Zaidi ya Asilimia 90 ya watu ni machawa.
Hii ni kwasababu wengi huishi kwa kuwasifia watu/makundi bila kujali mapungufu yao ili kujifaidisha na hii ndiyo maana ya uchawa.
Asanteni
Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu
Uraibu ni hatari sana kwenye maisha ya binadamu na unaweza kupelekea kupoteza maisha
Kuna uraibu wa aina nyingi sana, kwa kufupisha nikuwa uraibu ni hali ya kutumia hisia mbaya au kitu kwa kupita kiwango
Ni kazi ngumu sana...
Nashangaa mtu anasema wakatoliki sijui wamekuwaje lakini in short hawa watu wamenyooka kama rula hawataki bla bla.
Viongozi wakikatoliki.hata kama utawapa nchi waiongoze mtapiga hatua hadi mkashagaa, ndio maana wanajiamini kupita kiasi
Labda blabla uzilete wewe na ukizileta kwao wanakupiga...
Wasalaam Jf,
Ukweli ni kwamba huyu jamaa anajua sana Uchumi.
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
PPP INAWEZAJE KUTULINDA DHIDI YA MISUKOSUKO YA UCHUMI WA DUNIA?
Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, anasema, PPP Centre na mfumo mzima wa PPP vinalisaidiaje Taifa pale dunia inapokumbwa na misukosuko mikubwa...
Salaam!
Leo ni jumapili nyingine tena! Kwanza niwapongeze members wote wa JF ambao wana mchango chanya katika platform hii.
Binafsi ninaamini kwa asilimia kubwa watu waliopo JF ni wamepevuka kiakili na wako na nia ya kujifunza vitu vipya kila siku.
Breakdown;
Nilianzisha maada last week...
Jengo hilo linaitwa ArtScience Museum.
Lipo Marina Bay, Singapore (Singapore), karibu na hoteli maarufu ya Marina Bay Sands.
Jengo hili lina umbo la ua la lotus (ua la maji), na linatumika kama jumba la makumbusho linalounganisha sanaa, sayansi, teknolojia na ubunifu
Makadirio ya Kituo cha Utafiti cha Pew yanaonyesha kuwa kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52 ifikapo mwaka 2035. Watafiti wanasema tofauti katika viwango vya uzazi zinachangia mabadiliko hayo.
Uislamu na Ukristo vinaongezeka kwa ukubwa, lakini idadi ya Waislamu inaongezeka...
Asante sana TANESCO kwa kukumbuka hili.Nami nasema hongereni kwa Kubaki kuwa wanaume rijali,wenye nguvu na uthabiti.
Hatujali midomo yenu mirefu Kama chuchunge kutwa kutusimanga Wanawake…hiyo poa tu tushazoea maana huenda kuna magumu tunawapitisha yanayoyofanya mtuone si watu wa kuaminika na...
Watafiti wanabashiri ifikapo mwaka 2035,Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo.
Utafiti huo uliofanywa na kituo cha utafiti cha Marekani cha Pew kinaonesha kuwa idadi ya Wakristo bado inakua lakini idadi jumla ya Waislamu inakua kwa kasi zaidi kutokana na kasi ya kuzaana...
Hizo Facts, zinaonyesha kuwa Mwaka 1999 dunia ilianza kuazimisha siku ya wanaume duniani. Lakini, miaka miwili tu baadae, 'wataalam' wakawa wanahangaika kutafuta siku maalum ya masuala ya Choo, wakaangalia Januari 1 hadi Disemba 31 wakaona ni tarehe Moja tu ndio inafaa, 19-Nov. Ambayo ni siku ya...
Katika maisha yangu yote na uzee huu sijawahi kitu Cha ajabu na Cha kpmbvu kama hiki
Sasa tunaosafiri huko duniani nchi zingine unaambiwa Lete your national identification card unatoa anaona lipicha la mtu ambaye sio anayemuangalia mbele yake..
Hii ni akili ama matope jamani watanzania...
Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
Mimi nisingekuwa na presha ya maisha
Ningetumia muda kucheza, kujifunza vitu vingine na ujuzi wa mtaani.
Wakati nasoma i thought masomo ndo the only thing that matters,
Ningejifunza mambo na mambo mengine pia
Chama Cha Wanaume Duniani chini ya mwenyekiti Habibi Ashraf Hakimi, tunapenda kumkaribisha mwanachama mpya kwa Kumpa kadi ya uanachamq ambaye ni Ndugu Bakayo Saka, hii ni baada ya kuzingatia masomo ambayo tumekua tukiyatoa kila uchwao ili kua salama dhidi ya wanawake maharamia wa kizazi hii...
Hii ni affirmation..
Mtake msitake, am the next big thing
Wacha nisiongee sana.
Ila ndio hivyo..
I'm gonna be knowned all over the world by 2040.
God, is King, he showed me the vision and am gonna make it happen.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.