caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

    Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawatoruhusiwa kuwa sehemu ya benchi la ufundi katika timu zao kwa kukosa vigezo vya leseni ya CAF A na UEFA PRO. Didier ambaye ana diploma ya UEFA A, hajakidhi vigezo vilivyowekwa kwa kocha Mkuu kuwa na leseni ya CAF A ama...
  2. Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

    Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19 Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena. Kuna mlemavu alisema hakuna simba day mwaka huu Sisi ndio waanzilishi na tutaendeleza
  3. UTABIRI: Simba na Yanga hazitofika hatua ya makundi CAF 2021/22

    Naziona Simba na Yanga kuto kufika hatua ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika msimu huu. Uzi tayari, kama una bisha sawa.
  4. C

    Dharau ya CAF kwa Yanga walikuwa Pot 5

    Yes I said it, lowest ranked clubs ndipo utapu tapu au utopolo fc wana po belong ,vilevile karibuni sana team ya Nigeria tutawapa ushirikiano wa kutosha. Wachambuzi TAKATAKA kina Priva na kitenge watajifanya kama hawajaliona hili la utopolo kuwekwa kwenye kapu la team zenye viwango duni...
  5. A

    CAF champion league 21/22: Yanga sajirini ALEX SONG

    Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba. Amechezea...
  6. Zanzibar kuvuliwa uanachama wa CAF hii imekaaje kisiasa?

    Habari wadau..! Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
  7. CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  8. F

    Kaizer Chiefs ametinga fainali ya CAF champions league, kiboko ya vigogo wenye mdomo

    Kaizer chiefs ametinga fainali ya caf kwa mara ya kwanza.. Tutegemee kama chelsea na ma city uefa final Maana upande wa al ahly na esperence yeyote atakaepita ni kigogo.. Kaizer ameshatangulia fainali
  9. F

    CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

    Tazama mwenyewe picha .. Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa.. Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa
  10. F

    VAR yawapa away goal kaizer chiefs vs waydad.. caf champions league semi final

    Muhuni kaizer chiefs. Anaongoza 1-0 ugenini morocco.. thanks to Var technology... kuanzia semi final caf wanaeka var kumbe Huyu muhuni baada ya kumuotea simba leo anaendeleza bahati yake ugenini
  11. CAF Club Ranking: Simba SC yasogea Top 10

    Timu tishio Afrika Simba Sc inazidi kujikita kuelekea kuwa timu Kigogo barani Afrika. Ilipo Yanga waulizwe Yanga wenyewe Goo Simba Goo Goo Mo Dewji Goo
  12. Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  13. Je Wajua? Mwaka ambapo Tanzania iliingia kwenye CAF RANKING kwa mara ya kwanza

    KUHUSU RANKING Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya CAF. Tanzania iliingia kwa mara ya kwanza kwenye CAF RANKING mwaka 2017...
  14. Jinsi Yanga ilivyodhulumiwa nusu fainali ya CAF Champions League

    Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969. Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano Hatua ya awali. Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar...
  15. TFF: Tanzania kuwa na timu 4 mashindano ya CAF msimu ujao

    Hatimaye yametimia! Ongezeko la timu nne kushiriki mashindano ya CAF msimu ujayo yamekuja baada ya mafanikio ya SIMBA SC kufanikiwa kufika robo final licha ya kutolewa na Kaizer Chiefs ya South Africa. CAF champions league itashirikisha mshindi wa VPL kama ilivyo kawaida yake, huku mshindi wa...
  16. CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

    Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
  17. F

    Rais wa CAF ni Mzulu Patrice Motsepe kutoka Afrika Kusini. Simba pulizeni dawa muone Wazulu walivyo wabaya

    Nawakumbusha tu simba.. Zama za kupuliza dawa zimeisha... au kusema watu wana corona.... Ama mseme wana corona kama al mereik.. rais wa caf anawapiga ban milele
  18. Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

    15 min. MC Alger 0-0 Wydad Casablanca Wydad akiwa anatawala mchezo zaidi
  19. Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  20. CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…