caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. C

    CAF yampa Arajiga ngoma ya CAFCC

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limemteua mwamuzi raia wa Tanzania, Ahmed Arajiga kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika itakayoikutanisha USM Alger ya Algeria dhidi ya AS Real de Bamako ya Mali. Mechi hiyo ya kundi D, itakayopigwa Novemba 29, 2026...
  2. Chizi Maarifa

    Kama mnataka kuchukua Ubingwa na kufika mbali CAF. Mikia tafuteni Kipa. Mpaka sasa hamna kipa

    Nakuambia ukiweza kupiga shots 5 una target langoni mwa mkia huwezi kosa goli 2. Kipa hawana. Lile Tanja ni pazia tu hamna kitu. Hakuna saves za maana ambazo amewahi fanya za kuokoa team. Ndo maana anakosa clean sheets. Na mabeki wa Mikia nao wana mzaha sana kule nyuma jana kama zingeongezwa dk...
  3. C

    CAF yamuunga mkono Infantino uchaguzi mkuu wa Urais FIFA

    Shirikisho la soka barani Afrika, CAF, limetangaza kuwa Vyama vyote 54 vya soka barani humo vimekubaliana kumuunga mkono Gianni Infantino katika Uchaguzi ujao wa Urais wa Shirikisho la soka Duniani, FIFA. Rais wa CAF, Patrice Motsepe, ametangaza msimamo huo wakati wa Mkutano Mkuu wa 48 wa CAF...
  4. C

    CAF yaridhia Kiswahili kuwa lugha rasmi baada ya mabadiliko ya katiba

    Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF) limeidhinisha Lugha ya Kiswahili kuwa moja ya lugha rasmi za shirikisho hilo baada ya kufanya mabadiliko madogo katika Katiba ya CAF. Rais wa CAF Dkt. Patrice Motsepe ametangaza rasmi kuwa Kiswahili ni lugha rasmi ya CAF baada ya kupigiwa kura nyingi...
  5. Zack Abdul

    CAF yaachia nembo rasmi ya AFCON 2027

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Novemba 19, 2026 lilizindua rasmi nembo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, inayotarajiwa kufanyika katika Mataifa ya Tanzania(Dar esSalaam, Arusha na Zanzibar), Kenya na Uganda. Kwa mujibu wa ratiba iliyotajwa, michuano ya AFCON...
  6. I

    CAF yazindua Nembo Rasmi ya AFCON 2027, Kenya, Tanzania na Uganda waungana kwenye Utambulisho wa Mashindano.

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limezindua rasmi nembo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambayo itaandaliwa kwa pamoja na Kenya, Tanzania na Uganda. Nembo hiyo imebeba taswira ya utamaduni na utambulisho wa Afrika Mashariki, ikiwa na rangi za bendera za mataifa hayo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Makonda: Serikali imetoa dola milioni 12 za Marekani kwa ajili ya kupata haki za matangazo na kuitangaza Tanzania kupitia AFCON 2027

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imechelewa kuanza kampeni za matangazo ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kutokana na Serikali kusubiri kukamilika kwa taratibu za kimkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Makonda...
  8. Eronda

    Uganda Tourism Board Partners with CAF Ahead of AFCON 2027

    The Uganda Tourism Board (UTB) has been unveiled as an Official Competition Sponsor of the TotalEnergies CAF Africa Cup of Nations (AFCON) 2027, marking a significant step in Uganda's efforts to position itself as a leading tourism destination on the continent. The partnership with the...
  9. ChoiceVariable

    Subscribe hii Post: Kwa Makundi ya CAF yalivyo, ukweli mchyngy ni kwamba hakuna Timu hata Moja ya Tanzania itaingia robo fainali.

    Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana. My Take Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
  10. Labani og

    Mafanikio ya kupeleka timu 4 CAF serikali ipongezwe

    Salaamu wakuu Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au...
  11. uran

    Droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika | Oktoba 28, 2026 | Yanga yapangwa kundi la kifo, Simba yapangiwa Berkane

    Jumatano leo, Oktoba 28, itafanyika droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika. Uchambuzi wa droo hii utaanza saa 7:00 mchana Usikose kufatilia droo hii ili kujua Yanga SC, Simba SC, AzamFC na Singida BS kupangwa na timu zipi katika hatua ya makundi. Tanzania...
  12. M

    Timu 4 za Tanzania zimefuzu kwenda hatua ya Makundi CAF, hongereni sana

    Ligi ya Tanzania imeendelea kuonesha kuwa inazidi kukua kwa timu zake 4 kufuzu kwenda hatua ya Makundi, Simba, Yanga zimefuzu klabu bingwa kwa kutoa kichapo kizito kwa timu walizokuwa wanacheza nazo Huku, Azam na Singida black stars wakiipeperusha bendera ya Nchi kwenye kombe la shirikisho.
  13. THE FIRST BORN

    Mamelodi kutolewa CAF, ingekua ni team ya Tanzania tena Yanga/Simba zingenzishwa propaganda za Kocha kafel au team mbovu Msimu huu.

    Hua nasema mpira wa Afrika ni wamahesabu sana... Siku ile yanga kashinda 4 kule ugenini watu wanaleta propaganda eti team mbovu.. sijui hua wanalipwa? Enhee jana Mamelodi katolewa kwa goli la ugenini tena kwake nae ni mbovu? Naamini kabisa kwa yaliyomtokea Mamelodi jana ingekua Mamelodi ipo...
  14. Powder

    Simba kuwa bingwa wa CAF Champions League 2026-2027

    Japo Mimi ni Mshabiki wa Yanga..! Sijawahi ku bet Toka Dunia inaumbwa, nataka ku bet coz nimemuona Simba iknanyua ndoo ya Africa. Wataalam waku bet, naombeni maelekezo Kampuni gani ya ku bet naweza kubet kuhusu nani atakua BINGWA wa CAF this season. NB: Mimi sio Mtu wa kubet pia sitaendelea...
  15. Eronda

    Al Ahly Edge Kitara FC 2-1 in CAF Confederation Cup First Leg

    Kitara FC's dream debut on the continental stage suffered a setback after a 2-1 home defeat to Egyptian giants Al Ahly SC in the first leg of the CAF Confederation Cup Second Preliminary Round. Playing in front of a spirited crowd, the Ugandan representatives showed determination and...
  16. Yesha

    CAF sanctions Zimbabwe after fan disorder: Is the punishment proportionate?

    Zimbabwe will play its next home international match behind closed doors after the Confederation of African Football (CAF) sanctioned the Zimbabwe Football Association (ZIFA) following incidents at the Warriors' 2027 Africa Cup of Nations qualifier against the Democratic Republic of Congo on...
  17. Duh Aisee

    Wasiojulikana na utekaji siku za mechi za Derby pamoja na ile week ya mechi za CAF

    Kuna pattern nimeiona tokea 2024 baada ya kufuatilia matukio ya utekaji kwenye zile page za kule Twitter(X)kwa hawa wasiojulikana. Wamekuwa wakipendelea sana kufanya utekaji kipindi kukiwa na mechi kubwa nchini hasa hasa Simba na Yanga wakikutana au wakiwa kwenye mechi za kimataifa. Sasa...
  18. Zack Abdul

    CAF Yasifu Maandalizi ya Tanzania kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza...
  19. Mhaya

    Nani anakibarua kizito hapo mbele kati ya Simba, Yanga, Azam na Singida huko CAF

    Timu zote za Zanzibar zatolewa katika michuano ya Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika. Huku timu za Tanzania Bara (Tanganyika) zikibaki na kuendelea na raundi ya pili ya mtoano kabla ya makundi. Simba atakutana na 15 De Agosto kutokea huko Equatorial Guinea (Guinea ya Ikweta) ambayo ndio...
  20. O

    Gor Mahia Yatolewa CAF, Tuhuma za Match-Fixing Zaanza Kuibuka

    Gor Mahia imeondolewa kwenye CAF Champions League baada ya kipigo kizito cha jumla ya 7-1 dhidi ya Pyramids FC ya Misri, matokeo ambayo sasa yameibua maswali na tuhuma za match-fixing miongoni mwa baadhi ya mashabiki. K’Ogalo iliingia Cairo ikiwa nyuma kwa mabao 2-0 baada ya kupoteza mechi ya...
Back
Top Bottom