duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mambo 5 muhimu ya kuishi nayo duniani ukiwa hai

  2. V

    Zaidi ya Asilimia 90 ya watu duniani ni machawa

    Zaidi ya Asilimia 90 ya watu ni machawa. Hii ni kwasababu wengi huishi kwa kuwasifia watu/makundi bila kujali mapungufu yao ili kujifaidisha na hii ndiyo maana ya uchawa. Asanteni
  3. Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu

    Hakuna kazi ngumu duniani kama kumwokoa mtu aliyekamatwa na uraibu Uraibu ni hatari sana kwenye maisha ya binadamu na unaweza kupelekea kupoteza maisha Kuna uraibu wa aina nyingi sana, kwa kufupisha nikuwa uraibu ni hali ya kutumia hisia mbaya au kitu kwa kupita kiwango Ni kazi ngumu sana...
  4. Wakatoliki ni wagumu sana duniani kote usiwachukulie kiwepesi wepesi wanajua mambo mengi sana.

    Nashangaa mtu anasema wakatoliki sijui wamekuwaje lakini in short hawa watu wamenyooka kama rula hawataki bla bla. Viongozi wakikatoliki.hata kama utawapa nchi waiongoze mtapiga hatua hadi mkashagaa, ndio maana wanajiamini kupita kiasi Labda blabla uzilete wewe na ukizileta kwao wanakupiga...
  5. J

    VIDEO: Tazama David Kafulila Akieleza Jinsi PPPs Inavyoweza Kuihami Tanzania Dhidi ya Migogoro[Crisis] za Kiuchumi Duniani

    Wasalaam Jf, Ukweli ni kwamba huyu jamaa anajua sana Uchumi. 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 PPP INAWEZAJE KUTULINDA DHIDI YA MISUKOSUKO YA UCHUMI WA DUNIA? Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, anasema, PPP Centre na mfumo mzima wa PPP vinalisaidiaje Taifa pale dunia inapokumbwa na misukosuko mikubwa...
  6. Y

    Nuru na Giza Duniani, na namna ya kuzifikia nguvu hizi!

    Salaam! Leo ni jumapili nyingine tena! Kwanza niwapongeze members wote wa JF ambao wana mchango chanya katika platform hii. Binafsi ninaamini kwa asilimia kubwa watu waliopo JF ni wamepevuka kiakili na wako na nia ya kujifunza vitu vipya kila siku. Breakdown; Nilianzisha maada last week...
  7. Malaysia ndio wazalishaji wakubwa zaidi wa condoms duniani

    Wanazalisha condoms bilioni tano kwa mwaka, katika kila condom tano ulizotumia au unazotumia mojawapo imetoka Malaysia.
  8. Majengo ya kipekee na ya kustaajabisha zaidi duniani.

    Jengo hilo linaitwa ArtScience Museum. Lipo Marina Bay, Singapore (Singapore), karibu na hoteli maarufu ya Marina Bay Sands. Jengo hili lina umbo la ua la lotus (ua la maji), na linatumika kama jumba la makumbusho linalounganisha sanaa, sayansi, teknolojia na ubunifu
  9. K

    DW News : Utafiti unaonyesha kuwa idadi ya Waislamu itazidi idadi ya Wakristo duniani ifikapo mwaka 2035

    Makadirio ya Kituo cha Utafiti cha Pew yanaonyesha kuwa kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52 ifikapo mwaka 2035. Watafiti wanasema tofauti katika viwango vya uzazi zinachangia mabadiliko hayo. Uislamu na Ukristo vinaongezeka kwa ukubwa, lakini idadi ya Waislamu inaongezeka...
  10. Kheri ya siku ya wanaume duniani especially wa Tanzania

    Asante sana TANESCO kwa kukumbuka hili.Nami nasema hongereni kwa Kubaki kuwa wanaume rijali,wenye nguvu na uthabiti. Hatujali midomo yenu mirefu Kama chuchunge kutwa kutusimanga Wanawake…hiyo poa tu tushazoea maana huenda kuna magumu tunawapitisha yanayoyofanya mtuone si watu wa kuaminika na...
  11. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Watafiti wanabashiri ifikapo mwaka 2035,Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo. Utafiti huo uliofanywa na kituo cha utafiti cha Marekani cha Pew kinaonesha kuwa idadi ya Wakristo bado inakua lakini idadi jumla ya Waislamu inakua kwa kasi zaidi kutokana na kasi ya kuzaana...
  12. T

    Jiji lisio na msikiti wala kanisa huwa linaitwaje huko duniani?

    Jiji lisio na msikiti wala kanisa huwa linaitwaje huko duniani?
  13. Funny observation: Siku ya Wanaume na Siku ya Choo Duniani😀

    Hizo Facts, zinaonyesha kuwa Mwaka 1999 dunia ilianza kuazimisha siku ya wanaume duniani. Lakini, miaka miwili tu baadae, 'wataalam' wakawa wanahangaika kutafuta siku maalum ya masuala ya Choo, wakaangalia Januari 1 hadi Disemba 31 wakaona ni tarehe Moja tu ndio inafaa, 19-Nov. Ambayo ni siku ya...
  14. Kituko Cha ajabu duniani: Kitambulisho Cha NIDA kua na picha ya mtu ambaye sio mwenye kitambulisho

    Katika maisha yangu yote na uzee huu sijawahi kitu Cha ajabu na Cha kpmbvu kama hiki Sasa tunaosafiri huko duniani nchi zingine unaambiwa Lete your national identification card unatoa anaona lipicha la mtu ambaye sio anayemuangalia mbele yake.. Hii ni akili ama matope jamani watanzania...
  15. Mwanzo NEW WORLD ORDER. Sasa inaanza. Hapa yapo Mataifa yenye Nguvu tu Duniani.

    Sasa wale ambao waliishia madarasa na hawakupata ujuzi wa hii lugha watanisamehe. https://www.instagram.com/reel/Df5OITgoP8E/?lqvp=NXZ0NjgzZTMwZGt0
  16. Ushirikiano wa China na Afrika watarajiwa kuleta muundo mpya wa uzalishaji wa viwanda duniani

    Gazeti la South China Morning Post la Singapore hivi karibuni lilitoa makala iliyoandikwa na Waziri Mkuu wa zamani wa Kyrgyzstan Djoomart Otorbaev, akibainisha kuwa uwekezaji wa China katika sekta ya utengenezaji barani Afrika unabadilisha uhusiano wa kiuchumi kati ya pande hizo mbili, kutoka...
  17. Leo ni siku ya Wanafunzi Duniani, Kama ungerudishwa shuleni leo, ni kosa gani usingelirudia tena?

    Mimi nisingekuwa na presha ya maisha Ningetumia muda kucheza, kujifunza vitu vingine na ujuzi wa mtaani. Wakati nasoma i thought masomo ndo the only thing that matters, Ningejifunza mambo na mambo mengine pia
  18. Tunamkaribisha member mpya Bakayo Saka katika chama Cha wanaume duniani

    Chama Cha Wanaume Duniani chini ya mwenyekiti Habibi Ashraf Hakimi, tunapenda kumkaribisha mwanachama mpya kwa Kumpa kadi ya uanachamq ambaye ni Ndugu Bakayo Saka, hii ni baada ya kuzingatia masomo ambayo tumekua tukiyatoa kila uchwao ili kua salama dhidi ya wanawake maharamia wa kizazi hii...
  19. Naona anayekuja kumrithi Diamond kwa kujulikana Tanzania na duniani ni mimi

    Hii ni affirmation.. Mtake msitake, am the next big thing Wacha nisiongee sana. Ila ndio hivyo.. I'm gonna be knowned all over the world by 2040. God, is King, he showed me the vision and am gonna make it happen.
  20. I

    Kazi za kuongopwa duniani!

    Ukipewa Bora utafute nchi ya kwenda uhamishoni . Nchi Kuwa na Zero Inflation
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…