Da‘wah (Arabic: دعوة, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.
Vikosi vya usalama vya Israeli vilizuia majaribio mengi ya ulanguzi wa magendo kando ya mpaka wa Misri baada ya kugundua puto zilizobeba silaha na dawa za kulevya kuingia katika eneo la Israeli usiku kucha.
Vikosi kutoka Kikosi cha 80 cha IDF na kitengo cha siri cha Southern Mista'arvim...
Dawa za kuua wadudu zinazojulikana kama RUNGU zinatumika katika nyumba nyingi. Tunazitumia kuua mbu, mende na wadudu wengine. Lakini je, tunafahamu hatari zake?
Baadhi ya dawa hizi zina kemikali na gesi zinazoweza kuwaka moto. Zikitumiwa karibu na jiko la gesi, mshumaa au sigara, zinaweza...
Kujithamini mwenyewe ni msingi muhimu wa amani ya nafsi, maendeleo binafsi, na mahusiano yenye afya katika maisha ya kila siku.
Unapojipa thamani, unajenga uwezo wa kusimama imara na kufanya maamuzi sahihi bila kutegemea sifa za nje pekee.
* Kuongeza kujiamini: Unapojithamini, unaamini uwezo...
Kuna kero nimekutana nayo hapa Hospitali ya Mawenzi, kuna wizi wa dawa sana, unaandikiwa ukanunue dawa ukiweka kwenye kabati ya mgonjwa ukirudi mchana unakuta hazipo.
Mfano unanunua mabomba ya dawa dozi ya siku lakini mgonjwa atachomwa mara moja kisha wanakwambia zimeisha, hii ni mbaya sana...
Anonymous
Thread
dawa
hospitali
hospitali ya mawenzi
mawenzi
tabia
udhibiti
uongozi
wa dawa
wagonjwa
Sijui kama mimi ndiyo nimechelewa kugundua hili ila kumekuwa na tabia ya Wafanyabiashara au Wakulima wa matunda kuweka dawa ili tunda lionekane limeiva vizuri na kuvutia.
Leo nikiwa Chanika Nguvukazi (Dar es Salaam) nimenunua machungwa gengeni kwenye meza iliyojaa machungwa ambayo yote ni ya...
Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ?
Wateja/watumiaji wengi ?
Ni rahisi kufikika ?
Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ?
Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
Mimi napokkuwa napiga show bao langu la kwanza linawai sana na la pili linachelewa pia sana. Nilikuwa naona ni kawaida mpk wanawake tofauti wamekuwa wakisema mbona nawai sana na hawajapata raha yoyote hapo sasa mpaka kuanza lingine.
Je bao la kwanza ili nichelewe nahitaji tiba gani?
Kuna...
Polisi nchini Kenya wamewakamata raia watatu wa kigeni, Watanzania wawili na Mganda mmoja, kufuatia operesheni iliyofanikisha kupatikana kwa kilo 454 za dawa za kulevya zinazoshukiwa kuwa methamphetamine katika Kaunti ya Kwale.
Dawa hizo zinakadiriwa kuwa na thamani ya KSh3.6 bilioni katika soko...
Wizara ya Afya nchini Kenya imewaonya wananchi dhidi ya kutumia dawa ya cetirizine kwa lengo la kuboresha tendo la ndoa, kufuatia madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa dawa hiyo inaweza kupunguza unyevunyevu na kufanya uke kuwa mbana zaidi.
Akizungumza Jumatano, Novemba 4, 2026...
Mgonjwa wangu anasumbuliwa na tatizo la Saratani na kwa sasa yupo kwenye mzunguko wa matibabu ya Kemotherapy (Chemotherapy), Hospitali ya Taifa MUHIMBILI (MLOGANZILA).
Hivi karibuni tumeelezwa na wataalamu kuwa Dawa za Chemotherapy anazotakiwa kupata mgonjwa wangu hazipo/zimeisha hospitalini...
Anonymous
Thread
bima
bima ya nhif
dawa
kukosekana
malalamiko
nhif
saratani
Mama nimetazama tena zile video za “Kazi Yako” ya Tarh 29/10/2025 nikasema hadharani unaonekana upo Imara lakini nadhani ukibaki peke yako katika faragha zako bila shaka unailaani siku waliyokupa Urais.
Nimetazama zile video na nikashuhudiwa wazi wazi moyoni kwamba pengine EL NINO inayotangazwa...
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
Mahakama ya wilaya ,wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro ,imemhukumu kwenda jela miaka 30 Festo Richard Shirima baada ya kupatikana na hatia katika shitaka la kupatikana na dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa kilogramu 17
Mshitakiwa huyo alikamatwa Mei...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kikatiba katika jukumu zima la kuimarisha ulinzi na usalama wa Mali na maisha ya watanzania
Katika kipindi cha Septemba 2026 hadi Oktoba 14, 2026,jeshi hilo la polisi mkoani kilimanjaro liliwakamata na kuwafikisha...
Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu.
Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu.
Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu...
Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua.
Aidha, watumishi hao wanawajibu wagonjwa kwa lugha isiyo ya staha wanapouliza kuhusu upatikanaji wa dawa, wakiwaeleza kuwa...
Anonymous
Thread
afya
dawa
dodoma
kituo
kituo cha afya
kongwa
mabegi
uozo
wagonjwa
wake
watumishi
wilaya
wilaya ya kongwa
Video inayosambaa mitandaoni inamuonesha mshukiwa aliyekamatwa akieleza kwa maafisa wa DCI jinsi yeye na wenzake wanavyowalaghai wananchi wasio na habari kuhusu dawa za kulevya na kisha kuwaibia.
Katika video hiyo, mshukiwa anaonekana akiwa amefungwa pingu huku akionyesha kifurushi kinachodaiwa...
Salamu
Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na soda ya tonic.
Je kuna madhara yoyote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.