chuo

  1. M

    KERO Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
  2. A

    KERO Chuo cha Mipango Mwanza hawaja-submit matokeo yangu ya Diploma One

    Mimi ni mwanfunzi wa chuo cha mipango cumpus ya mwanza nimemaliza diploma two mwaka huu nimeshindwa kuendelea na maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa ajili ya kujiunga na degree sababu NACTVET hawaoni matokeo yangu ya diploma one. Hali hiyo imefanya nimekosa AVN na mpka sasa sijui hatma yangu ya...
  3. A

    KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

    Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au ABSc. Unafuatilia zaidi ya miezi mitano wanakuambia wanafanyia kazi, mara ingia ofisi fulani wa...
  4. Wapi chuo cha teolojia cha walokole

    Kwa uchunguzi wangu nimegundua kuna vyuo vinavyofundisha teolojia kwa madhehebu ya kiluteri mfano kiko Makumira Arusha. Wakatoliki Kipalapala n.k. Sijawahi sikia chuo cha teolojia cha walokole. Hawa jamaa wanapiga kelele sana ilimradi mtu abarikiwe kujua kuongea. Mbona YESU wakati analeta...
  5. A

    Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  6. W

    Baadhi ya Wanafunzi katika Chuo cha SAUT wapata wasiwasi baada ya matokeo yao kutopandishwa na Wahadhiri

    Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA). Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
  7. Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

    Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara. Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi. Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
  8. Chuo Kikuu cha Harvest Mission chamtunuku PhD Mchungaji Mstaafu Samwel Mwahalende

    MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii. Akizungumza muda...
  9. D

    Msaada wa Ajira: Ninaomba Connection za Kazi

    Habari, naomba kutanguliza samahani. Nilikuwa naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye connection ya kazi. Naomba msaada, wakuu. Nina umri wa miaka 23 na nina elimu ya chuo kikuu.
  10. A

    KERO Chuo cha Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka tangu tulipe fedha ya bima mwaka 2023 hadi mwaka huu tunamaliza hatujapata bima

    Mimi ni mhitimu wa Diploma katika chuo cha Ukutubi na Uhifadhi nyaraka School of Library and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Dar es Salaam, chini ya Maktaba ya Taifa. Tangu tulipoanza masomo ya Certificate mwaka 2023, tulilipa fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini hadi leo...
  11. Ndoa ni chuo

    Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza. Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana. HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA...
  12. A

    Km kuna wafanyakazi wananyanyaswa ni sekta binafsi na serikali imewatelekeza! Mfano VC wa Chuo Kikuu Makumira ni mtu katili, mnyanyasaji, mbaguzi

    Wafanyakazi wa taasisi binafsi ni km watoto yatima tu. Anzia utaratibu wa mifuko ya hifadhi za jamii(NSSF) wao wanakatwa 10% mwajiri anachangia 10%, PSSSF wafanyakazi wanakatwa 5% mwajiri(serikali) anachangia 15%. Siku ya mafao mwajiriwa wa sekta binafsi anapewa 35% ya mkupuo wakati wa serikali...
  13. CHUO GANI RASMI KWA SASA KINATOA FANI YA UFUNDI WA PHOTOCOPI NA PRINTA

    Wale wajuvi wa mambo naomba msaada kama kuna chuo rasmi kama ilivyo kwa fani zingine zinazotolewa VETA.
  14. Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

    Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
  15. M

    KERO Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) kinachelewa kupitisha matokeo ya Level 6 kwenye mfumo wa NACTVET

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha. Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026, lakini hadi sasa chuo hakijayawasilisha NACTVET ili tuweze kupata AVN Number. Namba hiyo ni muhimu kwa...
  16. R

    Profesa aliyejiuzulu chuo cha Cambridge, Jason Arday akutwa amefariki ndani

    Professor wa chuo cha Cambridge aliyejiuzulu wiki iliyopita baada ya kukabiliwa na tuhuma za udanganyifu wa kitaaluma (plagiarism) pamoja na kuandamwa na vyombo vya habari amekutwa amefariki dunia Siku ya jana Agosti 14, 2026. Jason Arday, ambaye akiwa na umri wa miaka 37 mnamo mwaka 2023...
  17. A

    KERO VETA Mbeya kuna shida gani? Tumemaliza mafunzo ila mchakato wa kukamilisha mafunzo unasuasua

    Mimi ni mmoja wa waathirika wa ukosefu wa ajira rasmi serikalini tangu nilipohitimu chuo miaka 10 iliyopita. Kutokana na hali hiyo, nilijiongeza kwa kujifunza taaluma nyingine yenye masharti tofauti na taaluma yangu ya awali ili niweze kujipatia kipato. Katika kutekeleza majukumu yangu katika...
  18. Mwaka wa masomo 2025-2026 nilipata Udahili Open University lakini Sikusoma-Je Naweza Kuomba Chuo Kingine Mwaka Huu?

    Hili jukwaa la Elimu ni moja ya jukwaa ambalo wasomaji wake ni wachache sana ila naomba kwa wale watakao pata nafasi ya kuona huu uzi naombeni msaada wenu. Naomba msaada juu ya hili jambo, Mwaka jana nilipata udahili open university na nikafanya registration ila kwa changamoto zilizo nje ya...
  19. Changamoto ya malipo ya Udahili kutosomeka Chuo Kikuu UDOM

    Habari Tangu Tarehe 9 tumelipia malipo ya serikali kutoka NMB kwenda kwenye control number UDOM NMB wamerudisha meseji malipo yamepokelewa lakini kwenye account ya KUOMBA CHUO UDOM hayajafika. Tumepiga namba za simu za UDOM SUPPORT 0752811050, 0734986486, 0752550837, 0734986490 na 0752994657...
  20. Ni kozi gani ukimuona mtu anasoma chuo unabaki unasikitika?

    Wakuu, Kuna kipindi Nilikuwa nataka kusoma kozi ya Basic Records & Archives Management. Wiki chache kabla ya ku-apply nikakutana na mjomba angu mmoja kasoma soma kidogo. Nikamuelezea nilichokuwa nataka kusoma Badala ya kunipa support akainama akaniuliza "Kwa jinsi internet inavyoshika kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…