chuo

  1. Profesa Ali Tabibu aeleza mabadiliko na mahusiano ya Kitaaluma na Tanzania katika mazungumzo na balozi Yakubu

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amefanya mazungumzo na Professa Ali Tabibu Ibouroi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Comoro alipomtembelea katika makao makuu ya Chuo hicho. Prof. Ibouroi alimweleza Balozi Yakubu kuwa Chuo hicho kimeanzishwa miaka 20 iliyopita na ndio chuo kikuu pekee...
  2. Nilichokiona kwene mtihani wa Online? Sijawai kiona sehemu yeyote ile tangu nimalize chuo

    Wakuu,,, Naishia hapa
  3. Nilimsomesha chuo akaniacha na kwenda kuolewa mke wa pili

    Nilimsomesha CHUO akaniacha na Kwenda kuolewa MKE wapili! Nilihangaika mpaka nikamlipia ada. Kipindi hicho, mimi nilikuwa nimemaliza diploma, yeye alikuwa anasoma digrii. Katikati ya masomo, baba yake aliyekuwa anamsomesha alifariki, hivyo kama mwanaume, kwa kuwa yeye hakuwa ameanza kufanya...
  4. P

    Nawezaje kusitisha Udahili wa chuo?

    Niambieni namna ya kufnya kama chuo kimekuchagua kimoja alafu kikajicomfirm chenyewe na wewe hukitaki
  5. Inawezekana mtu kuhama chuo (campus) uliyopangiwa?

    Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku.. Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam akataka kuhamia TIA campus ya mbeya? na kama inawezekana anatakiwa kufuata utaratibu upi?
  6. Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25

    Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
  7. A

    KERO Chuo cha CBE Dar es Salaam hakajapeleka matokeo yangu NACTEVET ili niombe AVN

    Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree. Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni...
  8. E

    Je, kati ya Chuo cha MUST na Arusha Technical ni kipi chuo bora kwa masomo ya Comouter

    Je, kati ya MUST (Mbeya University of science and technology) na Arusha Technical ni kipi chuo bora ambacho unamshauri mdogo wako asome kwa masomo ya Computer?
  9. L

    Azam wana timu nzuri, wana wachezaji wazuri na jana kaondolewa kwenye michuano

    Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
  10. Chuo gani huwezi pendekeza mdogo wako aende hapo?

    Oya bongo kuna vyuo vingi kwa level ya degree, lakini je ni chuo kipi huwezi kupendekeza mdogo wako eande akasome hapo? Sababu ni nini,?
  11. Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

    Wakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? 🤣
  12. Mbivu na Mbichi za kuzalishwa ukiwa bado ni Mwanafunzi wa Chuo

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake. Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto zao. Lakini Ndoto hizo hukwamishwa na vitu vingi hasa kwa wale...
  13. Hivi uki disco chuo ukaomba sehemu nyingine unaweza kupata na mkopo pia?

    Habari za mda huu wakuu Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
  14. Hiki Chuo kinafundisha nini kwa hii ada

    Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika https://www.ndctz.go.tz/publications/joining-instruction
  15. Haki kisha kabla mtoto wako hajafika chuo wamefanya hili

    Hakikisha Angalau amesafiri nje ya nchi Angalau nchi mbili. Elimu matembezi ( exposure) ndio elimu kubwa kuliko elimu ya chuo. Vyuo sasa ni vyanzo vya mapato vya wamiliki sio vyanzo vya elimu. Ndio maana bado shahada na stashshada za elimu Zina Endelea kutolewa wakati kunamafuriko ya walimu...
  16. Maisha ya Chuo na Kujitolea

    Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ni Moja kati ya Vyuo nchini Tanzania ambacho unaweza kusoma na kujitolea kufanya kazi pia. Kwa wale waliosoma UDSM-SJMC watakuwa wananielewa kuwa kutokana na ile Televisheni,Radio na Gazeti wanafunzi wanaojitolea kufanya kazi hapo huwa wanapata kipato...
  17. Ombi la ushauri kuhusu fani na chuo kinachofaa

    Salam WanaJF! Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters Degree. Hata hivyo nina Interest na fani mbili;- 1.Masters of Science in Project Planning and...
  18. Benki yabariki wizi fedha za chuo cha Kanisa la Biblia Moshi

    Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha. Kundi hilo kwa kumtumia...
  19. Waliomaliza chuo 23/24 wakutane hapa.

    Wakuu, kama umemaliza chuo karibu hapa, tupeane updates na namna ya kuanza maisha mapya mtaani.
  20. C

    Nimechaguliwa chuo nisichokipenda

    Habarii....... Nilifanya application kupitia nacte sasa nimechaguliwa chuo nisichokipenda na ada yake Iko juu tofauti na kwenye guidebook Sasa Nikawa nataka wanifute ili niende chuo kingine affordable. Mara ya kwanza wamenizungusha sana ila sasa hivi baada ya kuwakazia wananiambia niwatumie code...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…