elimu

  1. A

    Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda vitabu vya mitaala mipya viko wapi? Vitabu vya wanafunzi wanaoingia darasa la 5 mpaka sasa havipo popote

    Hivi hizi serikali zetu za kiafrika kwanini ziko hivi? Mtaala mpya shule za misingi ilianza tangia 2022 lakini mpaka leo hakuna vitabu, tuna wizara, tuna Taasisi ya Elimu ila hakuna vitabu. Ktk hii likizo ndefu wazazi wangetafuta namna ya kuwasaidia ila vitabu havipo siyo madukani wala...
  2. Kwanini elimu zetu zinatuandaa zaidi kuwa watu wa mijadala, uchambuzi na motisha badala ya wagunduzi na watendaji bora?

    Amani iwe juu yenu, Nimekuwa nikijiuliza sana kwamba ,mbona sisi ni watu wa mijadala , uchambuzi na motisha kwa sana na sio Ugunduzi na utendaji? Hapa pale UDSM miaka ya nyuma, sifa yao kubwa ilikuwa ni mijadala ila hakuna gunduzi ambayo imeweza kupenya kwenda nje au kubadilisha maisha ya...
  3. Katavi: Elimu, uchumi na Imani zageuka kuwa njia ya kupunguza udumavu

    Udumavu kwa watoto hauwezi kumalizwa kwa kumtibu mtoto mmoja mmoja hospitalini pekee. Wataalamu wanaeleza kuwa suluhisho linahitaji familia kupata uelewa wa lishe, kutumia vizuri chakula kinachozalishwa, kubadili baadhi ya mitazamo kuhusu vyakula na kuhakikisha watoto wanafuatiliwa mapema, hasa...
  4. Katavi: Umasikini, Elimu na Imani zinachochea udumavu -nani anahusika?

    Udumavu kwa watoto mkoani Katavi hauchangiwi na sababu moja pekee. Ushahidi kutoka kwa wazazi, wataalamu wa afya na viongozi unaonyesha mchanganyiko wa hali ya kiuchumi ya kaya, uelewa wa lishe, namna chakula kinachozalishwa kinavyotumika, pamoja na imani na mitazamo kuhusu chakula na malezi ya...
  5. R

    Korea Kusini: Waziri wa Elimu ajiuzulu kufuatia Wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye Mitihani

    Waziri wa Elimu wa Korea Kusini, Choi Kyo-jin, amejiuzulu kufuatia kashfa ya udanganyifu katika mitihani iliyozua taharuki kubwa nchini humo. Waziri huyo alisema ameamua kuwajibika kikamilifu kutokana na mkanganyiko uliojitokeza baada ya serikali kuchukua hatua za dharura dakika za mwisho ili...
  6. B

    KERO Haiwezekani kubadili level ya elimu TPF recruitment portal

    Hichi kipengele ilibidi kiwe na edit function...imagine User by age 24 ana diploma ila kazi za diploma hazieleweki anaamua aombe kupitia form IV au the common Tanzanian ameeka bachelor tu out of curiosity basi anarudije kwenye qualification yake akati mume-lock rollback mnaruhusu kuongeza tu...
  7. M

    RC Chalamila kaamua kuvisema Vyuo vya elimu mbalimbali

    Hivi mbona kama ndiyo vyuo alivyosoma bosi wake, vyuo vinavyotoa elimu mbalimbali, au mnatambua ni vyuo gani hivyo wakuu.
  8. Nadharia ya elimu ya Plato na elimu yetu ya Tanzania

    NADHARIA YA ELIMU YA PLATO NA ELIMU YETU YA TANZANIA--- Fr.Dr.Shukrani Mbirigenda( UDSM-Institute of Development Studies(DS) UTANGULIZI Plato ni mwanafalsafa wa Kigiriki aliyeishi miaka 400 kabla ya Kristu. Katika kuzungumzia nadharia ya elimu, Plato aliwahi kusema kuwa watu ndani ya jamii...
  9. tujadili na hili kidogo elimu weka pembeni twende na hisia

    wanaume mfano una mademu wa 2 mmoja mrembo sana mwenye mvuto wa kimwili ana ushawishi sana kihisia yaan akiwa naked una enjoy na kusifu uumbaji wa Mungu ni mkuu na ata ukitoka nae watu wana mkodolea macho yaani upo proud kumtambulisha kwa watu na rafiki zako lakini hana akili ya maisha wa...
  10. Watumishi wizara ya ardhi wasisitizwa kuongeza nguvu utoaji elimu matumizi ya mfumo wa E-ardhi

    DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspari Kasperi Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma na Halmashauri zake kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi ili kuwawezesha kutumia...
  11. Ubora wa elimu ya chuo kikuu ulidumaa sana tangu utawala wa awamu ya nne kuingia madarakani.

    Ukifuatilia habari za wanachuo Tanzania ulinganishe na habari za wanachuo wa nchi nyingine utagundua Tanzania bado ni nchi masikini na backward sana. Habari kubwa za wanachuo Tanzania ni 1. Matumizi ya mkopo (Boom) 2. Ngono 3. Uchawa kwa watawala Habari za wanachuo nchi nyingine ni 1...
  12. Serikali yataka Elimu ya Afya ya Akili kupewa kipaumbele vyuoni

    Mkurugenzi wa Elimu ya Juu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Stephen Maluka, amevitaka vyuo vikuu na vyuo vya elimu ya kati kuhakikisha vinaandaa programu maalumu za kuwajengea wanafunzi uelewa kuhusu ustawi wao, ikiwemo elimu ya afya ya akili na usimamizi wa fedha binafsi...
  13. O

    Mwalimu Mkenya Atunukiwa Tuzo ya Kimataifa ya Elimu Dubai!

    Elimu ya Kenya inazidi kungโ€™ara ulimwenguni baada ya mwalimu Samuel Ojode Oluoch kutoka Shule ya Upili ya St. Gabriel Gagra iliyoko Rarieda, Kaunti ya Siaya, kuibuka miongoni mwa waliofuzu fainali katika Tuzo za Elimu za GESS za 2026 zilizofanyika jijini Dubai. Katika dunia ambapo mfumo wa...
  14. Wakili Peter Madeleka katema sana shule humu kwenye hii podcast, watu wengi tunahitaji Elimu ya sheria

    Jamaa kaongea sana humu, watu wengi tunakosa maarifa https://youtu.be/u2aZFKR9NKQ?si=ZvTGb_CQ7YGspu3R
  15. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š...
  16. M

    Mwanafunzi yatima aliyedahiliwa kusomea Udaktari UDOM kukosa mkopo wa elimu ya juu

    Inakuwaje mwanafunzi yatima anayesoma shahada ya Udaktari katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akose mkopo wa elimu ya juu licha ya kuwa na uhitaji wa msaada huo? Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa mwanafunzi huyo amepata nafasi ya kusoma kozi ya Udaktari, hana mzazi hata mmoja, lakini amekosa...
  17. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š ๐˜ž๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ณ๐˜ช ๐˜”๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ฏ๐˜ป๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข ๐Ÿ—“๏ธ Novemba 11, 2026 ๐Ÿ“ Segese...
  18. Elimu inaweza kuwa njia ya kupata wateja

    Katika biashara, si lazima kila mara uanze kwa kuuza bidhaa au huduma zako. Wakati mwingine, njia bora ya kuvutia wateja ni kuwafundisha na kuwapa suluhisho la changamoto zao. Unaposhiriki elimu yenye manufaa kupitia mitandao ya kijamii, blogu au video: Unajenga uaminifu kwa wateja wako...
  19. F

    Hili la kuzuia adhabu ya viboko mashuleni ni kinyume cha katiba, Waziri wa elimu ajiuzulu haraka

    Katiba ya nchi inatambua uwepo wa Mungu Na Kwa kuwa Mungu ameamrisha katika Katba yake( NENO) kuwa fimbo itumike Kwa mtoto ili kumuepusha na ujinga uliofungwa ndani yake na kumuepusha na shimo la mauti na ndio sababu zilitungwa kanuni kuruhusu fimbo mashuleni. Sasa hili la kufutwa adhabu...
  20. Kwa nini mtu hukasirika? Je, hasira ni ukosefu wa elimu au ni sehemu ya asili ?

    Hasira ni hisia za kawaida za binadamu, na mtu yeyote anaweza kukasirika bila kujali kiwango chake cha elimu, cheo au uwezo wake wa kiuchumi. Cha kushangaza ni kwamba watu hutofautiana katika namna ya kuonyesha hasira zao. Kuna mtu akikasilika kila mtu anajua, sauti hupanda na uso hubadilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ