chuo

  1. Msaada juu ya chuo kikuu cha ardhi

    Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo. Wahusika tunaomba mtusaidie.
  2. Hivi Tanzania au Afrika Mashariki kuna chuo kinafundisha masuala ya teknolojia ya nyuklia?

    Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
  3. K

    Ipi bora kati ya Diploma ya Sheria ya Chuo cha LUSHOTO na Diploma ya Biashara CBE Dodoma?

    Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
  4. Unajiunga na chuo cha afya? Fahamu mambo 5 ya kuzingatia wakati unanunua vifaa-tiba kwa ajili ya mafunzo yako!

    Mimi ni Dr. Adinan Juma, daktari na mkufunzi wa vyuo vya Afya mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Nimekuwa akifundisha wanafunzi wa level za Diploma mpaka PhD. Leo nataka nikupe dondoo 5 muhimu zitakazo kuwezesha kununua vifaatiba bora kwa mafunzo yako. Ushuarui huu ni kutokana na uzoefu...
  5. U

    Mkuu wa chuo DIT unatambua huu unyanyasaji?

    Pamekuwepo kilio cha mda mrefu sana ambacho hakijawahi tafutiwa ufumbuzi juu ya waalimu wa part-time kunyanyaswa kwenye malipo na si mara moja au mbili malamalamiko yalisharipotiwa. Tunasema ni manyanyaso kwa sababu kila semester yanajirudia. Licha ya kujaza claim kila mwezi lakini bado malipo...
  6. Chuo cha Sokoine/Mzumbe mnaacha division 1&2 mnapokea division gani? Ama kuna kifurushi kinatakiwa?

    Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa. Je, mnachukua 3&4? Kama kuna malipo watoto waingie semeni please. Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu mnawaambia wa apply upya aisee mnatupeleka wapi?
  7. Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  8. Amechaguliwa MD UDOM na UDSM aende chuo gani?

    Habari za mida wakuu, Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
  9. Naomba msaada jinsi ya ku-confirm chuo

    Samahan wakuu, Ningependa kujua unawezaj ku-confirm kuwa unaenda chuo fulani kama umechaguliwa zaid ya chuo kimoja.
  10. Chuo cha TIA - Wataalam wa TEHAMA mmelala?

    Wakuu, Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa! Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome wanakupa warning. "Your connection is not private Attackers might be trying to steal your...
  11. Wapenzi walioanzia Chuoni ndoa zao zinadumu sana

    Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia. Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana. Na Ndoa nyingi za wapenzi walioanzia chuo zilidumu sana.
  12. Aende chuo na kozi gani kati ya hizi?

    Habari za leo wakuu, Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo. 1. IFM - Bachelor of Accounting 2. TIA - Bachelor of Accountancy 3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance Je, aende chuo na kozi gani kati hivi.
  13. Maumivu Yasiyo kwisha (Endless Pain)

    MAUMIVU YASIYO KWISHA(ENDLESS PAIN)...!! . Sehemu ya kwanza. . Mwaka 2016 ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingia chuoni, ilikua katika chuo cha kimataifa cha Kampala. Naikumbuka siku yangu ya kwanza nilikua naonekana mnyonge sana, hasa kutokana na ugeni wangu na kila mmoja ndani ya darasa...
  14. P

    Ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima IAE

    Ninaomba msaada juu ya ubora wa chuo Cha taasisi ya elimu ya watu wazima-IAE cha DSM
  15. L

    Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Habari zenu wakuu, Kuna kijana ana matokeo kama ifuatavyo. Diploma in Clinical Medicine GPA ni 3.9 kahitimu 2015. O' level ana:- B/Maths - A, Physics - B, Chemistry -B, Biology - B na English - C. Kaomba vyuo vifuatavyo:- SUZA- MD, UDOM- MD, UDSM- MD, MUHAS- MD, KCMUCo- MD na CUHAS- Bugando -...
  16. Wanafunzi wa Chuo Kikuu Kenya kurusha chombo anga za juu

    Mambo yanazidi kunoga kwenye nchi hii.... The KU students are in the final steps of their project before launching their satellite to space this August. Their launch plan received a boost from the Kenya Space Agency which offered them a Ksh1 million grant for the project. This is after the...
  17. SoC01 Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

    Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
  18. Anaomba ushauri kuhusu chuo cha Uandishi wa Habari

    Wakuu heshima yenu, Kuna dogo ana ndoto ya kuwa mwandishi wa habari na muaandaji wa vipindi vya TV na redio. Anaomba kuelekezwa chuo kizuri cha taaluma hiyo kwa ngazi ya diploma kiwe cha serikali au cha binafsi ili aweze kutimiza ndoto yake. Natanguliza shukrani
  19. M

    Msaada: Napataje AVN na ikiwa nilishawahi unda account lakini taarifa zake nilipoteza?

    Jamani msaada napataje AVN ikiwa nimesahau username na password nilizizitumiaga pindi najisajiri.
  20. Ufaulu wa Div 2.11 PCM kwa DDC, naweza kupata chuo cha serikali kwa engineering?

    Msaada wakuu, Naweza pata MUST, UDOM, n.k Kwa civil au electrical engineer kwa ufaulu huo? Je, naweza soma kozi ipi nzuri nyingine?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…