caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. M

    CAF confederation CUP 2020-2021

    Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?
  2. Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

    Sasa ni rasmi mpinzani wa Simba katika robo fainali ya CAF Champions League ni lazima awe mmoja kati ya timu hizi tatu; CR Belouizdad ya Algeria, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini au MC Alger ya Algeria pia. Hii ni baada ya mechi za makundi yote manne kumalizika leo na timu hizo kushika nafasi za...
  3. N

    CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74
  4. CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

    Habari ndiyo hiyo
  5. CAF yamtaja afisa usalama mechi ya Simba Vs AS Vita

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo) utakaochezwa Aprili 3, 2021 saa 10;00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Tanzania...
  6. CAF Team of the Week, Luis Miqsone na Zimbwe Jr ndani

    Mnyama Konde Boy na Zimbwe Jr
  7. Kuhusu kumsema mbovu Metacha Dkt. Msolla adai simu yake ilidukuliwa

    Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko. Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na Mwenyekiti Dr. Msolla kumchana Metacha kwamba anawahujumu akiwa langoni. Habari zimeendelea kujili jioni ya...
  8. CAF yafuta michuano ya Afcon U-17

    Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limefuta mashindano ya fainali za Afcon kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 Mashindano hayo ambayo yalikuwa yafanyikie Morocco yalitarajiwa kuanza Machi 13 Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania vijana chini ya miaka 17 tayari kipo Morocco na...
  9. N

    Ranks za CAF March 2021: Namungo ya 59, Yanga 74, Simba 18

    Kings of Tanzania na East africa tume slip nafasi moja mwezi uliopita tulikuwa namba 17 ila haina shida sana tunaingia robo fainali hadi nusu tutaruka hadi nafasi ya 13 Kwa kifupi ni kwamba kwa East Africa (1)Simba (2)Gore mahia (3)KCCA (4)Rayon (5)Namungo (6)Utopolo fc
  10. Al Merrekh 0-0 Simba | Al Hilal Stadium | CAF

    El Merreikh leo wanaangazia kujaribu kurudisha tumaini baada ya kupoteza michezo yake miwili ya kwanza ikiwemo mchezo wa nyumbani. Simba ikiwa imeshinda michezo yake miwili ya kwanza na kuongoza kundi, leo inataka kuweka mguu mmoja kuelekea kufuzu hatua ya makundi kwa kuifunga El Merrikh. Kuwa...
  11. R

    CAF Champion league goal of the week

    Hili ndilo lililochaguliwa goli bora la wiki.
  12. R

    Simba yatoa wachezaji 2 kikosi cha wiki CAF Champions League

    Joshua Onyango na Konde boy ni miongoni mwa wachezaji wawili waliochaguliwa kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league wakiendeleza pale alipoachia Lwanga.
  13. Simba Sc ndiyo kinara wa points katika makundi yote CAF Champions

    Kama hujui basi jua. Timu kigogo Africa Simba ndio kinara wao. Habari za Simba Sc zimezagaa dunia nzima. Kwa hiyo sina haja ya kueleza saaaaana. Kifupi ni kwamba kuna Wababe halafu kuna Mbabe
  14. Jicho la tatu: Michuano ya CAF itavurugika? Kaizer Chiefs nayo yapigwa stop kuingia Morroco

    Hii ni kwa sababu CAF yenyewe haijajipanga kabisa kuhusu Ugonjwa wa Corona. Ikumbukwe kwamba kila nchi ina sera yake kuhusu namna ya kujilinda na Corona, wengine wanapiga nyungu za malimao na Tangawizi na wengine wanafuata muongozo wa WHO. Baadhi ya nchi haziruhusu kabisa wageni, huku nyingine...
  15. Janga la Corona : CAF yaifuta Mechi ya Namungo huko Angola

    Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia soka barani Africa
  16. Nini Simba ifanye kuvuka group stage ya CAF CL

    Ijumaa hii Simba ataanza kampeni yake ya kutinga robo fainali ya CAF CL kwa kumenyana na AS Vita Club ya DRC katika uwanja wa mashujaa pale Kinshasa. Pambano la mwisho uwanjani hapo alipoteza kwa 5–0 lakini mambo mengi yamebadilika katika vikosi vya timu zote mbili. Vita Club waliuza wachezaji...
  17. N

    Elimu jinsi CAF inavyo rank teams bora Afrika

    INGIA kwenye hii page soma kwa makini fatilia kuanzia 2017 utaona simba ilipotoka na inapokwenda. CAF 5-Year Ranking - Wikipedia. Kwa issue ya sasa na points zilivyo tafadhali angalia mwenyewe kama hujaridhika ongea na Mwakalebela umpe hela aka file malalamiko CAS au ongea na waandaaji wa kombe...
  18. Kwa mujibu wa kanuni, Chikwende hatocheza mechi yoyote CAF group stage akiwa na Simba

    Inasikitisha Simba tumesajili mchezaji mwenye kiwango kizuri, uzoefu wa kutosha katika mashindano ya kimataifa ngazi ya klabu lakini hatoweza kuichezea Simba katika hatua ya CAF group stage (16 round) Hii ni kutokana na kanuni ya CAF kwamba timu yoyote ikifuzu kuingia group stage basi...
  19. INAUZWA Jipatie pikipiki kwa bei poa

    PIKIPIKI BOXER 150 namba CAF BEI: 1,700,000 Tshs Pikipiki ina full document Engine safi. Haina tatizo wala mgogoro. Keko Dar es salaam. Call0744033555
  20. CAF Confederation Cup: Namungo kumenyana na Primeiro de Agosto

    Namungo FC watakutana uso kwa uso na Primeiro de Agosto ya Angola katika hatua ya mtoano ya mashindano ya Kombe la shirikisho barani Afrika. Timu hiyo ya Ligi Kuu ya Tanzania ambayo inacheza mara ya kwanza katika hatua hii, itacheza ugenini kabla ya mechi ya nyumbani ambapo mchezo wa kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…