elimu

  1. Je, unafahamu kuwa shuleni na chuoni ulikopatia elimu kuna mafaili yako?

    Wakuu ni wakumbushe tu jambo moja la muhimu kwenye shule zote ulizosoma hata chuo ulichopatia shahada kuna mafaili yako. Kama uliwahi kukutwa na kesi ukaambiwa uandike statment, kama ulisimamishwa masomo kwa utovu wa nidhamu kama vile fujo, wizi, mapenzi au kufanya tukio lolote taarifa zako...
  2. K

    Kuanzia leo katika jukwaa hili nitaongelea siasa katika elimu, vingine vinipite

    Taifa lolote linalotaka kuendelea lazima kipaumbele kiwe katika elimu Katika nchi yetu elimu imepewa nafasi ndogo sana katika vipaumbele vya nchi Angalia walimu wanavyoishi maisha ya chini sana katika jamii Angalia majengo ya shule kwa maana ya madarasa, ofisi, fenicha, vyoo vya shule...
  3. kuna elimu za kwamba kuna jirudia hivi ni kweli.

    Wana sema hata kila ukifanyacho ubaya kita kurudia na kipo karibu.
  4. Leo ndo tutajua kama MTU mwenye Elimu kubwa anaweza kukubali kutumika

    Leo ndo siku itakayowapa heshima wasomi au heshima yao kupotea Moja kwa Moja .
  5. Wakuu, kuna ukweli wowote kuhusu tetesi za kufutwa kwa Sera ya Elimu Bila Malipo/Bila Ada?

    Habari, Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
  6. Ngao combat - maana yake ni nini ?

    Katika ulimwengu wa mbinu za kujihami ( ngao combat ) ni mfumo wa kujihami wa tanzania, ila maneno ( ngao combat ) maana yake ni kama ifuatavyo NGAO ngao ni neno la kiswahili ambalo maana yake kwa kiswahili ni ( ulinzi au silaha ya kuzuia mashambulizi ya adui na kumshambulia adui. COMBAT...
  7. Hivi Clinical Officer bado anathaminika kweli mtaani kwa elimu yake,?

    Mimi ni Clinical officer mwenye uzoefu wa kutosha, nina leseni hai, nafanya procedure zote kama vile kuzalisha, kushona , kufunga back slab na complete cast, kutoa maji tumboni na kifuani (thoracocentesis & Paracentesis), Kutaili (Male circumcision) na ku assist major surgery thither...
  8. Arusha Wapata Elimu kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la EAC

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
  9. Elimu bora ni muhimu kwa Maendeleo ya mtoto wako

    Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni? ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi. 📚 HUDUMA ZETU 1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3) 2...
  10. Ongea na kamanda yaunganisha elimu ya Lishe bora na ulinzi wa Amani Rombo K'njaro

    Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro Wananchi wapatao 300 wa Kata ya Manda na maeneo ya Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo, wamepata elimu kuhusu umuhimu wa lishe bora, matumizi ya vyakula vya asili, uzalendo na wajibu wa kila mwananchi katika kulinda amani na usalama wa nchi. Elimu hiyo...
  11. Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  12. Kuna siri gani katika kuivuruga vuruga Elimu yetu ?

    Kuna mwenye taarifa yenye kueleweka kuhusu hili jambo ?, maana kila niliposoma taarifa hii sijawaelewa wahusika .
  13. R

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  14. Kwa nini burudani ina pesa nyingi kuliko afya na elimu? Mwalimu analipwa kidogo, lakini mchezaji au msanii anaweza kulipwa mamilioni

    Ndugu wana Jamiiforums, naomba tujadili jambo ambalo limekuwa likinipa maswali mengi kuhusu mfumo wetu wa uchumi na vipaumbele vya jamii. Fikiria mwalimu anayefundisha watoto kwa miaka mingi, daktari anayehudumia wagonjwa na kuokoa maisha, au mhadhiri anayezalisha wataalamu wa taifa. Watu hawa...
  15. Wizara ya Elimu Acheni Kujaza Chuki Watoto

    Wakuu NIko kwa Mjomba huku ndani ndani 😂, Kuna mtoto wake anasoma darasa la sita (6). Sasa huyu mpwa kaniletea swali wamepewa homework darasani, nadhani ni somo la Historia au Hostoria ya Tanzania nimsaidie majibu ya homework. Swali lenyewe linasema hivi " Taja watu walioshirikiana na Mwl...
  16. Elimu ilianzia ikulu ikapelekwa tandale na haikuanzia buza kuelekea ikulu.

    Habari wakuu. Zingatia kichwa cha habari tajwa hapo juu, soma kwa kutafakari sababu huu uzi mfupi unakupa majibu kwanini elimu ya sasa licha ya kusoma mpaka chuo kikuu ila haimsaidii mtu mmoja mmoja asiye na ajira kujikwamua kiuchumi. Kihistoria elimu ilianzia ikulu special for kings, prince...
  17. Live From Maktaba Kuu ya Taifa: Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Mgeni Rasmi ni Waziri wa Elimu, Profesa wa Ukweli, Prof. Adolf Mkenda.

    Wanabodi, Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba. Hii ni live streaming ya PPR https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM Karibuni...
  18. H

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) 2026.
  19. Hivi elimu ya sasa imefeli au akili zetu zimegoma? Mbona zamani walisoma vitabu viwili tu na wakabadilisha dunia?

    Wakuu salama! Kuna kitu kimeniamusha asubuhi ya leo nikawa nawaza sana hapa kijiweni. Hivi mshajiuliza kwanini wafalme na viongozi wa zamani (kama akina Mfalme Sejong wa Korea au hata akina Mansa Musa) walikuwa wanasoma vitabu vichache sana, lakini walikuwa wanaitwa ma-genius na walifanya mambo...
  20. S

    Nafanyaje ili niweze kuhamia Taasisi nyingine ya Serikali. Naomba ushauri wenu

    Habari za wakati huu Wakuu. Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali. Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering. Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…