzania.
Kwa mauaji ya ndugu zetu yaliyofanyika October 29 tunapaswa kuieleza dunia ifahamu nini kilichotokea.
Sasa AFCON inakuja 2027.
Lazima tuwe na mikakati ya kuakikisha dunia inajua nini kilitokea, nani aliuwa na mateso wanayopitia watu wasiomuunga mkono...
Self-Storage Business ni mfumo wa biashara ambapo mtu, familia au kampuni inakodisha chumba, kontena au eneo maalumu kwa ajili ya kuhifadhi mali zake kwa kulipa kodi ya kila mwezi.
Mfumo huu unaweza kuwa fursa nzuri ya biashara nchini Tanzania, hasa katika miji inayokua kwa kasi kama Dar es...
Wateja ambao nguo zao zimechelewa kushonwa au hazijakamilishwa na mafundi cherehani sasa wanaweza kuwasilisha malalamiko yao katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), hata kama mafundi hao hawajasajiliwa rasmi.
Hatua hiyo imekuja kufuatia malalamiko ya wateja wanaodai kuwa baadhi ya mafundi...
Kuna haja kubwa hivi sasa hapa nchini Tanzania kuwa na mijadala ya kina kuhusu uwepo wa fursa ya kutengeneza fedha nyingi kupitia kupunguza hewa ya ukaa duniani kupitia "carbon credit". Lazima nimsifu John Heche ambaye mara kwa mara amekuwa akizungumzia jambo hili katika majukwaa mbalimbali ya...
Kliniki ya Ardhi Katika Maonesho ya Talex Yafungua Fursa za Uwekezaji Kwa Kutoa Hati Miliki Ndani ya Saa 12
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mkoa wa Dar es Salaam inasogeza huduma za kidijitali za umilikishaji ardhi moja kwa moja katika Maonesho ya Talex Tanzania Real Estate Expo...
Je, unapenda kuandika makala, kushiriki mawazo na kuanzisha mijadala yenye kujenga?
Kuna fursa mpya kwa waandishi wa Kitanzania!
Kentexa inafungua nafasi kwa waandishi, wachambuzi na watu wenye ujuzi katika maeneo mbalimbali kujiunga kama Founding Contributors (Waandishi wa Mwanzo)...
Hi, ladies & gentlemen 👊
Unajua nini kuhusu fursa na changamoto za uhadhiri vyuoni?
Je umewai kuwa na ndoto ya kufundisha chuo, nini kilikuwa kichochezi kikubwa - na kipi kilikwamisha pengine?
Kuna vijana wengi ukikutana nao maeneo tofautitofauti unaona kabisa hawa ni adhina kwa taifa kama...
Wazazi na walezi wenzangu,
Watoto wetu wa shule za msingi na sekondari wamefunga shule na sasa wanaingia katika likizo ya siku 59.
Ni ndefu mno.
Mara nyingi tunapofikiria likizo, jambo la kwanza ni kuhakikisha watoto wanasoma, wanafanya tuition na kujiandaa kwa muhula unaofuata. Hayo yana...
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato.
Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
Antalya, Uturuki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amesema Biashara ya Kaboni nchini inatarajiwa kufungua fursa mpya za ajira na kuongeza kipato kwa wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo ya vijijini.
Masauni amesema kuwa biashara...
Safari ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea Antalya nchini Uturuki, kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), ni sehemu ya juhudi za Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kimataifa na kutafuta fursa zinazoweza...
Uarabuni Kuna fursa nyingi sana za kazi, kama umesoma na hupati kazi Tanzania nenda Uarabuni, tena kama ni Muislamu ndio mambo yanakuwa rahisi zaidi na unaweza kujipatia hata mke au mume Mwarabu huko.
Huwa nashangaa kumuona Muislamu msomi wa degree, diploma au VETA anahangaika na ajira...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetakiwa kutumia kikamilifu uhusiano mzuri wa Tanzania na mataifa mbalimbali duniani kuvutia uwekezaji, kuendeleza rasilimali za nchi zilizopo nje ya mipaka na kuongeza mapato ya Taifa kupitia miradi ya kiuchumi. Hatua hiyo inalenga...
Mbali na timu ya taifa kuandaliwa kushiriki na kushinda kombe. Taasisi kama vyuo wanapaswa kubangua bongo kunufaika na globap/continental/regional events kama hizi, hata kwa kushirikiana na sekta binafsi (PPP).
Mna eneo zuri, kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha...
"
Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao.
Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.