elimu

  1. CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

    Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini. Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini. Kumuunga mkono Rais ni...
  2. Huwezi kuzuia rocket kwenda kama tu ikishawashwa (full power)

    Kama ilivyo kwa vyombo vingine basi na hata rocket pia nayo hutumia engine ili iweze kufanikisha utendaji kazi wake na mara nyingi tumekuwa tukiziona tu nakuzichukulia kawaida sana bila kujua maajabu yake. Lile bomba pekeake bila engine bado alijakamilika kuitwa rocket kwani zile engine...
  3. Waziri Jenista Mhagama akabidhi vifaa vya TEHAMA, Michezo, Afya na Elimu

    Mbunge wa Jimbo la Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. JENISTA J. MHAGAMA Amefanya Ziara Katika Kata ya Kilagano Kijiji cha Mgazini na Kijiji cha Kilagano. Katika Ziara hiyo Mhe. Jenista Mhagama ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ngazi ya...
  4. SoC03 Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa

    Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi: Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya binadamu. Elimu inawezesha wananchi kuelewa na kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa...
  5. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
  6. Wafanyakazi 3,600 wa Muhimbili kupewa elimu ya fedha kabla ya kukopa au kuwekeza

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza. Ahadi hiyo...
  7. Tatizo sio Elimu Bali uhaba wa Fursa

    Nchi yetu Ina uhaba wa Fursa hata watu waliosoma skills From Vocational training , bado hawana opportunities za Kazi. So tujikite kuzalisha fursa na sio kuwapa lawama vijana.
  8. Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu. Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa vitumbua. Yaani degree ni luxury sio hitaji muhimu. Tanzania ama dunia ya sasa inahitaji stadi na...
  9. G

    SoC03 Mfumo wa elimu wa nchi yetu hauendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa

    Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania: Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
  10. Pita hapa, tupate elimu ndogo kuhusu kampuni

    Kuna sababu kadhaa kwa nini unaweza kuamua kusajili kampuni. Hapa kuna baadhi ya faida za usajili wa kampuni: 1. Utambulisho rasmi: Usajili wa kampuni hutoa kitambulisho rasmi cha biashara yako. Hii inamaanisha kuwa unapata utambulisho tofauti na wewe kama mtu binafsi. Hii inaweza kusaidia...
  11. Natafuta Mchumba (mwanamke)

    Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa. SIFA Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea. Awe mweupe au maji ya kunde. Asiye kunywa pombe. Awe mwenye hofu na Mungu. Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja. Awe mrefu au mfupi Ni...
  12. Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi

    MADINI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU NA KAMPUNI YA GGML #GGML wapongeza Mkaa mbadala wa STAMICO #GGML Kinara uchangiaji huduma kwa jamii Wizara ya Madini imepongezwa na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kutoa elimu kwa wananchi na wadau wanaotembelea banda la Wizara, taasisi zake...
  13. Hizi sekta/Wizara ya Afya na Elimu zimekumbwa na nini siku hizi za karibuni..?

    Habarini za wakti Wana JF, On the point, nimekuwa napigwa na mshangao sana kwa haya yanayoendelea katika Wizara zetu hizi nyeti ambayo ni Afya na pacha wake pia Elimu. Nianze kuzungumzia sekta ya Afya ambayo imekuwa muhanga wa hii kadhia,, hivi karibu kumekuwa na mambo mbalimbali ya ovyo ambayo...
  14. K

    SoC03 Maboresho katika utoaji wa elimu maalum katika kuchochoea maendeleo kwa wenye ulemavu

    Elimu maalum ni aina ya elimu inayolenga kutoa mafunzo na huduma za elimu kwa watu wenye mahitaji maalum au ulemavu. Mahitaji maalum yanaweza kuwa ya kimwili, kiakili, kihisia au ya kujifunza. Elimu maalum inalenga kutoa fursa sawa za elimu kwa watu wenye ulemavu ili waweze kufikia uwezo wao...
  15. Maofisa Elimu Wakabidhiwa Magari 51

    Serikali imekabidhi magari 51 kwa maofisa elimu wa sekondari wa halmashauri, kuongeza ufanisi, usimamizi na ufuatiliaji wa slimu nchini. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi magari hayo jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki alisema...
  16. Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5 Maana yake nishapata VIGEZO vya degree ila course ninayotaka kusoma degree ni IT au Computer...
  17. Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Wazazi muwe makini na mafunzo yanayotolewa kwa Watoto kuhusu masuala ya imani

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini. Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani. Amesema...
  18. Kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga katika Taifa

    Madhara ya kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga mkubwa katika Taifa. Elimu ni jambo la kupewa kipaumbele katika Taifa kwasababu inaondoa ujinga na kuleta maarifa. Yapo mataifa mengi yanayotilia mkazo swala la Elimu hata yameamua kupandisha viwango vya ufaulu badala ya...
  19. Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

    Tumekuwa tukisikia migogoro ya mara kwa mara baina ya viongozi wa walimu kama vile Wakuu wa Shule, Waratibu Elimu, Maafisa Elimu nk, na Walimu, hii yote nikutokana kuwa either kiongozi ana Elimu ndogo kuliko anaye muongoza au mwenye Elimu kubwa ameachwa ameteuliwa mtu mwenye Elimu ndogo, aisee...
  20. SoC03 Mabadiliko ya mifumo ya elimu katika kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani. Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu Katika nchi yetu ambayo haikidhi vigezo vinavyohitajika kwenye soko la ajira na Dunia inayokuwa Kwa kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…