faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. AXIOM APEX VERBOSE

    Zijue faida za Utulivu wa kuwa peke yako

    Kujivunia kuwa peke yako ni ishara ya ukomavu wa kihisia na kujitosheleza, ambapo mtu hufurahia uwepo wake binafsi badala ya kuhisi upweke au kutengwa. Kitaalamu katika saikolojia, hali ya mtu kuwa peke yake kwa hiari na utulivu huitwa Solitude (upweke chanya/utulivu wa kuwa peke yako), tofauti...
  2. Kazanazo

    Hivi kuna faida na raha gani binadamu kumtawala binadamu mwenzie?

    Hiwe kundi moja la kikabila, dini, rangi, dhehebu, chama nk kulitawala lingine haliyakuwa wote ni binadamu Kwa wanyama porini huwa kuna ambao wanakula wenzao ndio maana wanatawaliana kutokana uhai wa mnama mmoja unategemea kifo cha mnyama mwingine. Hali hiyo ni tofauti kwa binadamu ambapo huwa...
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    Mtu anapataje faida kwa kufuga mbuzi au kuku wa kienyeji?

    Ninachojaribu kukieleza hapa na kueleweka ni kufanya ufugaji iwe ndio means yako ya kupata pesa na kutegemea ufugaji kama sehemu yako ya maisha, mfano mwingine anaamka asubuhi na kwenda kazini, mwingine anaenda kwenye biashara Mimi nataka ufugaji uwe ni ajira yangu full time. Sasa kwenye...
  4. Insidious

    HOJA Malipo ya Kidijitali Yanatia Sana Shaka: Kuna Faida Gani ya Mfumo Usiofanya Kazi Kila Mara?

    Kuanzia Januari, Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfumo wa malipo ya kidijitali kwa shughuli zote. Hata hivyo, kuna swali najiuliza: Je, tunawezaje kuhamia kwenye mfumo wa malipo ya kidijitali kwa asilimia 100 wakati watoa huduma za kifedha na mitandao ya malipo wamekuwa na hitilafu za...
  5. Teslarati

    Tafakuri: Faida kubwa ya kuwasomesha watoto shule za bei au shule za vipaji maalum sio vyeti bali ni connections za ukubwani watakazopata kupitia huko

    Kuna jamaa ananishangaa sana ninapojikakamua kumsomesha mwanangu IST, anasema hio hela bora nikamuwekee bank. Umasikini unaanzia akilini especially pale mtu anavyoshindwa kujua kazi ya hela na hela inafanya kazi vp. Hio ada nikiiweka bank hadi aje amalize shule tyr haitokua na thamani...
  6. Yoda

    Kuna faida gani dini kuwa na watu wengi ?

    Dini ikiwa na watu wengi zaidi kuliko dini nyingine faida yake kwa waumini/waamini wa hiyo dini ni zipi ? Wananufaikaje ?
  7. Yoda

    Kuna msanii wa Tanzania anaweza kuumwa ugonjwa mkubwa akajitibia mwenyewe?

    Hivi huu muziki wa Tanzania una faida yoyote kwa wasanii ukiacha umaarufu tu wanaopata mtaani ? Sijawahi kuona msanii ameugua ugonjwa mkubwa ambaye hajaomba msaada! Unaweza kushangaa hata siku Diamond akiumwa naye akaomba msaada kuchangiwa matibabu. Au Watanzania wote ni ombaomba tu kwa asili ?
  8. Yom HaDin

    Wakuu msaada: Serikali inawezaje kulipa watu faida kwenye Tresury Bills & Bond [ Hati fungani ] wakati hali yetu kiuchumi ni mbaya kama taifa?

    Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali. Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
  9. Yoda

    Chalamila, acha kushambulia makanisa ya kiroho kwa faida zako za kisiasa

    Nimemsikila Chalamila akifoka kuhusu makanisa anayodai yanaanzishwa kiholela tu bila utaratibu Anasema eti haiwezekani mtu amelala tu akaoteshwa kuanzisha kanisa halafu anaamka anaanzisha kanisa! Mbona makanisa yote duniani yameanzishwa kwa mtindo huo?! Nchi hii ina uhuru wa Imani mkuu wa...
  10. Gunner11

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Leo nilikwenda kununua soundbar bei kitonga.. Sasa kufika eneo husika(kariakoo) nilikutana na kijana mmoja in his mid 20s kama sikosei.. Alikuwa na simu kubwa iPhone hizi 17... Japo sio latest ila ni gharama kwa nafasi alivyo kuwa, Sidhani kama ana familia yule kijana. Nilipo muuliza bei...
  11. Blue Bahari

    Ujumbe maridhawa unaomuhusu kila mwanaume anayejitambua. Pitia kwa faida yako.

    Katika kuzurura kwangu huku na huko mitandaoni, nikakutana na ujumbe mzuri ambao nahisi utakuwa Ni Elimu tosha kwa wanaume (hususani wanaoitwa "simps"). Si dhambi nikashea nanyi. ====================== Kwa Kiswahili! Kwa Masada wa AI WANAUME - ACHENI KUTUMIA PESA ZENU KUTATUA MATATIZO YOTE YA...
  12. M

    Video: Hijab huzuia canser kwa wanawake

    Sikiliza kwa makini
  13. Q

    Tangu waanze kuteka, nchi imepata faida gani, wamemfunga Lissu CCM imenufaika na nini.

    Lifestyle ya uongozi wa sasa wa chama na serikali yake ni KUTEKA wanaowakosoa. Order of the day imekuwa leo mteke yule kesho tumeni watu Kenya wakateke wanaotukosoa, hawajihangaishi na maendeleo ya nchi, zaidi ya hapo wanawaza uchaguzi wa 2030. Hadi leo nchi imeteka wangapi mbona magereza...
  14. youngkato

    Biashara ya photo studio: mtaji, vifaa, faida na jinsi ya kuanzisha

    Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua. 1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa? Katika kipindi hiki ambacho picha zinatumika kwenye biashara, ajira, mitandao ya kijamii na matukio mbalimbali, upigaji picha...
  15. Nestory Semeni

    Wape Watu Kile Wanataka Jikusanyie Faida.

    Leo hii nimekaa najiwazia nafanyeje kuweka mfumo bora wa hela, Na nimejiuliza mambo mengi ya kufanya, Kama ushauri wanaosema "pata ujuzi fulani" Na hata kukopa pesa, Lakini baadae nikajiuliza "Watu wanataka nini?" ilikuwa ni kama swali la utani lakini baadae nimeandika list ya vitu...
  16. Jack Daniel

    Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  17. Mlinzi Shujaa_

    Zoezi la kuruka kamba na faida zake

    Zoezi la kuruka kamba " rope skeeping" huimarisha mwili na kuunya uwe na nguvu nyingi zaidi, hupunguza mafuta mabaya mwilini na kumfanya mtu awe mwembamba na mwenye muonekano mzuri, huongeza pumzi nakumfanya mtu awe nauwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka, huimarisha nguvu za...
  18. cnx

    ni faida zipi mtu anazipa akiungwa kwenye chama cha TALGWU

    Nabaki na maswali mengi sana najiuliza kwanza nilazima kujiunga na chama cha TALGWU pale tu unapo ajiliwa. maana nimekutana na makato nika shindwa kuelewa nilivyo jaribu kuulizia nikashauliwa nimuone afisa utumishi basi nikawa nimefanya hivyo lakin majibu nilio pewa ni kwamba ni lazima kila...
  19. F

    PostGE2025 Faida mojawapo ya maandamano ya Oktoba 29, 2025; ni kukomesha uzururaji na ufujaji wa pesa za umma wa viongozi

    Habari! Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29, Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
  20. M

    Ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa Tsh bilioni 1 inaweza kuleta faida ya Tsh milioni 100 kwa mwezi

    Leo tujadili biashara za kariakoo zilivyo sasa kutokana na ushindani wa bei kutoka kwa wazawa na wageni Tujadili ni biashara gani kariakoo ukiwekeza mtaji wa bilioni 1 inaweza kuleta faida ya milioni 100 kwa mwezi
Back
Top Bottom