faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Faida na hasara za ndoa

  2. Faida na hasara nchi ikiongozwa na jeshi

    Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi. Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi? Maana hawa ndugu zetu wanajeshi tunajua ni watu wa amri tu mwanzo mwisho. Wasije tu na wazo vijana...
  3. Mnyang’anyi Anayeiba Faida Zako Kimya Kimya

    Unajua? Kuku wengi hupoteza uzito, kula sana lakini wasikue, na hata kufa — si kwa sababu ya chakula kibaya, bali kwa minyoo ya tumboni. Minyoo huishi tumboni mwa kuku Hula virutubisho vyote kutoka kwenye chakula unachonunua Huwafanya dhaifu, mayai kupungua, na kuku kudumaa Cha kusikitisha...
  4. R

    Atangaza kuacha kazi ya Uganga haina faida

    Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu Akizungumza...
  5. Faida za mwanaume kuwa na mwanamke bubu kimahusiano ya kimapenzi!

    Kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mwenye ulemavu wa sauti (bubu) kuna faida zake kipekee, hasa ukimpenda kwa dhati. Baadhi ya faida ni hizi: Mawasiliano ya ndani ya moyo – mara nyingi watu wenye changamoto ya sauti hutumia zaidi hisia, ishara na macho kuwasiliana. Hii hujenga connection ya...
  6. Siri za Masoko: Jinsi ya Kufanya Bidhaa Zako Zinunuliwe kwa Faida Kubwa

    Changamoto kubwa ya kilimo na ufugaji si uzalishaji – ni soko. Wengi hufanya kazi kubwa shambani au bandani, lakini mwisho wa siku bei ni ndogo, wanunuzi hawapo, au madalali ndio hunufaika. 👉 Siri ni hii: Soko si mahali, ni maarifa. Ukiwa na taarifa sahihi za bei na mahitaji, hupotezi...
  7. Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
  8. Kuna faida gani mwanaume kutahiriwa/kukatwa govi lake?

    Huko Marekani sasa hivi watu wengi wameacha kutahiri watoto wao wakidai ni mila na tamaduni ya kiyahudi!
  9. K

    Faida za kwenda mapumziko /vacation

    Tofauti na kupata elimu pamoja na msawazisho wa mawazo je kuna faida yoyote ya kwenda vacation? Kesho ni safari ya kutoka Tanzania kwenda Vietnam Hanoi..just for leisure. Binti wa zamani
  10. Faida za Komamanga

    🌱 FAHAMU KUHUSU KOMAMANGA 🌱 Tunda la komamanga (kwa Kiingereza pomegranate, jina la kisayansi huitwa: Punica granatum) ni tunda lenye nguvu kubwa ya kiafya na hutumika sana katika tiba za asili. 🌿 Maradhi Ambayo Komamanga Hutibu 🌿 👉1. Tezi dume (Prostate health): - Juisi ya komamanga...
  11. Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k

    Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva ambapo taarifa unaweza weka kwa njia ya mtandao yaani simu au kompyuta na kuzipata taarifa popote...
  12. Mtaji wa Tsh 300,000 na faida ya uhakika Tsh. 50,000

    Wadau, Nipeni USHAURI HAPA, Nina BIASHARA ambayo MTAJI WAKE ni 300,000 na Hii biashara inaingiza MAPATO ( faida ) ya 50,000 kila siku GUARANTEED Swali ni kuwa je Niendelee na Biashara hii au NIANGALIE utaratibu wa biashara nyingine yenye MTAJI Mkubwa na FAIDA kubwa. ***** Swali linaulizwa...
  13. M

    Faida za kumkausha ng'ombe

    🟩 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE NA MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA 🐄 --- ✅ MUDA SAHIHI WA KUMKAUSHA Ng’ombe hukaushwa wiki 8 (siku 60) kabla ya kuzaa. Huu ni muda unaotosha kumpumzisha na kujiandaa kwa kizazi kijacho na uzalishaji mpya wa maziwa. --- 🌟 FAIDA ZA KUMKAUSHA NG’OMBE: 1. Huongeza...
  14. Faida 10 za Kutumia Canva — Jukwaa Rahisi kwa Kila Mtu Anayetaka Kutengeneza Miundo ya Kuvutia

    Katika dunia ya sasa ya kidigitali, miundo (designs) bora ni silaha ya kwanza ya ushindi katika biashara, ujasiriamali, elimu, au hata content creation ya mitandaoni. Lakini si kila mtu ana muda wala ujuzi wa kutumia programu tata kama Photoshop. Hapo ndipo Canva inapotokea kama mkombozi. Ikiwa...
  15. Faida 50 Unazopata Hapa Duniani Ukiamua kumfwata Yesu Kristo

    1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto. 2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha. 3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi. 4. Anakupa nguvu ya kuvumilia matatizo. 5. Anakufundisha kusamehe na kuishi kwa amani na watu. 6. Anakupa moyo wa upendo unaojenga...
  16. Faida kwa Tanzania kuwa na Benki ya DNA

    Benki ya DNA ni taasisi au mfumo unaokusanya, kuhifadhi, na kusimamia sampuli za DNA pamoja na taarifa zinazohusiana nayo kwa ajili ya matumizi ya baadaye katika utafiti, uchunguzi wa kisayansi, au madhumuni ya kitabibu na kisheria. 1. Maana kwa ufupi Ni kama “benki” ya kawaida, lakini badala...
  17. MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  18. Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
  19. Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  20. Taja faida za kuishi peke yako ?

    Mimi napika nikiwa na boksa , alafu nikimaliza kunywa maji narudisha kikombe kwenye vyombo visafi 😜😁 wewe je ??!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…