Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0.
Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora.
Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa barani Afrika na kwingineko, yameweza kupiga hatua kubwa katika kupambana na rushwa, na Tanzania...
Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
MTAALA BORA WA ELIMU HUJENGA TAIFA IMARA.
DIBAJI.
Katika taifa letu kuna ongezeko kubwa la vijana wasio na kazi, wengi wakiitupia lawama serikali kwa uchache wa nafasi za ajira rasmi zinazotolewa,hasa tukilinganisha na idadi ya wahitimu wa elimu ya juu na kati kwa kila mwaka.Hio imepelekea...
Elimu ni ufunguo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inatakiwa kujikita katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vijana kwa ajira za baadaye na kushiriki katika ujenzi wa taifa lenye nguvu na mafanikio.
Kuboresha elimu kunahitaji mabadiliko...
Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo tungetamani zifanyiwe utatuzi ili kupunguza athari kubwa kwa miaka 5-25 ijayo. Changamoto hizo ni kama...
Afya ni utajiri wa kweli wa taifa lolote. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inajitahidi kuimarisha huduma za afya na ustawi wa jamii kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wake.
Kipaumbele kikuu katika eneo hili ni kupanua upatikanaji wa huduma za afya bora. Hii inajumuisha ujenzi na...
Moja,anatakiwa kujua kusoma na kuandika;Kuna viongozi ambao wakiletewa mikataba wanashindwa kusoma sababu hawajui kusoma na kuandika.Kiongozi anayejua kusoma na kuandika itamsaidia wakati wa kusaini mikataba mbalimbali ambayo inahitaji kusoma na kuandika kwa manufaa ya pamoja ya wananchi...
Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali.
Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
1.0 UTANGULIZI
KIONGOZI Ni mtu mwenye dhamana ya kusimamia kundi fulani la watu yeye akiwa mstari wa mbele kama muwakilishi wa kundi hilo katika jambo fulani. Kiongozi hupatikana kwa namna mbalimbali kama vile kuchaguliwa, kuteuliwa au kurithi. Kuna aina kuu mbili za viongozi ambazo ni kwanza...
Tanzania tumekuwa na vyuo vikuu mbali mbali lakini bado hatufanyi vizuri kimataifa na kuzalisha wanasayansi ambao wanategemea kusubiri ajira na sio kugundua mambo.
Hivyo serikali inatakiwa kuhakikisha inasimamia kikamilifu namna ambavyo elimu hiyo hutolewa. Mfano. Mwalimu anapotoa assigment kwa...
"Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu"
Utangulizi
Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid
Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid
Pia...
Pamoja na kwamba tuna Siasa zenye mapungufu Afrika na Tanzania Pia bado tuna wanasiasa wenye nafuu kwa ubora.
Japo pia tuna wanasiaaa wazuri ndani ya Tanzania lakini Tundu Lissu anaendelea kujitanabaisha kama Mwanasiasa Bora kwa wakati huu.
TUndu Lissu pamoja na wanasiaaa wachache ndio ambao...
Kuchochea Maendeleo ya Miundombinu Bora ya Tanzania katika Miaka 20
Miundombinu iliyoboreshwa ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika taifa lolote. Kwa Tanzania, kuhakikisha kuwa na miundombinu bora katika kipindi cha miaka 20 ijayo ni muhimu kwa ukuaji endelevu na mafanikio...
Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani.
Mitindo ya Elimu Ulimwenguni Takwimu kutoka kwa ripoti ya Takwimu ya Elimu ya Juu ya Ulimwenguni ya UNESCO iliyotolewa mwaka 2022...
UTANGULIZI
Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali ikiwemo kimwili Kama vile ukatili wa kingono. Licha ya serikali kuweka Mambo mbalimbali kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.