elimu

  1. G

    SoC03 Mabadiliko katika Elimu kama Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Elimu ni moja ya nyanja muhimu katika maendeleo ya jamii. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na changamoto nyingi katika sekta ya elimu ambazo zimeathiri ubora wa elimu na kusababisha udhaifu katika utawala bora na uwajibikaji. Kwa kupitia mabadiliko katika elimu, tunaweza...
  2. Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  3. SoC03 Julius Nyerere: “Maandishi ni chombo cha kueneza elimu na kuleta mabadiliko”

    JULIUS NYERERE: “MAANDISHI NI CHOMBO CHA KUENEZA ELIMU NA KULETA MABADILIKO” Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Maandishi ni chombo muhimu sana katika kueneza elimu na kuleta mabadiliko katika jamii. Kupitia maandishi, watu wanaweza kushiriki maarifa na ujuzi wao na wengine, na hivyo kuchangia...
  4. Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini? Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati? Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...
  5. Maoni yangu katika Bajeti 2023/2024 eneo la Elimu-Vyuo vya kati

    Nimefuatilia Uwasilishwaji wa Bajeti kuu ya Serikali 2023/2024. Hongera Mh. @mwigulunchemba na timu yako, ila nina jambo ambalo ningependa kupongeza na kushauri ili liboreshwe zaidi. Ninapongeza hatua ya serikali kuondoa ada kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha 4 na kupangiwa na Serikali...
  6. SoC03 Sera Bora, Elimu na Teknolojia Muhimili wa Mabadiliko, Chachu ya Uwajibikaji na Utawala Bora

    Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na teknolojia. Taifa ni lazima lijikite katika kujenga misingi imara na mfumo dhabiti kuzunguka raia na...
  7. Matumizi ya akili bandia (AI) yahofiwa kushusha ubora elimu

    Kongamano la 8 la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu limeanza leo jijini Dar es Salaam ambapo wito ukitolewa kwa wanataaluma kuongeza umakini kukabiliana na changamoto za teknolojia mpya. Kupitia kongamano hilo lililoandaliwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech), mada mbalimbali zimejadiliwa...
  8. Naomba maelekezo kuhusu Human Resource Management

    Naombe munieleweshe kuhusu hiya kozi sina idea nayo ila nmepata hiv Geo C kisw C bio C hist C eng D phy D chem D civ D math F Naomba ushauri niende kozi ya Human Resource Management au nifanyaje maana nimepangiwa uko
  9. Elimu: Sio kila mbio ni Marathon, waandaaji waaswa

    Waandaaji wa mbio za Barabarani nchini Tanzania, wameaswa kuacha kutumia ne no “MARATHON” kwa kila mashindano wanazoanzisha, kwa kuwa zipo tofauti; Marathoni ni kilomita 42, wakati wanaoanzisha mbio za kilomita 21 pia wanaziita Marathon badala ya Nusu Marathoni (half marathon); kupitia ukurasa...
  10. SoC03 Nafasi ya uzalendo katika kuimarisha Utawala Bora

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi wa jamii inayofanya kazi vizuri na yenye ustawi. Inajumuisha kanuni kama vile uwazi, uwajibikaji, utawala wa sheria, na ushiriki wa raia. Ingawa kanuni hizi ni muhimu kwa utawala bora, jukumu la uzalendo halipaswi kupuuzwa. Uzalendo, upendo na kujitolea kwa...
  11. Ludewa wamshukuru Rais Samia kuidhinisha bilioni 977 kuboresha elimu

    Wilaya ya Ludewa inamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023. Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa imepokea fedha hizo...
  12. Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  13. SoC03 Kijana wa Kitanzania na soko la ajira duniani

    Tanzania ni moja kati ya nchi nyingi barani Afrika ambazo, zina wimbi kubwa la vijana wasiokuwa na ajira hasa , wahitimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Jambo hili likionekana kuchochea sana vitendo vya kihalifu hasa, katika miji mikubwa kama Dodoma, Dar es salaam na Mwanza. Sio kwamba...
  14. Mayele atoa elimu kuhusu mfungaji bora. Huyu hapa.

    Venus Star na makolo wengine hawataki kabisa kusikia ukweli huu unao wauma mno.
  15. SoC03 Namna Serikali inavyoweza kushiriki kwenye mabadiliko ya teknolojia katika elimu

    Tovuti za wizara ya elimu zimekua na muundo ule ule tangu awali zilipotengenezwa hadi leo, hakuna vyumba vipya ambavyo vinabeba maudhui mapya ya kutoa msaada kwa wanafunzi. Wote tunajua teknolojia inakua kwa kasi sana na kutokana na kasi hii ya teknolojia sekta nyingi zinakwenda kupitia...
  16. Bandari: Kwa elimu ile na mapition ya maisha yale, tulitegemea nini Kwa rais wetu?

    Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa...
  17. Tunahitaji elimu kabla ya kutoa maoni kuhusu mkataba mpya wa bandari

  18. SoC03 Wakati rasmi wa Tehema kuwa somo la msingi ngazi ya shule za msingi mpaka elimu ya juu

    Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa kuanzia mjini mpaka vijijini, kwa vile dunia sasa ipo kiganjani ni vizuri nchi ikaendana na kasi ya...
  19. T

    Nimepangiwa Buchosa. Naomba wenyeji Mnisaidie kufahamu Maeneo ya huko

    Habari za jioni wadau, shukrani za dhati kwanza kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwa kunijalia ajira kupitia ajira mpya 2023 kada ya elimu (msingi), nimepangiwa shule ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa. Kwa wenyeji wa maeneo shule ilipo au wilaya ya Buchosa kwa ujumla wake naomba kupata ramani ya...
  20. Wizara za Utamaduni, Elimu na Utumishi zakutana kujadili Maendeleo ya Kiswahili na Michezo

    Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo ya lugha ya Kiswahili na michezo Juni 8, 2023 Mtumba Jijini, Dodoma. Lengo la kikao hicho ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…