Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Timu ya mpira wa kikapu ya Dar City imefanikiwa kutinga fainali ya mashindano ya Road to BAL 2027, Division East Elite 16, baada ya kuifunga Munali Suns ya Zambia kwa vikapu 102-99 katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa jijini Nairobi, Kenya.
Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa, huku timu...
Habari za muda huu wana JamiiForums,
Mimi ni kijana Mtanzania, mwalimu kitaaluma(Professional Teacher) ambaye kwa sasa ninaendelea na masomo ya shahada ya kwanza (sayansi ya kompyuta) hapa Dar es Salaam. Kutokana na majukumu ya kimaisha na masomo, natafuta kazi ya part-time (muda wa usiku na...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, amesema hatashirikiana tena na Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam, akipinga hatua ya kuvunjwa kwa vibanda vya wajasiriamali vilivyokuwa vimejengwa eneo la Mbezi kwa Msuguri, vilivyobomolewa usiku wa kuamkia leo...
Kuna nadharia Moja imetembea Sana kwa wakazi wa dar kuwa watu wa mikoani Huwa tunawaonea wivu wakazi wa dar, na huku mikoani ni washamba tu, hii nazaria inashangaza Sana na inawezekana kweli ilikuwa inaishi huko nyuma , Kwa Sasa ni mtazamo wa kijinga, hivi Kwa maendeleo ya sayansi na teknolojia...
https://www.youtube.com/live/eYm_4HmbPWE
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 27, 2026.
https://www.youtube.com/live/RHxzTxFUdNE
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto Mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe, JNICC jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2026.
Jambo muhimu ni kuhakikisha unaandaa mapema nyaraka zote zinazohitajika kwa ajili ya usafirishaji na uingizaji wa gari lako.
Nyaraka zilizokamilika na kupangwa vizuri zitakusaidia kuelewa vizuri mchakato wa ushuru na forodha, pamoja na kupunguza ucheleweshaji unaoweza kuepukika.
AGENT MALCOLM...
Dar City ya Tanzania inatarajiwa kukutana na Namuwongo Blazers ya Uganda katika mchezo muhimu wa Kundi B wa mashindano ya Road to BAL 2027 Elite 16. Mchezo huo umepangwa kuanza saa 15:00 alasiri katika uwanja wa Kasarani Indoor Arena jijini Nairobi.
Dar City inaingia katika mchezo huo ikiwa na...
Timu ya Mpira wa kikapu Tanzania Dar City imeanza kwa kishindo katika mashindano ya Road to BAL, hatua ya Elite 16, baada ya kuibuka na ushindi mnono wa pointi 96-76 dhidi ya Ferroviario da Beira ya Msumbiji. Mchezo huo umechezwa katika ukumbi wa Safaricom Indoor Arena jijini Nairobi, Kenya...
Mimi ni msabato lakini Leo nawapongeza Wakatoliki
Kanisa moja Takatifu la Mitume
Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam limekusanya jumla ya Shilingi bilioni 6.15 (TSh 6,154,464,705.55) katika kilele cha mchango wa Misa ya Mavuno (Tegemeza Jimbo) kilichofanyika leo Jumapili, Novemba 22, 2026...
NATAFUTA BAJAJI YA HESABU – DAR ES SALAAM (DEREVA MWAMINIFU NA MAKINI)
Habari wana-JamiiForums,
Ninaomba mwenye bajaji iliyo katika hali nzuri ya kiufundi na anahitaji dereva wa hesabu jijini Dar es Salaam, tuwasiliane ili tuweze kufanya kazi kwa uaminifu number 0621810992
Habari za wakati huu na samahani ,nilikuwa naomba kama naweza pata kazi ambayo itanisaidia kwa namna moja ama nyingine
kikubwa iwe ya halali nipo dar es saam na pia nina uzoefu wa kufanya kazi maabara na kiwandani elimu yangu ni degree .msaada🙏🏻🙏🏻tafadhali
Namba yangu ni 0798449559
Unahitaji kompyuta kwa ajili ya kazi zako kama library, ofisini, video editing, engineering, architecture na n.k. Njoo ujipatie PC desktops na laptops kwa bajeti yako, kwa mawasiliano nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
Kwa mahitaji ya kompyuta laptops na desktops njoo ujipatie kwetu kwa hitaji lako, nitajie PC unataka ya kazi gani nikupe bei na specs (sifa) za PC unayotakiwa kuwa nayo, nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
Kama unahitaji gaming PC na workstations za custom build yaani unawekewa hardware unazotaka kama RAM, HDD au SSD , CPU kulingana na mahitaji yako...kwa desktops Computer, pia kwa laptops zipo aina zote za gaming, professional na mobile workstation zenye gpu ya NVIDIA graphics card... Njoo na...
Explore the latest 518 Jobs in dar-es-salaam, November 2026
Apply For the 518 jobs Found in dar-es-salaam on this November 2026.
Explore various jobs from various companies. Herocean Enterprises (T) Ltd, United Bank for Africa (UBA) Tanzania, As Recruit Solutions, LGV Real Estate Consultants...
Apartment For Sale in Dar Apartments (Opp Dawasco) at Upanga.
-It's 222 SQM (4-bedroom Duplex).
-Lower Floor - 1 ROOM + 1 Bathroom (Shared).
-Upper Floor - 3 Rooms all en-suite.
-Higher floor (9th/10th).
Asking price $260,000 NET (Slightly negotiable).
Unit title available.
Service charge TZS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.