watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni.
watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia kwake na anamkuta baba ake akiwa ana furaha sana.
baba anamuita mtoto wake na kumuambia jinsi...
Elimu ni ujuzi anaopokea mtu kutoka Kwa we ye uekewa zaidi juu ya jambo fulani
Kuna aina tatu za elimu
1. Elimu rasmi
hii ni ule ujuzi tunaoupata kutoka a mfumo maalumu wa serikali mfano shule na vyuo
2. Elimu ya jadi
hii ule ujuzi unaopatikana kutoka na mafunzo ya makabila na jamii zetu...
NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI
UTANGULIZI
Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
NENO LA MUNGU LINASEMA: "Mkamate sana ELIMU, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni UZIMA wako." (Mithali 4:13)
Swali ni je! Unadhani Elimu uliyo nayo sasa ndiyo hii tuliyoambiwa tuikamate sana tusiiache iende zake na tuishike maana ni UZIMA wetu?
SIFA ZA ELIMU YA MUNGU NA TOFAUTI KATI YA...
Elimu ya yoga.
Yoga ni elimu ambayo inahusisha viungo vya mwili pamoja na pumzi. Yoga ni moja ya somo muhimu sana katika nchi za Asia, elimu hii inafaa kwa kila rika, ukizingatia katika ufanyaji wake. yoga inafaida nyingi sana katika mwili wa binadamu.
Ukiachilia mbali chakula, yoga ni kitu...
Hapo zamani za kale, kulikuwa na mji mdogo uitwao Brightville. Mji huo ulikuwa na mfumo mzuri wa elimu, lakini viongozi wa mji huo walikuwa na wasiwasi kuhusu ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji katika mfumo wa elimu. Walitaka kufanya mabadiliko fulani ili kuhakikisha kuwa mfumo wa elimu...
Elimu ni sekta muhimu sana katika kukuza utawala bora na uwajibikaji nchini Tanzania. Kuna mabadiliko kadhaa ambayo yanaweza kufanyika kwenye elimu ili kuchochea mabadiliko hayo. Hapa chini nitaorodhesha baadhi ya mabadiliko hayo:
1. Kuimarisha elimu ya uraia na maadili:
Ni muhimu kuanza...
1) Navyo ona wabunge wanapaswa kuwa angalau wameishia kidato cha sita na sio kusoma na kuandika huku wakipokea mamilioni ya pesa.
2) Mwalimu ambaye atapokea shilingi 300000 - 370,000 bado et unataka afanye mtihani ili aajiriwe kwakigezo cha kupandisha hadhi ya elimu kumbe mkitaka wajitume...
Nilipopata habari za mpango wa serikali ya Tanzania wa kupitia upya mtaala wa elimu, nilipata faraja na matumaini. Kuna matarajio makubwa yalianza kujijenga kichwani mwangu – matarajio ya kuondokana na elimu isiyoweza kutafsirika katika uhalisia wa maisha na kazi. Lakini kama wasemavyo waswahili...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF F. MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2023/24
DODOMA MEI, 2023
A. UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa...
ELIMU NI MSINGI BORA WA MAENDELEO KATIKA NYANJA ZA KIJAMII ,KISIASA NA KIUCHUMI KUPITIA MFUMO WA ELIMU TANZANIA
ELIMU ni maarifa yanayopatikana kwa njia ya kujifunza au kusikiliza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingne ili kuwa na uelewa juu ya jambo flani linalohusu jamii,uchumi na siasa...
Nimesukumwa kutaka kuwajua vema hawa watu baada ya kufuatilia mijadala wanayoiendesha katika vipindi. Juzi nilimsikia Kitenge akisoma Magazeti kwa bashasha lakini nikashangaa kuna neno la kiingereza likampa ugumu kulitamka na alivyo mjanja akapiga blaah blaah zingine ili kutoka hapo...
Naandika nikiwa nimeketi nyuma kabisa ya darasa lenye zaidi ya wanafunzi mia moja, wote tukingoja shahada miezi kadhaa ijayo. Mbele kidogo yupo fundi wa mpira na medali zake, na mbele kabisa mwandishi wa mashairi na riwaya katupia miwani yake na tuzo za hapa na pale, na kuna mdada mmoja fundi wa...
Matokeo ya mtihani wa moko wilaya ya darasa la saba yametoka na kutangazawa na mamlaka ya elimu. Ni matokeo mabaya kuwahi kutokea kwa miaka mingi tangu kuanzishwa kwa shule hii ya msingi Nyakavangala. Kamati ya shule inaweka taarifa ya matokeo katika ubao wa matangazo.
Wazazi na wananchi wa...
Rushwa ya ngono imekuwa ni tatizo sugu hasa katika Taasisi za elimu ya juu, Usugu wa tatizo hili unachangiwa na pande zote mbili yaani mtoaji rushwa hapa namanisha wanafunzi lakini pia waombaji rushwa yaani wahadhiri na wakufunzi wa vyuo vikuu.
Madhara ya rushwa ya ngono yanaonekana waziwazi...
ELIMU NDIYO SILAHA YENYE NGUVU ZAIDI AMBAYO UNAWEZA KUTUMIA KUBADILISHA ULIMWENGU
Imeandikwa na: MwlRCT
I. Utangulizi
Elimu imekuwa ikitajwa mara kwa mara kama silaha yenye nguvu zaidi ambayo mtu anaweza kutumia kubadilisha ulimwengu. Kichwa cha habari hiki kinaangazia umuhimu wa elimu...
Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabikia kikatiba na kichama. Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo...
Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari inasimamia mitihani ya kidato cha nne na kidato cha sita nchini Tanzania, hivyo ina uzoefu na utaalamu...
Utangulizi
Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokua tuweze kuwa wafanyabiashara bora. "Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.