Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa kubuni na kuandaa shindano la stadi za ufundishaji kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, akisema kuwa tuzo zinazotolewa kwa washindi zinaleta motisha na kuwatia hamasa walimu...
Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani.
Ila baada ya kumtazama vizuri mnagundua kuwa huyo mtu anatiririka damu nyingi sana lakini hajafa. Sasa hapa...
Dhambi nyingine ni kutumia rasilimali za Serikali na mwisho kukosa matokeo stahiki.
Natamani nisilalamike Bali niseme tu. Napongeza wizara ya Elimu kwa jitihada kubwa katika Elimu. Na pili, niwakosea kwa kuendelea na ukiritimba Wa kale ili waweze kufuja pesa za Serikali huku watoto wakiambulia...
Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12.
Hii ina maana wanafunzi wanasoma mwaka mzima bila kupumzika.Tabia hii ilianza kwa shule binafsi hasa...
Anonymous
Thread
elimu
kila siku
likizo
shule
siku
udhaifu
wakati
wake
watendaji
watoto
Naomba kufahamu au kujuzwa kwa mwenye ujuzi mkubwa, kwa kawaida malaika Hawa ni viumbe wa Mungu, Gabriel, Mikael, Rafael na Uriel, na asili zao, mfano Gabriel Ana asili ya maji, Uriel Ana asili ya moto nakadhalika,
Je inakuwaje tunaweza kuwatumia katika kutuunganisha na Mungu kwa ajili ya ulinzi...
Huenda ni mtoto wako, au wewe mwenyewe unataka kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa ngazi ya;
1. Shahada ya awali (Bachelor's Degree) au,
2. Shahada ya Umahiri (Master's Degree) au,
3. Shahada ya Uzamivu (Doctor of Philosophy - PhD).
Hata hivyo unatamani kufahamu zaidi...
Nimemsikia Heche akisema Chadema ilimpa Ubunge wa Viti Maalum Susan Kiwanga, anaongeza walimpa ubunge wa viti maalum huku akiwa hana elimu na alikuwa akifanya kazi za ndani
So huo ubunge wa viti maalum wanatoa bila kuzingatia merit? Sasa kama "wanawapa" uongozi watu wasio na elimu wala uelewa...
Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu
Elimu ya kikoloni
Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri
Na technology
Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe mtaalamu zaidi
Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali.
Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi
1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School
Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu.
Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
Nina bachelor degree in Gender and Development, nataka kwenda Dubai kutafuta maisha.
Ila ndoto zangu nataka kwenda nchi za kiarabu kama njia ya kwenda ulaya...
Hasa scandinavian countries, Sasa naomba kujua vyeti vyangu nibebe au niachane navyo!!
Mana nasikia kule elimu yetu Haina Thamani...
Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi
"Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya Wiki ya Utafiti na Ubunifu ya UDSM yatakayofanyika kuanzia Juni 9- 11, 2025 katika Viwanja ya...
Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Habari za Asubuhi!
Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake.
Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo;
1. Pesa
2. Elimu
3. Familia.
Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
Huko kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza kiongozi au mwanasiasa kudanganya au kuandika taarifa za kubumba katika CV yako hasa suala la elimu ikugundilika ni suala linaloweza kupelekea hata kupoteza nafasi yako ya uongozi. Hili ni suala ambalo utakuta linajadiliwa hadi katika vyombo vikubwa vya...
Habari za wakati huu.
Nimeandaa video hii ili kuzungumza kwa kina juu ya matatizo yanayo sababishwa na allergies na njia mbalimbali zakutibu zikiwemo mitishamba.
https://youtu.be/UKhfahXz2UU?si=IDitY_xh0MB3o90h
Achana na ufaulu kwakuwa unaweza kuchora duara na bado mambo yako yakawa supa sana.. Kikubwa uwe kada mtiifu halafu usiwe mchoyo...! Halafu ujue kuwanyenyekea wakubwa!
Kule kwa wavimba macho na wengineo wameweza kutoboa kwa sababu engine haikuwa mbovu... Walihakikisha ofisi kubwa inakamatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.