chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. SI KWELI Rasmi Freeman Mbowe ametimkia zake Chama cha mapinduzi (CCM)

    Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwepo taarifa inayodai kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amejiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chapisho hilo linadai: “Rasmi Freeman Mbowe ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).” Chapisho lina ujumbe ufuatao:Kwa muda mrefu...
  2. Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  3. Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  4. Ile dhana kuwa CHADEMA ni chama cha waChaga na watu wa Kaskazini imetoweka. Kimekubalika kama kama chama cha Watanganyika

    Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
  5. Za ndani kabisaa. Kuna mapandikizi ndani ya Chadema yametumwa hivi karibuni kukiharibu chama. Yanajisahau hii sio Chadema ya Mbowe

    Yanatumia mbinu za kizamamani kama enzi zile za Nazi ya ujerumani. Kurekodi na kutuma taatifa huko CCM. Yanajifanya ni mamtu matiifu kwa Chadema lakini sio kweli. Soon yataaibika maana hii sio ile Chadema ya Mbowe.
  6. Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  7. Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
  8. Hakuna CCM chama cha siasa bali CCM dola

    Kwa Tanzania ya leo, ni vigumu tena kuzungumzia CCM kama chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine kwa mazingira sawa. Kinachojitokeza mbele ya macho ya Watanzania ni mfumo ambao CCM imejikita ndani ya dola, inalindwa na dola na inatumia nguvu ya dola kulinda utawala wake. Hili si suala...
  9. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  10. Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  11. Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  12. Kama Makamu wa Rais anaweza kunyamazishwa na wazee wa chama wasiozidi 5 na most of them wazanzibari kuna nchi hapo?

    Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
  13. Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

    Je, watajiunga ADA-TADEA, SAU, CHAUMMA, AFP, CHAUSTA, LND, DP, UMD, D.MAKINI, TLP, Nccr-Mageuzi, NRA, ACT-Wazalendo, ADC, CCK, UPDP, CCM, JAHAZI Asilia, CUF, au PPT Maendeleo? Watasubiri kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa? Na je, wewe unaechangia hoja hii mahususi, ikiwa ni mwana chama wa...
  14. Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini. Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
  15. T

    Ni kwa nn chadema wasibadili katiba ili mwaka wa uchaguzi wa chama usiwe mwaka uleule wa uchaguzi wa nchi?

    Uchaguzi ndani ya chama ni kazi ngumu sana na inayohusisha kutofautiana na hata kuumizana wakati mwingine bila kukusudia Ninadhani ni busara chama kitafute mwaka usiokuwa karibu na uchaguzi mkuu wa nchi
  16. Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  17. Huwezi kuwapa dola chama kinachoendeshwa na rimoti za Instagram

    Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu. Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
  18. Mrudishieni Mbowe Chama Chake

    Enyi wakaidi, mrudishieni Mbowe Chama chake Msidhani aliokota CHADEMA chini ya mwembe Mtachagua moja kurudisha au kuendelea kusalitiwa Maafa yanayowapata sio ya kutengenezewa bali ni laana na machozi ya Mbowe Mbowe hakutaka kung'ang'ania CHADEMA bali alitaka kujenga msingi imara ndipo...
  19. CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe

    Yaani kama mnataka mpate nafuu ya siasa, basi saidia hawa jamaa waanzilishi wa chama cha siasa cha CHADEMA, saidieni chama cha Siasa cha The Independent People's Party (IPP) kisajiliwe. Mtanishukuru baadaye. CUF walisaidia ACT Wazalendo kusajiliwa. Msikae kizembe sana. Kumbuka msajili...
  20. Toa mbinu za kukiua Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Watanzania wamebobea kutembea na saikolojia ya kuua Taasisi mbalimbali? Ukiwa kama mtanzania mzalendo Toa mbinu na mikakati ya kuua chama cha CHADEMA kama Watanzania walivyoua VIWANDA... Lengo kikawe chama kikuu cha Brifucase
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…