duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uliwahi kufanya dhambi gani duniani hata ukajutia?

    Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye. Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni...
  2. Meli kubwa zaidi ya LNG yaweka rekodi mpya duniani

    Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi. Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
  3. Polepole ameingia kwenye orodha ya watu wasio na kaburi lake duniani.

    Wana ccm hivi mnajua POLEPOLE mwana ccm mwenzenu Hana kaburi lake? Mwenzake magufuli yeye analo Sasa mkitaka kuhiji mtaenda wapi?
  4. Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote haya hayajabadilisha ukweli wa msingi,,,, binadamu hakuja duniani kufaidika kwa namna ya kudumu. Kwa...
  5. Tupumzishane wajameni hakuna aliyerudi duniani mara ya pili, motiveshono spikas wamekuwa wengi kuliko spika zenyewe.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo yanakosa mizizi ya uhalisia. Ni rahisi kusimama mbele ya watu na kusema “fanya hivi, acha vile”, lakini...
  6. Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  7. Kama usaliti usingekuwepo duniani basi maji yasingetumika kumpika samaki

    Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
  8. Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  9. Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  10. Je! Unahisi umeshatimiza Malengo yako ya kua hapa duniani au bado?

    Lengo langu limetimia kwa 99.99%. Je! Wewe?
  11. Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  12. Kwanini Iran na Wafuasi wa Iran, Palestine Duniani kote Wanamuogopa Sana Netanyahu?

    Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu. Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi? Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye...
  13. Hivi duniani kuna bahati? Nini maana ya bahati?

    Nimewasikia watu Wakisema dah huyu jamaa ana bati sana, hii ni mara baada ya kufanikiwa katika jambo fulani. Hivi ni kweli watu wana bahati au ni kwa sababu ya kupambana
  14. Kumekuwa na ongezeko kubwa la kansa ya etugru (anal cancer) duniani

    Ongezeko hili linadhaniwa ni kwa sababu kwa kuongezeka kwa vitendo vya ongezeko la ngono kwa njia ya tugru. Infection ya HPV inaweza kuathiri etugru kwa kiwango kikubwa sana kupelekea cancer ambayo kutibika inakuwa mbinde. Kuwekeni makini sana
  15. tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

    Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV South Africa – Takribani milioni 8.3 India – Takribani milioni 2.5 Mozambique – Takribani milioni 2.4 Nigeria – Takribani milioni 2.0 Tanzania – Takribani...
  16. Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimerudi, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo

    Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimelud, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo.
  17. Hivi Kuna Taifa Lingine Duniani Linalojua Sana Maisha ya Mastaa Kama Tanzania?

    Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana kuhusu maisha binafsi ya watu maarufu. Mtu hajaamka bado yupo kitandani alfajiri tayari anajua...
  18. Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  19. Mashindano ya Mashua ya Dragoni ya Kichina yakaribishwa duniani

    Siku hizi Wachina wanaoishi sehemu mbalimbali duniani wamefanya mashindano ya Mashua ya Dragoni ili kusherehekea Tamasha la kijadi la Mashua za Dragoni. Katika miaka ya hivi karibuni, mashindano hayo yamekaribishwa na watu wa nchi mbalimbali duniani. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na...
  20. Umekuja na zawadi ya kipekee Duniani itoe acha kufuata mtiririko; Hauwezi kumfurahisha kila mtu

    Uwepo wa mtu yeyote Duniani ni uwepo wa zawadi awe anajua au hajui. Uumbaji umeweka zawadi ndani ya kila kitu kwa ajili ya kila kitu. Zawadi uliyokuja nayo siyo kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya Jamii. Mti wa muembe zawadi unayoitoa ni maembe ila wenyewe hauli maembe. Zawadi uliyokuja nayo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…