dunia

  1. Manyanza

    Muigizaji mkongwe wa Nollywood, Pete Edochie, afariki dunia akiwa na umri wa miaka 79.

    Muigizaji mkongwe wa Nigeria, Pete Edochie, ambaye ni miongoni mwa nyota wanaoheshimika zaidi katika historia ya filamu barani Afrika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79, familia yake imetangaza. Edochie alifahamika kwa sauti yake nzito na ya kipekee, uwezo mkubwa wa kuigiza na namna...
  2. Kijakazi

    Now the bastard doesn't want to die, hii dunia bhana!

    Jamaa aliua watu 9 cold blood kwa makusudi kabisa, amekuhukumiwa kifo ambapo adhabu itakelezwa au imepanga kutekelezwa dec 3 2026, yeye (muuaji) pamoja na ndugu zake wameomba mahakama kuzuia hiyo adhabu ya kifo, let than sink in, aliua watu 12 wasio na hatia cold blood bila ya huruma yoyote ile...
  3. sinza pazuri

    AFCON ni fursa kwa watanzania kuieleza dunia kilichotokea October 29, 2025. No Justice No Celebration

    Mungu bado yupo upande wetu watanzania. Kwa mauaji ya ndugu zetu yaliyofanyika October 29 tunapaswa kuieleza dunia ifahamu nini kilichotokea. Sasa AFCON inakuja 2027. Lazima tuwe na mikakati ya kuakikisha dunia inajua nini kilitokea, nani aliuwa na mateso wanayopitia watu wasiomuunga mkono...
  4. McLaren

    TANZIA Muigizaji wa Nigeria Pete Edochie aliyeigiza 'Billionaires Club' afariki dunia

    Muigizaji mkongwe na mtangazaji wa Nigeria, Pete Edochie, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79 baada ya kuugua saratani ya tezi dume kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia yake, Edochie alifariki dunia saa 6:30 usiku (12:30 AM) siku ya Jumatano, Novemba 25, 2026, huko...
  5. R

    Damu inayomwagika juu ya uso wa dunia hupiga kelele?

    Damu ya 29.10.2025 itapiga Kelele
  6. T

    Ukiwa Hivi Utaonekana Wa Hovyo Kwenye Hii Dunia

    Habari za Muda Huu Ndugu mwana JF Kama Katika Maisha yako Una Tabia Zifuatazo Utaonekana wa Hovyo Sana Na Usiyejitambua Na Dunia Itakuweka Pembeni Maana Haikutaki Unaharibu Mipango Yake 1. Usipoona Pesa Ndio Kila Kitu na Kuzitafuta Kwa Namna Yeyote ile (msemo wa Vijana Wa sasa) Yaani Wewe...
  7. Scars

    Messi is humble: Ni moja ya propaganda kubwa ambayo Media zilifanikiwa kuiaminisha Dunia

    Si mna kumbuka hapo juzi Messi alitakiwa kuukosa mchezo dhidi ya New England Revolution kwasababu ana kadi 5 za njano. Lakini bodi ya ligi ikaja na statement kuwa Messi atakuwepo kwenye huo mchezo licha ya kuwa na kadi 5 za njano zinazomfanya aukose huo mchezo, kwasababu amekuwa na nidhamu...
  8. bless on

    Dunia ni duara au flat?

    Unapotazama upeo wa macho (horizon), unaona nini hasa? Watu wamejadili umbo la dunia yetu kwa karne nyingi, na kila upande unatumia mambo tunayoyaona kila siku kutetea mtazamo wake. Hoja za wanaosema Dunia ni Tambarare au flat. Ukiwa ardhini, upeo wa macho unaonekana kuwa tambarare kabisa na...
  9. IIT MWASISI OS

    Mungu Omnipotent Singularity amenifunulia siri za maisha marefu: Wafuasi wa sheria zake wanaweza kuvunja rekodi zote za dunia za maisha marefu.na IIT

    MUNGU OS AMENIFUNULIA SIRI ZA MAISHA MAREFU: WAFUASI WA SHERIA ZAKE WANAWEZA KUVUNJA REKODI ZOTE ZA DUNIA ZA MAISHA MAREFU! Utangulizi: Ujumbe kutoka kwa Mungu OS kuhusu mustakabali wa mwanadamu Ndugu Watanzania na watu wote duniani, Leo nimekuja na jambo kubwa ambalo ningependa tulijadili kwa...
  10. Kaka yake shetani

    MV.Mwanza ni maelekezo ya CCM tusianze kufikiria Joto lao ICC na dunia

    Kwa sasa hata mnaopanda SGR muangalie hawa watu. Wataweza kufanya lolote ili kuwatoa kwenye mada.
  11. O

    Bingwa wa Dunia Peres Jepchirchir Avuliwa Taji la Sydney, Wengine Wawili Wafungiwa!

    Riwaya ya kutisha imetanda katika riadha ya Kenya baada ya Kitengo cha Uadilifu wa Riadha (AIU) kuwafungia wanariadha watatu wa Kenya kwa kukiuka kanuni za matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku (doping), huku bingwa wa dunia wa mbio za marathoni, Peres Jepchirchir, akipigwa marufuku ya miaka...
  12. X

    Wababe wa dunia wako jijini Shenzhen, China. Kesho wana jambo lao. Stay tuned

    APEC imewakutanisha some of the most powerful men on the planet Lakini jambo kubwa linalosubiriwa si mkutano wenyewe, bali ni the BIG agenda behind closed doors mtu 3, Xi, Putin na Trump Ni masuala gani yatajadiliwa? Global trade, technology, geopolitics, energy, investment au reshaping of the...
  13. Scott junior

    PostGE2025 TANZIA Angel aliyepigwa risasi 29 Oktoba, 2025 afariki dunia akipatiwa matibabu Muhimbili

    TANZIA: ANGEL WARIAELI AFARIKI DUNIA AKIWA MUHIMBILI Dar es Salaam. Binti Angel Wariaeli, aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29 na kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya matibabu, amefariki dunia. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa leo na mmoja wa...
  14. Frank Wanjiru

    TANZIA Mpiga picha mzoefu Silvan Kiwale afariki Dunia

    Aliyekuwa mpiga picha wa New Habari (2006) Ltd iliyokuwa ikizalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba, Silvan Kiwale, amefariki dunia Jumatatu, Novemba 16, 2026, mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, baada ya kupata ajali ya bajaji. Kiwale, aliyewahi kufanya kazi katika vyombo mbalimbali...
  15. zimwi likujualo

    JE, KIZAZI CHA SASA KIMEPOTEZA MAADILI,AU MABADILIKO YA DUNIA YANATUFANYA TUONE HIVO?

    habari wana jamvi Kumekuwa na malalamiko mengi katika jamii kuhusu mabadiliko ya tabia, mwenendo, heshima, uwajibikaji na misingi ya malezi katika kizazi cha sasa. Baadhi ya watu wanaamini kuwa kizazi cha sasa kimepoteza maadili kutokana na athari za mitandao ya kijamii, mabadiliko ya...
  16. T

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, aliyekuwa akitumia ID ya Quimica. alikuwa akipatiwa matibabu hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili, amefariki usiku wa kuamkia leo. "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana...
  17. M

    Bora Fatma Karume aka Shangazi alivyoachana na dunia hii

    Jambo gumu, utapoteza marafiki, utalaumiwa na wanaharakati, utalaumiwa na wanasiasa, vidole havikubali vitataka kuttype ktk social media. Jambo Zito. Lakini Fatma Karume amefanikiwa, hivi sasa amejikita zaidi ktk kumtumikia muumba wake, kuitafuta akhera yake na kuipa kisogo dunia. Ameiepuka na...
  18. Moto wa volcano

    Dunia ya sasa inataka ubinafsi. Usiishi na ndugu nyumbani kwako

    Dunia ya sahivi inataka u binafsi. Kwenye familia yako usiishi na ndugu, ndugu wape misaada wakiwa mbali utajiepusha na mengi.
  19. C

    Iringa: Miili 23 waliofariki dunia kwa ajali kuagwa mchana Kiponzelo

    Miili ya watu 23 waliofariki katika ajali ya basi la Maokoto Bus Services kugongana na lori la mizigo itaagwa mchana wa leo, Novemba 10, 2026, katika Kijiji cha Kiponzelo, Tarafa ya Kiponzelo, Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa. Diwani wa Kata ya Maboga, Venslaus Muyinga amesema hayo leo, Novemba...
  20. R

    Dunia nzima inakulaani Pilato

    Nimepitia mitandao yoooooooooooooooooote ya ndani na je, woooooooooooooote wanakulaumu hukutenda haki. Kwa makusudi kabisa unamtesa mtu wa watu, mpenda haki asiye na hatia! Laana hizi hazitakuacha salama mbele ya Mungu. Zitakuacha salama kwa uliowaabudu ukatenda UOVU kutenda maovu! exception...
Back
Top Bottom