Wakuu ni wakumbushe tu jambo moja la muhimu kwenye shule zote ulizosoma hata chuo ulichopatia shahada kuna mafaili yako.
Kama uliwahi kukutwa na kesi ukaambiwa uandike statment, kama ulisimamishwa masomo kwa utovu wa nidhamu kama vile fujo, wizi, mapenzi au kufanya tukio lolote taarifa zako...
Taifa lolote linalotaka kuendelea lazima kipaumbele kiwe katika elimu
Katika nchi yetu elimu imepewa nafasi ndogo sana katika vipaumbele vya nchi
Angalia walimu wanavyoishi maisha ya chini sana katika jamii
Angalia majengo ya shule kwa maana ya madarasa, ofisi, fenicha, vyoo vya shule...
Habari,
Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule
Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
Katika ulimwengu wa mbinu za kujihami ( ngao combat ) ni mfumo wa kujihami wa tanzania, ila maneno ( ngao combat ) maana yake ni kama ifuatavyo
NGAO
ngao ni neno la kiswahili ambalo maana yake kwa kiswahili ni ( ulinzi au silaha ya kuzuia mashambulizi ya adui na kumshambulia adui.
COMBAT...
Mimi ni Clinical officer mwenye uzoefu wa kutosha, nina leseni hai, nafanya procedure zote kama vile kuzalisha, kushona , kufunga back slab na complete cast, kutoa maji tumboni na kifuani (thoracocentesis & Paracentesis), Kutaili (Male circumcision) na ku assist major surgery thither...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu Rasimu ya Katiba ya Fungamano la Kisiasa la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali mkoani Arusha, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza uelewa na kuwaandaa wananchi...
Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni?
ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi.
📚 HUDUMA ZETU
1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3)
2...
Kutoka Dawati la Habari polisi Kilimanjaro
Wananchi wapatao 300 wa Kata ya Manda na maeneo ya Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo, wamepata elimu kuhusu umuhimu wa lishe bora, matumizi ya vyakula vya asili, uzalendo na wajibu wa kila mwananchi katika kulinda amani na usalama wa nchi.
Elimu hiyo...
1. UTANGULIZI
Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure.
Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
Ndugu wana Jamiiforums, naomba tujadili jambo ambalo limekuwa likinipa maswali mengi kuhusu mfumo wetu wa uchumi na vipaumbele vya jamii.
Fikiria mwalimu anayefundisha watoto kwa miaka mingi, daktari anayehudumia wagonjwa na kuokoa maisha, au mhadhiri anayezalisha wataalamu wa taifa. Watu hawa...
Wakuu NIko kwa Mjomba huku ndani ndani 😂, Kuna mtoto wake anasoma darasa la sita (6).
Sasa huyu mpwa kaniletea swali wamepewa homework darasani, nadhani ni somo la Historia au Hostoria ya Tanzania nimsaidie majibu ya homework.
Swali lenyewe linasema hivi " Taja watu walioshirikiana na Mwl...
Habari wakuu.
Zingatia kichwa cha habari tajwa hapo juu, soma kwa kutafakari sababu huu uzi mfupi unakupa majibu kwanini elimu ya sasa licha ya kusoma mpaka chuo kikuu ila haimsaidii mtu mmoja mmoja asiye na ajira kujikwamua kiuchumi.
Kihistoria elimu ilianzia ikulu special for kings, prince...
Wanabodi,
Niko usawa wa Maktaba Kuu jijini DSM, kuwaletea live mubashara, Ufunguzi wa Kongamano la 4 la Maktaba.
Hii ni live streaming ya PPR
https://www.youtube.com/live/by_M-S5y2nQ?si=unvr7AjYMYBjHUyW
TBC pia wako live https://www.youtube.com/live/82WSK_aP0gA?si=sHuGGozGjH9KJ6OM
Karibuni...
adolf mkenda
elimu
from
kongamano
kuu
live
maktaba
mgeni
mgeni rasmi
mkenda
prof. adolf mkenda
profesa
rasmi
taifa
ufunguzi
ukweli
waziri
waziri wa elimu
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi tunawatakia kila la heri wanafunzi wa Kidato cha Nne katika mtihani wenu wa kumaliza Elimu ya Sekondari (CSEE) 2026.
elimuelimu ya
elimu ya sekondari
iramba
iramba magharibi
jimbo
katika
kidato
kidato cha nne
kumaliza
magharibi
mbunge
mtihani
ofisi
sekondari
wanafunzi
Wakuu salama!
Kuna kitu kimeniamusha asubuhi ya leo nikawa nawaza sana hapa kijiweni.
Hivi mshajiuliza kwanini wafalme na viongozi wa zamani (kama akina Mfalme Sejong wa Korea au hata akina Mansa Musa) walikuwa wanasoma vitabu vichache sana, lakini walikuwa wanaitwa ma-genius na walifanya mambo...
Habari za wakati huu Wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu utaratibu wa kubadilishiwa kituo cha kazi au kuhamia taasisi nyingine ya Serikali.
Mimi ni mkufunzi wa Useremala chini ya Wizara ya Elimu, lakini taaluma yangu ni Civil Engineering.
Kwa sasa nina changamoto ya kifamilia, kwani mzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.