dunia

  1. Nahitaji kampani Leo, nani yupo tutokee viwanja

    Niko bored, Nani yupo tayari tutoke,awe mwanamke mwenzangu au mwanaume ni sawa,hata tukiwa sita au kikundi ni sawa pesa ya bili chini ya laki mbili ninayo. Nahitaji sura mpya,Mawazo mapya na nijifunze vitu vipya ,nitatokea kinyerezi,kuelekea Mawasiliano Ubungo,hapo tutapanga tukutane...
  2. Tafrani kombe la dunia Marekani, mashabiki wageni walazimishwa kulipa tip 20% mighahawani na bar.

    Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
  3. TANZIA Prof. Pius Mbawala afariki dunia. Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo

    Kwakuwa hii sijaiona JF, nimeona niiweke for our records: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo na Ushirika na Mbunge wa Namtumbo, Prof.Pius Mbawala, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa familia, Prof. Mbawala...
  4. Shapeshifters: Watawala wa Kweli wa Dunia?

    SHAPESHIFTER Hawa ni watu wenye nguvu kubwa za kichawi. Inaelezwa kuwa hawa ndio watu wenye kuongoza dunia hii. Mataifa makubwa yote yanamilikiwa na binadamu wa aina hii binadamu ambao kidunia wanatajwa kama wafu lakini uhalisia wapo hai. Mfano ziliwahi kuvuja taarifa za ndani kuhusu maraisi...
  5. Uzito wa dunia yetu ni 6 septrilion kgs..

    Hivi walipimaje uzito huu,nikuulizeni chadomo maana nyie ndiyo huwa mnajua saaana kila kitu. (Tafakuri)
  6. Mtwara: Mwanafunzi afariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana

    Mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa kati ya miaka nane hadi kumi, mkazi wa Mtaa wa Lilungu katika Manispaa ya Mtwara Mikindani, amefariki dunia baada ya kunyongwa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea jioni ya Juni 21, 2026, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, mtoto huyo...
  7. Leo Ronaldo ataishangaza dunia

    Leo Ronaldo atafunga mabao 5 peke yake
  8. Tafuta pesa Kwa nguvu, dunia ni katili Kwa maskini

    Kwanza nianze kuipongeza serikali ya awamu ya sita Kwa kuimarisha amani na democrasia Dunia ya Leo identity kubwa ya mwanaume inatokana kiasi Gani Cha pesa unachomiliki/ inatokana na the way unavyotegemewa kwenye maamuzi yatakayohitaji pesa ......... Mambo Yale ya mwanaume busara hayapo kwenye...
  9. DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  10. Kutamani Dunia ifike mwisho, Nani mwingine aliwahi pitia hali hii?

    Habari, za muda huu ndugu zangu wana JF. Kwenye maisha, kuna mambo mengi tunapitia mazuri na mabaya. Naamini sio wote tumewahi pitia mambo magumu kiasi cha kutamani kufa au Dunia ifike mwisho kulingana na sittuation ya wakati huo. Binafsi nimewahi pitia vipindi viwili vingumu sana kwenye maisha...
  11. Picha: Huu ndio ujumbe wa Israel ya leo kwa Dunia

    Niaje waungwana Aisee kuna mambo mengine yanachekesha, na kushangaza sana. Hebu ngoja nikupe mfano halisi hapo chini 👇 Mfano mtu anatoka kwake huko katika wilaya nyingine na kuja kwako straight kwa lengo la kuja kukushambulia na kukuchomea nyumba yako. Kweli ukiwa ndani huna hili, wala lile...
  12. Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

    Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa. Afrika inarudishwa kwa wazungu tena. Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
  13. Japan wanaenda kuishangaza dunia Kwa kubeba world cup 2026...Huu ni utabiri wangu

    Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup. Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata...
  14. Taja mechi zako tano bora za kombe la dunia mpaka sasa hivi

    Kwaupande wangu hizi apa 1. Ivory coast vs Equador 2. Morroco vs Brazil 3. England vs Croatia 4. Korea vs Czech Republic 5. France vs Senegal
  15. Dunia ya wajinga, ulimwengu wa werevu

    Rasilimali, fursa, au mazingira yaliyopo yanaweza kutumiwa vibaya au kupuuzwa na watu wasio na maarifa (wajinga), lakini watu wenye akili na busara (werevu) huyatumia hayo hayo kujipatia mafanikio na faida.
  16. Kombe la Dunia 2026 Hatari sana. Huu uwanja unaogopesha kinyama.

    Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico. Hongera zao kwa kweli.
  17. Fainali ya Kombe la Dunia Mtibeli nimepata Kadi ya Mwaliko kutoka kwa binti Salher. Imekwisha! Hata siamini

    Kachezeni mnapochezaga! Sitaki salamu zenu za kichawi msije nipotezea ndege wangu. Mlifikiri nimekwama na maisha yangu yataishia hapahapa ndani. Hahaha! Hamtaweza na mmeshindwa kwa jina lile la maajabu. Oooh! Mtibeli usitoe siri zako kuna watu watakuloga safari utajifia. Thubutu! Kusema nasema...
  18. Wanauza kitimoto viwanjani kombe la dunia! Mpira ni zaidi ya dini.

    Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden! Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
  19. Mashindano makali zaidi kuliko ya kombe la dunia

    Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu. Ni mashindano kati ya mwili na roho. Mwili unatamani...
  20. Hili kombe la dunia linanichanganya kwa kweli?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…